logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

Senegal kuisaidia Mali katika vita dhidi ya makundi ya wanajihadi wa kiislamu

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema nchi yake inaiunga mkono Mali kwa asilimia 100, akisema yuko tayari kuisaidia nchi hiyo ya J . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

Dar, Lindi na Mtwara na Hazitaathiriwa ukamilishaji mradi wa Chalinze – Dodoma

Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara haitakumbwa na changamoto ya kukatika kwa umeme wakati wa utekelezaji wa hatua za mwisho za M . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

Wataalam wa ndani wafanikisha upandikizaji mashine za usikivu

Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufanikisha kwa mara ya kwanz . . .

NETBALL
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

LeBron James Atikisa NBA, Philadelphia 76ers Wathibitisha Kusajili

Philadelphia 76ers wamethibitisha kumsajili nyota wa NBA, LeBron James, ambaye amesema huu utakuwa mkataba wake wa mwisho katika ligi hiyo.J . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

Kanali Bienvenu Lamah aachiliwa huru mwishoni mwa kesi ya pili

Nchini Guinea, uamuzi mpya umetangazwa Jumatatu, Julai 27, katika kesi ya mauaji ya Septemba 28, 2009. Mahakama ya Jinai ya Dixinn ilimwachi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

UNAIDS "Dunia iko hatarini kwa mlipuko mwengine wa UKIMWI"

Umoja wa Mataifa unasema kuna dunia iko kwenye hatari ya kuzuka tena kwa mlipuko wa virusi vya ukimwi.Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshug . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 28, 2026

Haiti hatimaye kuandaa uchaguzi baada ya mwongo mmoja

Baraza la uchaguzi la Haiti limetangaza kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wake wa kwanza katika kipindi cha mwongo mmoja, mnamo Disemba 13.Uc . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

WAZIRI NDEJEMBI AWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

Mshukiwa wa shambulizi la Berlin apigwa risasi na kuuwawa

Mshukiwa aliyehusika katika mauaji ya mtu mmoja na wengine 29 kujeruhiwa mjini Berlin ameuwawa.Mshukiwa huyo ameuwawa kwa kupigwa risasi na . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

Maambukizi ya Ebola yapindukia 3,000 Kongo

Wahudumu wa afya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamerekodi zaidi ya maambukizi 3,000 ya ugonjwa wa Ebola, vikiwemo zaidi ya vifo 1,354.Haya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

Benki ya maendeleo ya Afrika yatoa tahadhari dhidi ya mvua za El Nino

Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) imeonya kuwa mvua za El Nino zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba mwaka huu, huenda zikasababisha hasara y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

Olara Otunnu, raia wa Uganda kuwania nafasi ya katibu Mkuu wa UN

Kinyang'anyiro cha kumsaka katibu mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa, sasa kimechukua sura mpya baada ya mgombea wa saba kujitokeza mwanadiploma . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 27, 2026

Moto wa nyika wazidi kusambaa Ufaransa na Uhispania

Nchini Ufaransa, moto umeharibu zaidi ya nyumba 100 katika mji wa Le Porge ulioko karibu na eneo la mapumziko la Cap Ferret, nyumba nyingi z . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 26, 2026

Watu 35 Wafariki, 30 Wajeruhiwa Ajali Mbaya ya Mabasi Syria

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha mabasi mawili kugongana kwenye barabara ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2026

Iran na Oman zapiga hatua kuhusu Mlango Bahari wa Hormuz

Iran na Oman zapiga hatua katika mazungumzo juu ya kuusimamia Mlango Bahari wa Hormuz.Iran imesema imepiga hatua katika mazungumzo na Oman j . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2026

Vikosi vya Israel vyaingia ndani ya Syria

Syria imeripoti kwamba Israeimevamia na kufanya mashambulizi mapya ya makombora kusini mwa nchi hiyo.Vyombo vya habari vya serikali ya Syria . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

TNCM YAIDHINISHA OMBI LA TANZANIA LA UFADHILI WA MZUNGUKO WA NANE (GC8) WA MFUKO WA DUNIA KWA KIPINDI CHA 2027–2029

Kamati ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (Tanzania National Coordinating Mechanism – TNCM), imei . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro Wagoma

Wafanyabiashara wa Soko la Mawenzi mkoani Morogoro wamegoma kufungua biashara zao wakishinikiza Serikali kupunguza kodi ya pango la vizimba, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Ajali Moro Yaua Watu Wawili

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2026, katika eneo la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Uingereza yafuta mazozi ya kila mwaka ya wanajeshi wake Kenya

Uingereza imefuta mazoezi ya kila mwaka ya wanajeshi wake nchini Kenya, baada ya kutopata leseni kutoka kwa utawala wa Nairobi.Wizara ya Uli . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Gavana wa zamani apatikana na hatia ya mauaji

Mahakama nchini Kenya imemkuta na hatia gavana wa zamani wa kaunti ya Migori, Okoth Obado, katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Marekani kuongeza ushuru mpya kwa washirika wake wa kibiashara

Marekani imetangaza kuwa itaongeza ushuru mpya wa forodha wa asilimia 60 kwa washirika wake wa kibiashara, kwa madai kuwa yameshindwa kumali . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Nigeria kuajiri wanajeshi wapya 28,000

Rais wa Nigeria Bola Tinubu ameidhinisha kuajiriwa kwa wanajeshi wapya 28,000 ili kuimarisha ulinzi wa taifa hilo la Afrika Magharibi linalo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2026

Mdahalo wa wagombea wa UN wafanyika mjini New York

Wagombea sita wanaowania nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wameweka msisitizo mkubwa juu ya kurejesha imani kwa taasisi hiyo, ambayo . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Athari za kuvalisha mtoto viatu kabla hajaanza kutembea

MOJAWAPO ya maswali yanayozua mjadala katika malezi ya watoto wachanga ni kuhusiana na wakati ambapo mtoto anapaswa kuanza kuvalia viatu.Kil . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Shirika la afya la AU laitaka Marekani kuondoa vikwazo vya usafiri dhidi ya Uganda

Shirika la afya la Umoja wa Afrika (Africa CDC) linaiomba Marekani kuondoa vikwazo vya usafiri dhidi ya Uganda. Hakuna visa vipya vilivyorek . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Trump apokea miili ya wanajeshi wanne wa Marekani waliouawa Mashariki ya kati

Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano,  aliwaongoza viongozi wa serikali, maafisa wa kijeshi na familia za wanajeshi wanne wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

EMEDO "Tuungane kubadili muelekeo wa vifo vya kuzama maji"

Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya kuzuia kuzama maji duniani jamii jijini mwanza imetakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia usalama wao ha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

RAIS MWINYI AZUNDUA KITUO CHA MABASI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kituo cha Mabasi ya Umeme (ZAN BUS), ki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Saudi Arabia na Marekani Wasaini Mkataba wa Matumizi ya Nishati ya Nyuklia

Saudi Arabia na Marekani zimesaini makubaliano ya ushirikiano kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia kwa madhumuni ya amani, hatua inayolenga . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Rais Samia Ahutubia Mkutano wa AU Kuhusu Afya Ghana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehutubia Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Inter Miami Yamtambulisha Casemiro, Lakini Yakumbwa na Uchunguzi

Klabu ya Inter Miami imetangaza rasmi kumsajili kiungo mkongwe wa Brazil, Casemiro, kama mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Wadephul kukutana na Ramaphosa mjini Johannesburg

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, anahitimisha leo ziara yake ya siku nne barani Afrika nchini Afrika Kusini ambapo anat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2026

Wagombea wa nafasi ya Katibu Mkuu wa UN kushiriki mdahalo

Wagombea wanaowania nafasi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa watapambana leo katika mdahalo utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza Kuu la Um . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

WIZARA YA MADINI YAZITAKA KAMPUNI ZA KIGENI KUHESHIMU SHERIA, YAWAHAMASISHA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA MIGODINI.

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameziagiza kampuni kubwa za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuzingatia kikamilifu sheri . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

MHE. SALEHE MBWANA MHANDO: UCHAGUZI UMEKWISHA, SASA NI MUDA WA KAZI NA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Mhe. Salehe Mbwana Mhando,ameendelea na ziara yake ya Kuwashukuru Wananchi katika Kata ya Mabalanga, ambapo alik . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

Maandamano yakupinga mpango wa kubadilisha katiba yahairishwa

Maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa C64 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupinga mpango wa kuibadilisha katiba hayat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

Uchunguzi wa rushwa wagusa chama cha Orbán

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Hungary imeanzisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na makosa ya jinai, wakivamia kituo cha data cha c . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

Rais Aoun wa Lebanon akutana na Trump

Rais Joseph Aoun wa Lebanon amekutana na Rais Donald Trump wa Marekani mjini Washington wakati wa ziara yake ya kutafuta uungwaji mkono kati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2026

Bunge la Ufaransa laridhia marufuku ya mitandao kwa watoto

Bunge la Ufaransa limeidhinisha muswada wa sheria utakaopiga marufuku watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 kutumia mitandao ya kijamii.Hat . . .

Kurasa 13 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category