logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Burna Boy ampa Mwandishi wa Habari Milioni 4.6

Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria Burna Boy ametajwa kumpa Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Zaidi ya Milioni 4 kwa ajili ya kwenda kurekeb . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

USAJILI WA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA NAMUNGO ACHA TU

MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Jokate amrithi Basilla Mwanukuzi

Uhamisho wa Jokate kutolewa Temeke kupelekwa wilayani Korogwe mkoani Tanga, umefanywa hii leo Januari 25, 2023, na Rais wa Jamhuri ya Mu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Rais wa zamani wa Mauritania kufikishwa mahakamani

Kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz inaanza kesho. Itakuwa ni tukio la nadra kiongozi wa zamani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Msaidizi wa Imran Khan akamatwa kwa kukosoa uchaguzi

Polisi nchini Pakistan imesema mshirika wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan amekamatwa kwa makosa ya kuwakashifu maafisa wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Mwalimu Aliyerekodiwa akichapa Watoto kwenye visigino Asimamishwa Kazi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya Mwalimu aliyeonekana katika picha . . .

mastaa
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Mke wa Dr.Mwaka, nazungushwa mwaka sasa sipewi Talaka, nataka niende mahakamani

Siku ya leo Mke wa Dr. Mwaka ameenda Bakwata kutaka Talaka yake, akiongea na wana habari ameeleza kuwa ameachana na Dr.Mwaka tangu mwezi wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Serikali yatoa neno Mtanzania aliyefia Urusi

aziri wa Mambo ya Nje Dkt. Stergomena Tax, amesema Mtanzania aliyefariki dunia nchini Urusi Nemes Tarimo, alikuwepo nchini humo kwa ajili ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Vijana wabuni mradi mabegi ya Nishati jua

Vijana Mkoani Mwanza, wamebuni mradi wa mabegi yanayokusanya nishati ya jua, ili kuwasaidia wanafunzi waishio vijijini kujisomea nyakati za . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Raila Odinga ataka Wakenya kususia ulipaji kodi

Kiongozi Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amewataka Wakenya kususia kulipa kodi ambayo imeongezeka maradufu tangu kuingia kwa utawa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Brazil na Argentina wajadiliana kuhusiana na matumizi ya sarafu moja

Buenos AiresBrazil na Argentina wako katika mazungumzo ya awali ya kuanzisha sarafu moja watakayoitumia ili kupunguza kuitegemea dola ya Mar . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 24, 2023

Mwanamume Apoteza Nyeti Zake Katika Maandamano Nchini Ufaransa

Mwanamume mmoja anadaiwa kupoteza nyeti zake kufuatia kichapo cha mbwa alichopokezwa katika maandamano ya kupinga mageuzi ya pensheni nchini . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2023

Tanzania yaunga mkono mkakati wa IMF

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kima . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 23, 2023

Burkina Faso yaiomba Ufaransa kuondoa wanajeshi wake ndani ya mwezi mmoja

Burkina Faso imeiomba Ufaransa kuondoa wanajeshi wake nchini humo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja, kulingana na barua ya mamlaka kwa Paris. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 23, 2023

Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Urusi Kuanza Ziara Yake Afrika Kusini Leo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi tangu Urusi ilipoivamia Ukraine.  ikiwa ni sehemu ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 23, 2023

Polisi waua majambazi waliokuwa na mabomu

Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja ain . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2023

Ujerumani haitoizuia Poland kupeleka vifaru vya Leopard Ukraine

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema Ujerumani haitoizuia Poland iwapo inataka kupeleka vifaru chapa Leopard 2 nchi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MCHEZA FILAMU MAARUFU DUNIA KUTOKA UINGEREZA IDRIS ELBA NCHINI USWIZI

Mhe Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Um . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

Serikali Kuchunguza Vitabu vya Watoto Vinavyofundisha Ushoga

Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kuto . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

Kutekwa wanawake Burkina Faso ilikuwa ni kulipiza kisasi

Wachunguzi wanaamini uvamizi wa wiki iliyopita kwa watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi nchini Burkina Faso, ulisababisha kutekwa kwa takriban . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

Taliban wa Pakistan wafanya shambulizi la kigaidi Pakistan

Serekali ya kaskazini  mwa Pakistani, Alhamisi imesema wanamgambo wamefanya shambulizi la bunduki na bomu kwenye kituo cha polisi, na k . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

Uchumi 2023 utakuwa bora kuliko ilivyohofiwa

Mkuu wa Benki Kuu ya Ulaya Christine Lagarde amesema, uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu kinyume na ilivyohofiwa awali. L . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2023

Watu 5000 waomba kazi jeshi la polisi Zanzibar

Watu zaidi ya 5000 wameomba nafasi ya kazi katika jeshi la polisi kamisheni ya Zanzibar, huku kamisheni hiyo ikihitaji kuajiri watu chini ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

Mamia ya wakimbizi wa Myanmar wakimbilia India

Mamia ya wakimbizi wanakimbilia usalama nchini India, huku jeshi la Myanmar, likizidisha mashambulizi ya anga katika jimbo la kaskazini magh . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

Mandonga ulingoni tena

BONDIA wa Ngumi Ismail Galiatano, anatarajia kupanda ulingoni dhidi ya Asanda Gingqi raia wa Afrika Kusini katika pambano la Kili Boxing Tou . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

HII NDIO MIPANGO YA YANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi.Timu hiyo imek . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

Shilole kuvunjiwa Shishi Food

Msanii na mfanyabiashara Shilole amemwaga machozi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuvunjiwa eneo lake la biashara la 'Shishi Food' . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

Gambia kuomboleza kwa siku saba

Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais Badara Alieu Joof akiwa na umri wa miaka 66. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

MWEKEZAJI WILAYANI MKALAMA ADAIWA KUKITAPELI KIJIJI, ARDHI ALIYOPEWA KUWEKEZA SHULE AIKODISHA KWA KILIMO

MWEKEZAJI aliyetaka kujenga shule ya sekondari katika moja ya kijiji  wilayani Mkalama mkoani Singida anadaiwa kufanya utapeli baada ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

Waziri Mkuu wa New zealand Jacinda Ardern atangaza kujiuzulu mwezi ujao

Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe saba mwezi ujao.Kwenye taarifa yake iliyota . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

MAMA AUAWA, AACHA WATOTO WATANO WADOGO

Sabina Barma (28) mwenye watoto watano ameuawa kwa kuchomwa shingoni kwa kitu Chenye ncha Kali na mtu anayetajwa kuwa ni mumewe.Marehemu ame . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA KIZAZI HODARI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

IHEFU YATAMBULISHA WATAMBULISHA WACHEZAJI WAWILI

 Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msim . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

Helikopta ya polisi ya Ukraine yaanguka na kuuwa watu 16

Helikopta ya jeshi la polisi la Ukraine imeanguka karibu ya shule ya chekechea na jengo la makaazi ya watu katika mji wa Brovary ulio nje ki . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

Mwanajeshi Apigwa RISASI na Jamaa Aliyemuuliza Kwanini Anavuta Bangi Hadharani

Mwanajeshi mmoja anauguza jeraha hospitalini baada ya kupigwa risasi mkononi na mwanaume anayeshukiwa kuwa jambazi kuwa kumuuliza kwa nini a . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Wanaume wenye kiwewe hatarini kuugua maradhi ya moyo, kisukari

Wanaume wa umri wa kadri ambao hushikwa na wasiwasi mwingi wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kiharusi na kisukari, utafiti umeba . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Wanasheria wa Kanye West Wamchoka..Wamtema Kupitia Gazeti

Timu ya Wanasheria wa Kanye West wamepanga kutumia njia ya Gazeti kumfikishia taarifa rapa huyo kuwa wamemtema rasmi na hawatamuwakilisha te . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Afisa polisi akutwa na makosa 49 ya ubakaji

Afisa mmoja wa polisi nchini Uingereza ameungama kutumia cheo chake kutekeleza makosa 71 ya ubakaji dhidi ya wanawake 12 .David Carrick, mwe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Rais Samia ateua viongozi mbalimbali

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wenyeviti wa bodi na Makamishna kadhaa.Rais . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Kocha Nabi awakataa Fei Toto, Morrison

Kocha Mkuu wa Mabingwa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi ni kama amewakataa viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ na B . . .

Kurasa 182 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category