Ufafanuzi wa maneno TRAB na TRAT yaliyotajwa Bungeni Maana Yake Ndio Hii

Mwanasheria Fulgence Massawe ambaye ni Mwanasheria aa LHRC akitolea ufafanuzi maneno mawili yaliyoyolewa jana Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. @mwigulunchemba baada ya kuonekana mageni masikioni mwa watu.

Watu wengi walihisi Mhe Waziri amekosea kuyatamka na kuyatumia yale maneno kumbe. Laaah Mhe Waziri alikuwa sahihi kabisa na maneno yale ndivyo yanavyotamkwa.

-#- TRAB kirefu chake ni TAX REVENUE APPEALS BOARD.

-#- TRAT kirefu chake ni TAX REVENUE APPEALS TRIBUNAL.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii