Rais wa Marekani Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris wamewaongoza Wamerekani kuadhimisha miaka 21 tangu kutokea kwa shambuliao la kiga . . .
Wanasiasa wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, sasa wameanza kumrushia cheche za lawama Rais Uhuru Kenyatta huku wakidai alisababisha m . . .
Mwanafunzi wa Chuo cha St John, Winfrida Michael (24) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julius Gervas (26) ambaye pia ni . . .
Mwili wa Malkia Elizabeth II utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwar . . .
Polisi nchini India wamesema leo Ijumaa kuwa wamewakamata watu watatu wa dhehebu la Sikh wakituhumiwa kumuua kijana mmoja aliyekuwa akitafun . . .
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi ameteua baraza jipya la mawaziri baada ya kumfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyo . . .
Wafanyakazi katika sekta ya petrol nchini Nigeria, wameitisha maandamano ya kitaifa kupinga wizi wa mafuta, hali ambayo imeathiri kwa kiasi . . .
Licha ya kufariki akiwa na umri wa miaka 96, Malkia Elizabeth II wa Uingereza ndiye mkuu wa nchi anayeshikilia rekodi ya dunia kuhudum . . .
Hatimae mtoto wa mpenzi wa mwanamuziki harmonize Kajala Masanja #PaulaKajala kwa mara ya kwanza amemtambua @harmonize_tz kama baba yake hadh . . .
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa Chaulo kuwa . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchini Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septem . . .
Graham Potter ndiye anayepewa asilimia kubwa ya kuwa kocha mpya wa Chelsea, kujaza nafasi ya Thomas Tuchel aliyetimuliwa jana Jumatano baada . . .
Kamanda wa Polisi wa Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Friday Eboka amesema wamemkamata mshukiwa wa Reverend Sister, anayejulikana kama Mauree . . .
Mshukiwa wa pili aliyekuwa anasakwa na polisi ya Canada kufuatia mashambulizi ya kutumia visu mwishoni mwa wiki iliyopita ambayo yaliwauwa w . . .
Polisi katika kijiji cha Ebungaya, kaunti ya Kakamega wanachunguza kisa ambapo mwanamume mwenye umri wa miaka 50, anadaiwa kukatiza maisha y . . .
Dodoma. Askari wa Jeshi la Anga, William Giriango (40) amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali aliokuwa ameutundika katika nondo ya dirish . . .
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na k . . .
RAIS wa Msumbiji Fillipe Nyusi amesema wanamgambo wa kiislamu walioasi katika jimbo la Napula wamewakata vichwa watu sita (6) huku wakiwatek . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto, imemhukumu kifungo cha miaka 30, Yerenia Chidaka, mkazi wa Kijiji cha Dongo wilayani humo, baada ya kumtia . . .
Ukraine imeomba wakazi waliyoko kwenye maeneo yanayokaliwa na Russia karibu na kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia, kuondoka mara moj . . .
RAIS Evariste Ndayishimiye ametimua waziri mkuu wa Burundi na akidai kuwa kuna njama ya kupindua serikali yake.Rais Ndayishimiye alimtimua A . . .
Alifanya vizuri na kazi kadhaa ikiwemo check and balance,mj,complete me ,move pamoja have fun lakini hivi karibuni ameachia wimbo . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza William Ruto kwa kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais.Katibu katika White House Karine Jean-Pierre al . . .
Serikali kupitia Wizara ya Maji imetoa Shilingi bilioni moja kwa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) kufanikish . . .
Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amefahamisha kupitia barua iliyoonekana na shirika la habari la Reuters,kwamba nchi yake itasadia k . . .
Chelsea imemtimua Thomas Tuchel kufuatia kichapo cha jumanne usiku katika ligi ya mabingwa dhidi ya Dinamozagred . kocha huyo wa Borussia Do . . .
Gavana mteule wa Kenya amejizolea sifa kwa sheria kali za afisini baada ya kuwafukuza maafisa wakuu kwa kufika kwenye mkutano dakika chache . . .
Uongozi wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović baada ya kudumu kwa miezi miwili huku . . .
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini ,UNMISS pamoja na ofisi ya Umoja wa mataifa ya haki za binadamu wamesema kwamba takriban wanawake 13 . . .
Watuhumiwa wanne katika kesi namba mbili ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya,wamea . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kiongozi wa Conservative, Liz Truss.Liz Truss au kama lil . . .
Mwili wa Mchungaji wa Afrika Kusini, Siva Moodley bado umelazwa katika chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari) mjini Johannesburg kwa zaidi y . . .
Vikao vya kwanza vya Bunge la Kitaifa na Seneti vitafanyika mnamo Alhamisi, Septemba 8, 2022 ambapo wajumbe katika mabunge hayo wataap . . .
Waziri Mkuu anaeondoka nchini Uingereza Boris Johnson ameapa kumuunga mkono mrithi wake Liz Truss katika kila hatua atakayoipiga kwenye kazi . . .
Mahakama ya katiba nchini Angola imetupilia mbali madai ya chama cha upinzani UNITA kuyafuta matokeo ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama ta . . .
AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani.&nb . . .
URUSI inanunua mamilioni ya makombora ya mizinga na roketi kutoka Korea Kaskazini, kulingana na ripoti mpya za kijasusi zilizotolewa n . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kufanya kazi na Rais Mteule William Ruto pamoja na Naibu Rais mteule Rigathi Gachagua, baada ya Rais . . .
Takribani raia 35 waliuawa na 37 walijeruhiwa kaskazini mwa Burkina Faso siku ya Jumatatu wakati gari lililokuwa kwenye msafara lilipokanyag . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli (MCSL), Erick Hamisi amesema ujenzi wa meli ya MV Mwanza umefika asilimia 71 na inatarajiwa kua . . .