logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

WAZIRI MABULA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURUGENZI WA TEHAMA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula ameagiza kuondolewa kazini Mkurugenzi wa Tehama wa wizara hiyo, Venance M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Mapato ATCL yaongezeka, madeni bado

 Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, (PIC) imesema mapato ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh58 bil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Watu 7 wamepoteza maisha nchini China baada ya kutokea Tetemeko la Ardhi

Watu wasiopungua saba wamekufa hii leo baada ya tetemeko la ardhi kuupiga mji wa Kangding ulio katika jimbo la kusini magharibi mwa China la . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

WAZIRI MASAUNI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI NA WAJUMBE BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

RUTO ASHINDA KESI YA UCHAGUZI, NDIYE RAIS ANAYESUBIRI KUAPISHWA.

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Upeo Martha Koome hatimaye ametangaza kuafiki uamuzi wa ushindi wa Rais Mteule William Ruto, kwenye kesi iliyowasil . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

TARIFA KUTOKA TFF.

TFF yatoa ufafanuzi dhidi ya usajili wa wachezaji wa kigeni na hii ni kutokana na sakata la timu ya yanga. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Waziri Mkuu wa Ukraine yuko Berlin kutafuta msaada zaidi wa kijeshi

Waziri Mkuu wa Ukraine Denys Shmyhal alikaribishwa mjini Berlin na heshima ya kijeshi wakati nchi hiyo ikitafuta silaha zaidi nzito kwa ajil . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Watu 10 wauawa kwa kuchomwa kisu Kanada, 15 wajeruhiwa

Polisi nchini Canada inawasaka washukiwa wawili katika tukio ambalo watu kumi waliuawa kwa kuchomwa kisu na wengine karibu 15 kujeruhiwa kat . . .

Muziki
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

KANYE WEST AUTAJA WIMBO ESSENCE NI WIMBO BORA KATIKA HISTORIA YA MUZIKI.

Rapper Kanye West ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa hisia zake juu ya wimbo wa Wizkid “Essence ” akiutaja kama wimbo bora toka hi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Uamuzi kesi kupinga ushindi wa Ruto kutolewa mchana

Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu leo Jumatatu Septemba 5, 2022 saa s . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

CHAMA CHA NCCR- MAGEUZI KUITISHA KIKAO WIKI IJAYOM, MBATIA ANAHUSIKA.

Kwa miezi kadhaa sasa, chama cha NCCR- Mageuzi kimekumbwa na mgogoro uliokigawa makundi mawili, moja linaloungwa mkono na Mwenyekiti Mbatia, . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

Al-Shabab yafanya shambulio jipya katikati mwa Somalia

Shambulio hilo lilitokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi, na kuua takriban raia 19, kulingana na ripoti ya hivi punde. Wiki mbili zilizopit . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

IEBC yadai timu ya Raila yatoa ushahidi wa uongo.

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya siku ya Ijumaa, ilishutumu timu ya wanasheria ya Muungano wa Azimio kwa kuwasilisha kumbukumbu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

Watakaosalimisha Silaha Wanazomiliki Kinyume cha Sheria Kusamehewa.

Jeshi la Polisi linapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa kutakuwa na uzinduzi wa kampeni maalum ya mwezi mmoja unaojulikana kama msamaha wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

SERIKALI" TUMETOA MBOLEA YA RUZUKU KABLA YA MSIMU WA KILIMO 2022/2023"

Serikali ya Tanzania imesema asilimia 50 ya mahitaji ya mbolea ya ruzuku imeshaingizwa nchini kabla ya msimu wa kilimo wa 2022/23 kuanza.Hat . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

Qatar yaruhusu Bia wakati wa Kombe la Dunia.

Qatar itawaruhusu mashabiki kununua bia zenye kileo katika mechi za soka za kombe la dunia saa tatu kabla ya kuanza na kumalizika kwa filimb . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Kwa Mara Ya Kwanza Watanzania Wachaguliwa Kuwa Sehemu Ya Scouts Afrika

Kwa mara ya kwanza Watanzania wamechaguliwa kuwa sehemu ya Kamati ya Scouts Afrika ambapo Mkutano Mkuu ulifanyika Nairobi, Kenya Agosti 25 h . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

LAAC Yaitimua Halmashauri Ya Biharamulo

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imewatimua viongozi wa Halamashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera baada ya kut . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Vodacom Yazindua Teknolojia Ya 5G

Kampuni ya Mawasiliano ya @vodacomtanzania imezindua huduma ya mpya teknolojia ya 5G ikisema italeta mapinduzi na kuongeza ushirik . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Je Wajua Faida Za Kunywa Chai Ya Majani Ya Mchaichai?

Watu wengi huona kunywea chai ya moto kuwa kuburudisha, lakini chai ya mchaichai inaweza kutoa manufaa zaidi za kupunguza wasiwasi. Kulingan . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Moto Uliozuka Mwanza Hotel Wazimwa Huku Chanzo cha moto bado kikiwa hakijafahamika.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amesema kuwa moto uliozuka na kuunguza Club ya Dallas iliyo ndani ya Mwanza Hoteli umedhibitiwa huku aki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Uingereza Kupata Waziri Mkuu Mpya Wiki Ijayo

Uingereza inatarajiwa kuwa na waziri mkuu mpya wiki ijayo karibu miezi miwili baada ya kujiuzulu kwa Boris Johnson mwezi Julai kufuatia mful . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Mziki Wa Mayele

SI Yanga pekee inayopiga hesabu za kukutana na Al Hilal ya Sudan hata wao huko walipo ni kama wameshaivuka St Georges wanaiwaza Yanga.Yanga . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Moallin Atamani Kuendelea.

Aliyekuwa  Kocha Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin amesema kwamba anaheshimu maamuzi ya uongozi wa timu hiyo baada ya kuondolewa kweny . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Serikali Yawekwa Kitanzini Mzigo Wa Madeni NHIF

Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuacha kulalamika kuhusu kulegalega kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NH . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Waziri Ummy Akizungumzia NHIF

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametaja chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akisema magonjwa yasiyoambukiza, urasimu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Vijana Waliopata Mkopo Wajenga Zahanati.

Mmoja wa vijana madaktari waliojiunga kwenye kikundi akizungumzia mradi wa zahanati walioijenga baada ya kupatiwa mkopo wa Sh110 milioni uli . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Jera Miaka Minne Kwa Kumcharaza Karani Wa Sensa.

Mahakama ya Wilaya ya Kiteto imemhukumu Amos Nyang’waji kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini ya Sh1.2 milioni kwa kosa la kumchapa . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Wamiliki Wa Mabasi Ya Shule Yasiyokaguliwa Wakamatwa.

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Manyara, Georgina Matagi amewaweka mahabusu wamilikiwa wa shule tatu zilizoko Mjini Babati, kw . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Rais Ramaphosa Ahojiwa Kuhusu Wizi Wa Fedha.

Rais  wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne Amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Mkurugenzi wa Muheza asimamishwa kazi na Waziri Bashungwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Wamatangi Azuru Afisi Mbalimbali Za Kaunti Akiahidi Kuimarisha Kiambu

Gavana  mpya wa Kaunti ya Kiambu, Kimani Wamatangi, alizuru afisi za kaunti ndogo ya Thika mnamo Jumanne ili kupata picha halisi ya hal . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Rais wa Zamani wa Urusi Aaga Dunia

Mikhail Gorbachev, aliyekuwa rais wa Urusi, ambaye alimaliza vita baridi bila kumwaga damu lakini akashindwa kuzuia kusambaratika kwa Muunga . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Phiri apata dawa mpya, asema gari limewaka

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Mzambia Moses Phiri amepata dawa mpya ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.Phiri ameweka wazi kw . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 30, 2022

Nigeria imepiga marufuku wasanii na wanamitindo kupewa matangazo ambao sio raia wa taifa hilo

hatua hiyo inachochewa na nia ya Serikali ya Shirikisho katika kuendeleza vipaji vya ndani, ukuaji wa uchumi jumuishi, na kukuza sekta ya ut . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 30, 2022

Roma Mkatoliki na Wakazi wararuana mtandaoni

Wakali wawili wa kurap kunako industry ya muziki wa Bongo Fleva  Ibrahim Mussa alimaarufu Roma Mkatoliki pamoja na msanii mwenzake Webi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 30, 2022

Marubani Wapigana Wakiendesha Ndege Angani

Wakiwa ndani ya chumba cha marubani wakiendesha ndege angani, marubani wawili wa Shirika la Ndege la Air France wanaripotiwa kuzichapa kavuk . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 30, 2022

Rais Samia amefungua kikao kazi maafisa waandamizi Jeshi la Polisi

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania(TPS) mkoani Kilimanj . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 30, 2022

Takwimu makosa ya jinai yaongezeka

Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema takwimu za makosa makubwa ya jinai nchini zimeongezeka kipindi cha Januari ha . . .

Kurasa 200 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category