BALOZI KASIKE AZUNGUMZA MA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MSUMBIJI

 Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri Msumbiji, Mhe Pascoal Pedro Joao Ronda katika Ofisi za Wizara hiyo zilizipo Jijini Maputo.

Katika Mkutano huo, Viongozi hao wawili walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Msumbiji na kujadiliana kwa undani namna ya kuimarisha ushirikiano huo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii