Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ amefariki dunia leo Jijini Dar es salaam.Taarifa za kifo ch . . .
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu kutoka kwenye mataifa saba tajiri wameanza mkutano wao unaofanyika nchini Japan ambapo wanajadili . . .
Eliud Wekesa, maarufu kama “Yesu wa Tongaren” amefikishwa mahakamani mjini Bungoma baada ya kujisalimisha kwa maofisa wa polisi kwa maho . . .
Jeshi na wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wametia saini mkataba wa kuheshimu hali ya kibinadamu wakati huu mapigano yakiendelea lakini wamesh . . .
Nchini Kenya, idadi ya miili ya watu iliyofukuliwa katika eneo la Shakahola Pwani ya nchi hiyo, inayohusishwa na Mchungaji mwenye utata Paul . . .
Mamia ya wahamiaji wanapambana kuvuka mpaka wa Mexico na kuingia Marekani saa chache la kabla ya kuondolewa kwa vizuizi vilivyowekwa wakati . . .
Mgombea mmoja wa kiti cha uraisi katika uchaguzi mkuu unaokuja nchini Uturuki ametangaza kujiondoa kwenye kinyangányiro hicho, uamuzi unaow . . .
Elon Musk amesema kwamba amempata Mtendaji Mkuu mpya wa kuongoza Twitter.Alitangaza habari hizo kwenye mtandao wa kijamii, alioununua mwaka . . .
Marekani Alhamisi imeishutumu Afrika Kusini kuipa silaha Russia katika vita vyake nchini Ukraine kwenye operesheni ya siri ya siku tatu ya m . . .
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Awamu ya 4 na Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo 2020, Bernard Membe, amefariki Dunia katika Hospital . . .
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mstaafu, Ban Ki-moon ambaye pia . . .
Msemaji wa serikali ya Kongo, Patrick Muyaya amesema idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi huko Kalehe imeon . . .
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewaonya baadhi ya wananchi mkoani humo wanaoipiga namba ya dharura ya 114 kwa ajili ya kuwasal . . .
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (#NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka, amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya . . .
Kukoroma husababishwa na sauti inayotokana na mtikiso wa tishu za njia ya juu ya kupitisha hewa shughuli hii inapoendelea, hasa ikiwa njia h . . .
Baada ya mchezo kumalizika Jembe Fm ikiwa kibanda umiza ikateta na mashabiki wa soka, kwenye mic Jacob Mlay wa Sports Ripoti ya Jembe Fm Mwa . . .
Mapigano katika mji mkuu wa Sudan Khartoum yameongezeka leo pamoja na makabiliano makali na mashambulizi ya angani.Hayo yanajiri wakati waju . . .
Taarifa za Jeshi la polisi nchini Ujerumani zimesema Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi kwenye . . .
Uongozi wa FC Barcelona unahitaji Pauni Milioni 70 milioni ili kumuachia mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Raphinha wakati wa usajili . . .
Mchungaji Eliud Wekesa, maarufu kama Yesu wa Tongaren raia wa Magharibi mwa Kenya, amejisalimisha kwa maofisa wa Polisi kwa mahojiano baada . . .
Watu kumi wamefariki katika maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa kunyesha huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa . . .
Kufuatia utata wa kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdallah, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ime . . .
IDARA YA UTAWALA BORA NA HAKI ikiongozwa na Mkuu wa Idara Taifa ndugu Bujiku Jackson Mudo Mkoani mwanza watembelea kiwanda Cha uzalishaji wa . . .
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekikosowa vikali kikosi cha wanajeshi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kilic . . .
Baraza la wazee wa mahakama ya mjini New York limemkuta rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na hatia ya kumnyanyasa kingono na kumchaful . . .
Vita kati ya majenerali wa Sudan vinazidi kusababisha madhara mabaya kwa raia , huku idadi ya waliolazimishwa kuhama makazi yao ikiongezeka . . .
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Kibaptista, Mchungaji Joseph Hayab amesema watu wasiofahamika wakiwa na silaha wameshambulia Kanisa hilo lililopo . . .
Idadi ya vifo nchini DRC imefikia zadi ya watu mia tano kutokana na mafuriko na kufunikwa na maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua k . . .
Shule ya msingi Njiwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa hali in . . .
Mahakama ya Senegal Jumatatu imemhukumu kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kifungo cha nyumbani cha miezi sita katika kesi ya rufaa ya kashf . . .
Club ya Manchester city ni kama wamekubali wayamalize na nyota wa zamani wa club hiyo Yaya Toure raia wa Ivory coast kufuatia laana inayosem . . .
Umoja wa Ulaya umependekeza vikwazo dhidi ya kampuni za China zinazotuhumiwa kuuza vifaa ambavyo vinaweza kutumiwa kama silaha kuunga mkono . . .
Serikali mpya ya mpito itajumuisha wataalam ambao hawana nia ya kuwania nafasi ya ubunge katika uchaguzi wa Septemba 30.Rais wa Slovakia Zuz . . .
Chuma kimegonga miaka 98 leo. Katika maisha yake Mungu amempa neema ya uongozi, umri, hekima na afya. Pamoja na umri huu mkubwa macho yake b . . .
Wapinzani wa Young Africans katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Marumo Gallants wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam . . .
Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaomboleza takribani vifo vya watu 400 waliokufa katika mafuriko kwenye wilaya ya Kalehe jimboni Kivu Kusi . . .
Imeelezwa Mzee Amani Madumba aliyekuwa akiishi Kata ya Ruaha Mbuyuni wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro aliyefariki dunia yeye pamoja na watot . . .
Papa Francis amemvua upadri mzaliwa wa Rwanda ambaye amekuwa akihudumu kama kasisi kaskazini mwa Ufaransa kwa takriban miongo mitatu.Taarifa . . .