Huenda Simba SC ikawakosa Aishi Manula na Sadio Kanoute katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhi . . .
sanii Davido ambaye anazidi kutamba na kutambaa kwa kasi na ngoma zaidi ya 15 kwenye albamu yake mpya ya ‘Timeless’ kwa mara ya kwanza a . . .
Klabu ya Real Madrid ya Uhispania imefabikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA Champions League) baada y . . .
Tanzania imeungana na nchi wanachama na wajumbe wa Amani barani Afrika kulaani mapigano yanayoendelea Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum kati ya Je . . .
Mahakama ya wilaya ya Kilwa imemhukumu Muharami Hassan Nayonga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya kuruhusu kuingiliwa k . . .
Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto.H . . .
mwaka huu, India itakuwa nchi ya kwanza kwa idadi ya watu duniani, ikiipita China kwa takribani watu milioni tatu.Ripoti ya hali ya dunia ya . . .
Serikali ya Tanzania imezitaka pande zote zinazopigana nchini Sudan kusitisha mapigano hayo na badala yake warudi kwenye meza ya mazungumzo . . .
Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Lindi imemhukumu Said Mohamed (49) mkazi wa chikonji Lindi, kifungo cha miaka 30 jela sambamba n . . .
Umoja wa Mataifa Jumanne umeonya kuwa baa la njaa linaendelea kuenea Afrika Magharibi ambako takriban watu milioni 48 wapo kwenye hatari ya . . .
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' ameshare picha akiwa na tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote.Kupitia ukurasa wak . . .
Polisi wa Italy wamepata tani mbili ya dawa za kulevya aina ya cocaine zikielea kwenye bahari karibu na ufukwe wa mashariki mwa kisiwa cha I . . .
Malori yapatayo 20 yamefukiwa kwenye mporomoko ya ardhi kaskazini magharibi mwa Pakistan. Hali hiyo ilitokea baada ya barabara kuu inayopiti . . .
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alitoa wito kwa pande zinazopigana nchini Sudan kusitisha mara moja uhasama huku mjumbe wake mjini . . .
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amependekeza kuwa kwenye bei ya mafuta inayotolewa na EWURA wahakikishe wanaongeza shilingi 100 kwa l . . .
HomeGossip NewsMzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa Mkewe Talaka Bila Mwanamke Kujua Miaka 20 iliyopitaMzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa . . .
Imefahamika kuwa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City, wameanza mikakati ya kumnasa kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham . . .
Kamati ya Usalama Wilaya ya Same imelazimika kuingilia kati na kusitisha mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Emp . . .
Ridhiwan Kikwete(MB) Na Naibu waziri wa Utumishi .Ameshiriki kugawa Zawadi katika mashindano ya Kimataifa ya uhifadhi wa Quraan yaliay . . .
Katibu mkuu wa Umoja Mataifa Antonio Guterres, Jumapili ameelezea wasi wasi wake kutokana na mzozo unaoendelea nchini Sudan kati ya vi . . .
Mshambuliaji Kylian Mbappe amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain kwenye Ligi Kuu ya nchi hi . . .
Shabiki wa Yanga aliyejulikana kwa jina la Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangal . . .
Mwenyekiti wa ngome ya vijana wa chana cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo, amesema kwamba anawakaribisha wananchi katika maandamano ya amani yat . . .
Pato la Taifa lafikia Sh. trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh. trilioni 163 ya mwaka 2021, Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi . . .
Takriban watu 56 wameuawa nchini Sudan na wengine zaidi ya 400 wamejeruhiwa katika siku mbili za mapigano makali yaliyozuka kati . . .
Aliyekuwa mwanasiasa wa India ameuawa kwa kupigwa risasi akizungumza moja kwa moja kwenye runinga pamoja na kaka yake.Atiq Ahmed, ambaye ali . . .
Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Aprili 16, 2023 umepokea Ndege kubwa aina ya Ai . . .
Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Tanzania ameishutumu benki ya Standard Chartered kwa kuitaka kampuni ya reli nchini kuajiri mkandarasi ku . . .
Rais wa DRC, Felix Tshisekedi amesistiza kuwa serikali yake haitafanya mazungumzo yoyote ya kisiasa na waasi wa M23, ambao Kinshasa in . . .
POLISI katika Kaunti ndogo ya Malindi wameanzisha uchunguzi, kufuatia malalamishi ya umma kuhusu mchungaji anayedaiwa kupotosha watu.Kulinga . . .
Maafisa wa usalama wa Libya Alhamisi walisema walimkamata raia wa pili wa Marekani kwa madai ya kusambaza imani ya kikristo katika taifa hil . . .
Idara ya upelelezi ya Marekani (FBI) imemkamata mlinzi wa usalama wa anga mwenye umri wa miaka 21 kuhusiana na uvujaji wa mamia ya nyaraka m . . .
Katika hali ya kushangaza, imebainika kuwa Beki wa Kulia kutoka Morocco na Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi ha . . .
Kinara wa Upinzani nchini Kenya na Kiongozi wa Muungano wa Azimio, Raila Odinga amesema mandamano yao ya kitaifa yataendelea licha ya mazung . . .
Beki wa Klabu ya Chelsea, Ben Chilwell amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga kwenye timu hiyo akiahidi kujituma zaidi.Beki huy . . .
Mke wa Harry, Meghan, Duchess wa Sussex atabaki California nchini Marekani akiwa na watoto wao wawili Mwanamfalme Archie na Binti mfalme Lil . . .
Mapigano mapya kati ya makundi mawili ya waarabu na waiso waarabu, katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu 24, nyumba . . .
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kimataifa ya Kanda ya tatu ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kufanyika Aprili 18 hadi 23 . . .
Miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2023 ilikuwa ya maafa makubwa katika miaka sita kwa wahamiaji ambao wanavuka bahari ya Mediterania ndani ya . . .