RATIBA YA MSIBA WA MWANAHABARI JIMMY KAGARUKI

JUMATANO 22/6 / 2022

mwili utawasili ibanda wilayani ilemela , nyumbani kwa wazazi wa marehemu saa 14:00 kwaajili ya mkesha wa maombi na nyimbo za maombolezo.


ALHAMISI 23/6/2022

saa 09: 00 -11: 00 uwanja wa nyamagana - salamu za viongozi , ofisini na wafanyakazi wenzake.

saa 14;00 - 16 kanisa la RC kirumba - ibada ya kumuombea marehemu .

saa 16: OO- mazishi katika malalo ya kitangiri mwanza

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii