HII BIFU NI KUBWA, NICKI MINAJ ATUPA DONGO KWA RIHANNA

NickiMinaj amefunguka kuhusu rapa Megan Thee Stallion kutamani kupata muda wa kuwa karibu na staa wa muziki duniani na mfanyabiashara #Rihanna.

Nicki Minaj anasema Megan Thee Stallion alitamani muda huo na Rihanna kwa sababu ni superstar, mzuri na anapendwa


Nicki Minaj ametupa dongo hilo katika muendelezo wa bifu lake na Megan Thee Stallion ambao wanatrend na ku-make headlines mitandoni na vyombo vya habari baada ya kutupiana maneno na disstrack kwenye nyimbo zao.


Mashabiki wengi wameshea comments zao za kuchukizwa kwa kitendo cha Nicki Minaj kumuingiza Rihanna kwenye bifu lake na Megan

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii