logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AJALI
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Mume Wa Rubani Mwenza Wa Nepal Pia Afariki Katika Ajali Ya Ndege Miaka 16 Iliyopita

ambalo limeshuhudia mamia ya watu wakifariki katika ajali za ndege katika miongo ya hivi karibuni.Kwa miaka mingi, sababu kadhaa zimelaumiwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

nnalena Bearbock apendekeza kubuniwa mahakama maalum kuhusu mzozo wa Ukraine

Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, amependekeza kubuniwa kwa mahakama maalum ya kimataifa ili kuwashitaki viongozi wa Ur . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Wanawake waliotekwa Burkina Faso ni 50

Takriban wanawake 50 wametekwa nchini Burkina Faso na wenye msimamo mkali wa Islamic State katika eneo la Sahel, kaskazini mwa Burkina Faso . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • January 16, 2023

KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KUMLAWITI MTU MZIMA HADHARANI

Mahakama ya wilaya ya Tabora imemuhukumu  mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 16, 2023

Wanawake 50 watekwa Burkina Faso

Washukiwa  wanajihadi wamewateka takriban wamawake 50 katika eneo lililoharibiwa na uasi kaskazini mwa Burkina Faso.Takriban 40 walikam . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • January 16, 2023

Mhubiri wa kanisa Katoliki Nigeria achomwa moto hadi kufa

Washambuliaji wasiojulikana wamechoma moto makaazi ya mhubiri wa kanisa Katoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria.Wakati wa shambulizi hilo, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 16, 2023

Kipa Metacha Mnata awaomba radhi Yanga Baada ya Kurudi

Mlinda Lango Metacha Mnata amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Young Africans, baada ya kusajiliwa kwa mkopo klabuni hapo.Met . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 15, 2023

Watu 67 wamethibitishwa wamefariki katika ajali ya ndege Nepal

Watu 67 wamekufa leo baada ya ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 72 kuanguka kwenye korongo wakati ikitua katika uwanja mpya wa ndege uliofu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 15, 2023

Watu 8 wafariki katika shambulizi la Al-Shabaab nchini Somalia

Polisi wa Somalia wamesema kwamba watu wanane wameuawa katika shambulio la bomu kando ya barabara, huko Buloburde, mji ulipo katika wilaya y . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 15, 2023

Ndege ya Abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines Yenye Abiria 72 Yaanguka

Ndege ya abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines iliyobeba jumla ya Watu 72 imeanguka leo katika Mji wa Pokhara karibu na uwanja wa ndege wa Mji . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 13, 2023

Wanafunzi Wakimbizwa Hospitalini Baada ya Kula Nyoka Shuleni

Wanafunzi kadhaa walilazwa hospitalini Jumatatu, Januari 9, alasiri baada ya kula chakula chao cha mchana uliotolewa na serikali. Wanaf . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 13, 2023

Rais wa Brazil Lula ahisi mtu wa ndani kuwasaidia wavamizi kuingia ikulu

Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema jana kwamba wafuasi wa mtangulizi wake Jair Bolsonaro waliovamia majengo ya serikali huenda . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Yanga Yatangaza Kumuuza Fei Toto

UONGOZI wa Yanga, umeweka bayana kuwa, wapo tayari kumuuza kiungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mchezaji mwingine yeyote kwenye timu h . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Mama Fatma Karume "hakuniambia kama siku hiyo ni siku ya kufanya mapinduzi"

"Siku ya Mapinduzi Karume alikuwapo hapa Zanzibar. Lakini hakuniambia hata mimi kuwa kuna mapinduzi siku hiyo. Ililia risasi ya kwanza na ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Kocha Graham Potter Akiri Chelsea Ndiyo Kazi Ngumu Zaidi Katika Soka

Kocha Graham Potter anadai kuwa ana kibarua kigumu zaidi katika taaluma yake ya soka huku mazimwi ya majeraha ikivamia klabu ya Chelsea.&nbs . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Mali yasema wanajeshi wake 14 wameuwawa katika mashambuli mawili ya wanamgambo

Wanajeshi 14 wa Mali wameuwawa na wengine 11 wamejeruhiwa katika mashambulzii mawili tofauti yaliyotokea katikati mwa nchi hiyo baada ya mag . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Mama amuua mtoto wake

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, linamshikilia Joyce Matingo (26), mkazi wa Unyamwanga wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mto . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Haji manara aweka wazi kuachana na mke wake mdogo

Mdau wa michezo hajismanara ametoa ya moyoni juu ya kuachana na aliyekuwa Mke wake mdogo rushaynah.Haji amekiri kuachana na Rushayna na amew . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Philemon Mulala Auawa na Mbwa Wake 3 Afrika Kusini

Nyota wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala ameuawa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg, Afrika Kusini. Mulala aliumwa n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Wauguzi nchini Zimbabwe sasa kuhukumiwa jela ikiwa watagoma

Serikali ya Zimbabwe imepitisha mswaada wa sheria Jumanne Januari 10 inayopiga marufuku maandamano  yaliyoandaliwa na wafanyakazi wa af . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Rais mpya wa Peru kuchunguzwa kwa mauaj

Rais mpya wa Peru Dina Boluarte na mawaziri kadhaa wa nchi hiyo wanachunguzwa kutokana na mapigano ya wiki kadhaa ambayo yamesababisha vifo . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Juma mgunda "Namheshimu Big Brother Robertinho"

Kocha Mkuu mpya, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ jana kimeanza mazoezi huko Dubai Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa Ligi Kuu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Rwanda "Hatuwezi kuchukua wakimbizi zaidi kutoka DRC"

Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema nchi hiyo haiwezi tena kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Ukosefu wa usalama waweza kupelekea kuahirishwa kwa uchaguzi wa Februari-Tume ya uchaguzi

Tume ya uchaguzi nchini Nigeria Jumatatu imesema uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwezi Februari unaweza kufutwa au kuahirishwa ikiwa ukosefu w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Rais Samia "Zama za UGOMVI na Kutukanana Zimeisha"

Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema baada ya kutoa rukhsa ya mikutano ya hadhara huenda wapo ambao watakuja na kasi ya malumbano hivyo amewaomb . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

GAVANA EMMANUEL TUTUBA APOKELEWA NA PROFESA FLORENS LUOGA BoT

Mstaafu, Prof. Florens Luoga alipowasili kwa mara ya kwanza Makao Makuu ya BoT jijiji Dodoma Januari 9, 2023 ikiwa ni saa chache baada ya Ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Nyaraka Za Siri Zakutwa Katika Ofisi Ya Zamani Ya Rais Joe Biden, Ikulu Ya Marekani

IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani ina . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Polisi ya Brazil yasambaratisha kambi ya wafuasi wa Bolsonaro

 Polisi wa nchini Brazil imeisambaratisha kambi ya waandamanaji nje ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo siku moja baada ya wafuasi wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 9, 2023

Urusi yadai kuwauwa wanajeshi wa Ukraine ila Ukraine yakanusha

Jeshi la Urusi limedai kufanya mashambulizi ya angani katika kambi ya kijeshi inayotumiwa na majeshi ya Ukraine kama hatua ya kulipiza kisas . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 9, 2023

Mtoto wa umri wa Miaka 6 ampiga risasi mwalimu wake

Mtoto mwenye umri wa miaka sita, anashikiliwa  na polisi baada ya kumpiga risasi mwalimu wake katika jimbo la Virginia nchini Marekani. . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 9, 2023

SINGIDA BIG STARS YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

SINGIDA Big Stars wana jambo lao ndani ya Kombe la Mapinduzi kutokana na kasi yao mbele za vigogo wanaokutana nao.Inakuwa timu ya kwanza kwe . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • January 8, 2023

Ukraine Yapokea Silaha Za Kujikinga Na Makombora, Russia Imetengua Ndege Isiyo Na Rubani Ya Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amepongeza msaada wa silaha kutoka Marekani, unaojumuisha magari yenye uwezo wa kurusha makombora ya kuha . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 8, 2023

Arsenal Yafunguliwa Mashtaka Kuhusu Mwenendo wa Wachezaji Wake

Klabu ya Arsenal imefunguliwa mashtaka na Shirikisho la Soka nchini Uingereza (FA) kuhusu mwenendo wa wachezaji wake katika mechi yao ya Lig . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 8, 2023

Rais Samia amteua Tatuba Gavana mpya BOT

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

KOCHA JUMA MGUNDA AKIRI ALITELEZA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliteleza kwenye maelezo wakati akizingumza kuhusu suala la kutetea ubingwa wa timu hiyo.Kweny . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

Wanajeshi 46 wa Ivory Coast wafikishwa mahakamani Mali

Wanajeshi 46 wa Ivory Coast ambao kuzuiliwa kwao na Mali kulizua mzozo wa kidiplomasia walifikishwa katika mahakama ya rufaa mjini Bamako, A . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

Japan, Marekani kuzungumzia usalama kabla ya mkutano wa Kishinda na Biden

Japan na Marekani zitafanya mkutano kuhusu usalama kati ya mawaziri wa kigeni na ulinzi mjini Washington, siku moja kabla ya Waziri Mkuu Fum . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

'WATAPATA HASARA SISI TUKIONGEA' MENEJA WA HARMONIZE JEMBE NI JEMBE

Amefunguka juu ya kuondoka kwa wasanii kwenye Lebo ya Konde Gang ikiwa ni pamoja na "machawa'Meneja wa Harmonize ambaye pia ni CEO wa Jembe . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

" MENEJA WA HARMONIZE JEMBE NI JEMBE "HIZO LIST HAZINA HESHIMA HIVYO SIZIHESHIMU

Meneja wa mwanamuziki mkubwa nchini Tanzania Harmonize, Jembe ni Jembe ameulizwa na mtangazaji Natty E, wa Jembe Fm kupitia kipindi cha Hit . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

Aua Mke, Mama mkwe, watoto na yeye kujiua

Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua  mke wake, mama mkwe na watoto wake 5  na yeye kujiua baada ya mke . . .

Kurasa 183 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category