logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • May 21, 2023

Mamia waandamana kuipinga Serikali

Vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vilirusha mabomu ya machozi na kupigana vita katika mitaa ya mji mkuu Kinshasa huku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 21, 2023

Jeshi la Sudan, RSF kusitisha mapigano kwa siku saba

Pande zinazozozana nchini Sudan zilitia saini makubaliano mwishoni mwa jumamosi ya kusitisha mapigano kwa siku saba huku mapigano hayo nchi . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Mabalozi wapewa changamoto kuongeza watalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kushiriki . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Utata Vifo Vya Vichanga Mmoja Akutwa Amechunwa

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linaendelea na uchunguzi kufuatia utata wa vifo vya watoto mapacha ambao walizaliwa njiti katika kituo cha afy . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Sukari yenye sumu, Vigogo 27 wasimamishwa kazi

Serikali nchini Kenya, imewasimamisha kazi maofisa 27 kutoka taasisi kumi na mbili wanaotuhumiwa kuachia sukari ambayo muda wake w . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Harry Kane akaa njia panda

Wakala wa Mshambuliaji kutoka England na Klabu ya Tottenham Hotspur Harry Kane amekutana na mabosi wa Paris Saint-Germain kujadili uwezekano . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Maelfu ya wafungwa waachiwa huru Zimbabwe

Kiasi cha theluthi moja ya wafungwa wote nchini Zimbabwe waliachiliwa huru siku ya Alhamisi chini ya msamaha wa rais, miezi michache sana ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Maelfu ya raia wa Cameroon kuandamana wiki hii

Nchini Cameroon, maelfu ya watu wanaandamana wiki hii, wakitoa wito wa amani na maridhiano kabla ya Siku ya Kitaifa Mei 20.Misafara ya amani . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Rais Samia aibeba tena Yanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameibeba tena klabu ya Yanga, akisema kuwa katika mechi za fainali ya Komb . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Idadi ya waliofariki kwa kukaa njaa yafikia 226

Nchini Kenya, miili mingine 15 imepatikana katika msitu wa Shakahola, Pwani ya nchi hiyo na kufikisha idadi ya watu waliopatikana kufikia 22 . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Wawili wakamatwa na mali za wizi Manyara

Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linawashikilia Mohamed Said na Diana Lozi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na fedha hal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Suala la Kutolewa Macho Watoto Njiti huko Kaliua ni la Kweli

Wizara ya Afya imeanza kushughulikia tukio lililotokea mkoani Taboraambapo watoto wawili mapacha waliozaliwa kabla ya muda (premature) katik . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Mahitaji ya Wakimbizi Sudan ni dola bilioni 3

Wakati mapigano yakizidi kushika kasi nchini Sudan, umoja wa mataifa unasema jumla ya dolla bilioni 3.03 zinahitajika ilikutoa msaada wa dha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

LATRA yaongeza muda utoaji maoni kanuni za mamlaka

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini – LATRA, imeongeza muda wa wiki mbili kwa wadau wa usafiri nchini, ili kuweza kutoa maoni yao katika k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

TIMU YA MBEYA CITY YA TIMUA WATU WATATU

 Uongozi Mbeya City umeachana na viongozi watatu wa benchi la ufundi huku sababu zikiendelea kufanya kuwa siri klabuni hapo.Mbeya City . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

SMZ kuboresha ligi za soka Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema itaendelea kusisitiza uwepo wa ligi za mpira wa miguu zenye ubora katika maeneo ya mijini n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

WAZIRI DKT MABULA ATAKA MADALALI WENYE WELEDI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa M . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

Raila Atishia Kuitisha Maandamano Makubwa Iwapo Bunge litapitisha Mswada wa Fedha

Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, amepinga ushuru uliopendekezwa katika Mswada wa Fedha wa 2023. Jumanne, Mei . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

Polisi Uganda Wakamata Washukiwa 4 Wanaodaiwa Kumuua Fundi wa Umeme, Kuuza Damu Yake

Maafisa wa polisi mjini Kabale nchini Uganda wamewakamata washukiwa wanne wanaodaiwa kula njama, kumuua fundi umeme na kuuza damu yake kwa m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

Mtoto Afariki Na Watu 23 Hawajulikani Walipo Baada Ya Kiboko Kugonga Mtumbwi Malawi

Mtoto mchanga amefariki na watu wengine 23 hawajulikani walipo baada ya kiboko kugonga mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Mto Shire nchini . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

Vita vyapamba moto Khartoum

Mashambulizi ya anga na mizinga yameongezeka kwa kasi katika mji mkuu wa Sudan siku ya Jumanne asubuhi, wakaazi wa mji huo walisema, wakati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa namna yoyote

Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa sila . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

TAKUKURU yabaini upotevu mapato Kagera

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imebaini upotevu wa mapato ya Serikali katika minada ya mifugo, ambao una . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

wafanyabiashara wa kariakoo waja na jipya

Wakati wafanyabiashara wakiendelea na mgomo katika Soko la Kariakoo, hoja imeibuka kuhusiana na mashine za EFDs; huku wakiona maombi ya seri . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Mbwa wazua hofu Ilemela, wanakula mifugo

Wakazi wa kisiwa cha Bezi kilichopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza wamekumbwa na hofu kutokana na kusambaa kwa mbwa ambao wamekuwa tishio kw . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Mkewe Yesu wa Tongaren Sasa Awaomba Wakenya Kuisaidia Familia Yake

Nabii Benjamin, ambaye ni mke wake mhubiri Eliud Wekesa maarufu kama Yesu Wa Tongaren kutoka Bungoma, ameomba msaada kutoka kwa Wakenya.&nbs . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Profesa Avunja Rekodi ya Kuishi Chini ya Maji kwa Zaidi ya Siku 74

Profesa Avunja Rekodi ya Kuishi Chini ya Maji kwa Zaidi ya Siku 74.Profesa Joseph Dituri mwenye umri wa miaka 55, aliishi zaidi ya siku 74 c . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Wanaofungua maduka wanafanyiwa vurugu Kariakoo

Wafanyabiashara katika soko la Kariakoo wameendeleza mgomo wa kutofungua maduka kwa siku ya pili leo.Hatua hii inakuja ikiwa imepita siku mo . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Kocha Yanga achukua tahadhari Afrika Kusini

Kusini9 mins agoKocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Nabi, amesema anatarajia upinzani mkali kutoka kwa Ma . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 'Task Force TRA Zisitishwe Haraka'

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kusikiliza kero za Wafanyabiashara wa Kariakoo leo ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuta Vi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

Mpinzani mkuu wa Rais wa Tunisia ahukumiwa kifungo kwa mashtaka ya ugaidi

Mahakama moja nchini Tunisia Jumatatu ilimhukumu Rachel Ghannouchi, mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied, kifungo cha mwaka mmoja ger . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2023

NATO yaionya China kuipatia silaha Russia

Wakati ulimwengu ukingoja Ukraine kuanza mashambulizi dhidi ya Russia ya majira ya machipuko, naibu katibu mkuu wa NATO, Mircea Geoana, anai . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Zitto akosoa wasifu wa Membe kutoitaja ACT

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekosoa wasifu wa hayati Bernard Membe uliosomwa bila kukitaja chama hicho ambacho Membe . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Jamaa Amnunulia Mbwa Wake Gari Kusherehekea Siku Yake ya Kuzaliwa

Mwanaume mmoja raia wa Nigeria amemwandalia mbwa wake sherehe kubwa ya kufana kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumnunulia gari lenye th . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Kimbunga chaleta maafa Myanmar

Maelfu ya watu Jumapili walijificha katika nyumba za ibada na shule wakitafuta makazi kutokana na dhoruba kali iliyopiga pwani ya Myanmar, n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Jeshi wapiga marufuku uchoraji wa tattoo

Katika jitihada za kulinda sura ya Magereza nchini Namibia, Jeshi hilo limepiga marufuku kuajiri watu wenye michoro ya tattoo mwilini mwao.H . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Usaidizi wa kujiuwa: Bunge lapitisha matumizi ya euthanasia

Bunge la nchini Ureno, imepitisha sheria ya kuhalalisha matumizi ya dawa ya euthanasia kwa watu walio katika mateso makubwa na magonjwa yasi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 15, 2023

Ngoma Bado Ngumu Kariakoo, Wafanyabiashara Wagoma Kufungua Maduka

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kumaliza mgomo wa wafanyabiashara na kuwataka warejee katika biashara zao, ngoma bado ngumu kwa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 14, 2023

Daktari feki akamatwa Njombe akitoa huduma za afya

Kijana mmoja aitwaye Ahmed Abdallah mkazi wa kijiji cha Mapogolo kata ya Milo wilayani Ludewa mkoani Njombe, amekamatwa na polisi baada ya k . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • May 14, 2023

Aliyedaiwa kujiteka akamatwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroard Mutafungwa amesema kijana Kennedy Nyangige (20) mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya Bugando (Cuhas . . .

Kurasa 168 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category