Neuralink imepata kibali Cha majaribio ya kubandika ubongo bandia Kwa binadamu

Kampuni ya Neuralink inayomilikiwa na Bilionea ElonMusk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza la kupandikiza Ubongo Bandia kwa Binadamu


Teknolojia hiyo inalenga kurejesha utendaji sahihi wa Mwili kwa wenye matatizo ya Mfumo wa 'Neva' ikiwemo Kupooza baada ya Ubongo kushindwa kufanya kazi inavyopaswa. Pia, inatarajiwa kuongeza uwezo wa Ubongo kufikiri zaidi ya kiwango cha kawaida


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii