logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Kumeibuka Tabia hatari ya matusi na kuzima mawazo ya wengine

Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema Tanzania kumezuka tabia hatari ya watu kuzi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Tume yatoa sababu za kutotaja majina ya wahusika kwenye ripoti

Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema ripoti haijataja majina ya wahusika kwasaba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Prof. Juma: Mahakama Kuu iliipa Tume uhalali

Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema Mahakama Kuu iliwapa uh . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Iran yaishtumu Marekani kwa kuvuruga mazungumzo ya amani

Araghchi amesisitiza kuwa Marekani ndiyo iliyosababisha mazungumzo ya awali kati ya Tehran na Washington kushindwa kutokana na kile alichoki . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Guterres ahimiza mlango bahari wa Hormuz ufunguliwe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufunguliwa kikamilifu kwa Mlango Bahari wa Hormuz, akisisitiza umuhimu wake . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

Kongo yazindua kikosi maalum cha kulinda migodi

Serikali ya Kongo imetangaza kuanzisha kikosi maalum cha walinzi wa madini, jeshi lisilo rasmi litakalokuwa na jukumu la kulinda migodi pamo . . .

Mauaji
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

29 wauawa Nigeria; washambuliaji walenga vijana uwanjani

Watu waliokuwa na silaha wamewaua takriban watu 29 katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria, huku mashuhuda wakisema washambuliaji wal . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

Hali ya usalama bado ni tete nchini Mali baada ya shambulio

Hali ya usalama bado ni tete nchini Mali baada ya mfululizo wa mashambulizi ya kushtukiza yaliyofanywa Jumamosi na waasi wa Touareg wakishir . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

Rais wa Burundi ateuliwa na chama chake kuwania Urais 2027

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mw . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

Vita ya Ubingwa: Simba na Yanga Kukutana Mara Mbili Mfululizo Aprili 29 na Mei 3

Simba imetinga hatua ya fainali Muungano Cup 2026 kwa ushindi wa magoli 3-0 Mlandege FC Aprili 29 katika dimba la New Amaan Complex, Zanziba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

PROF. SHEMDOE AMSHUKURU WAZIRI MKUU KUADHIMISHA MIAKA 62 YA MUUNGANO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru  Wazir . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

WANAWAKE WAHIMIZWA KUZINGATIA MALEZI WANAPOJIKWAMUA KIUCHUMI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu (Jinsia na Wanawake), Felista Mdemu, amewataka wanawa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

Mashambulizi ya waasi na makundi ya silaha yaitikisa Mali

Utawala wa kijeshi nchini Mali unakabiliwa na mtikisiko wa kiusalama baada ya mashambulizi ya waasi kusababisha kifo cha Waziri wa Ulinzi na . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • April 27, 2026

14 wauawa Lebanon licha ya makubaliano ya kusitisha vita

Wizara ya afya ya Lebanon imeripoti kwamba watu 14 wameuawa katika mashambulizi ya Israel kusini mwa nchi hiyo, ikiwa ni idadi kubwa zaidi y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2026

Wajerumani wengi hawana imani na pensheni ya serikali

Zaidi ya robo tatu ya watu nchini Ujerumani hawana imani kwamba pensheni ya serikali itatosha kudumisha kiwango chao cha sasa cha maisha wat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2026

Matumizi ya kijeshi yafikia dola trilioni 2.9 mwaka 2025

Kwa mujibu wa ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI), mataifa matatu yanayotumia fedha nyingi zaidi katika . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 27, 2026

Ripoti"DR Congo ni ya tano duniani kwa idadi kubwa ya wakimbizi"

Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, imebaini kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa inashika nafas . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 27, 2026

Ndayishimiye ateuliwa na chama chake kuwania urais 2027

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombe wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2026

Karibia watu 42 wameuwawa katika mapigano ya kikabila

Nchini Chad karibia watu 42 wameuwawa  baada ya makabiliano na mapigano kuzuka  Jumapili  kati ya makabila  yanayoishi m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2026

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mbunifu, wa vitendo na mwenye dhamira ya dhat . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 26, 2026

Aliyefyatua Risasi Kwenye Hafla ya Waandishi wa Habari na Trump ni Mwalimu

Mtu aliyekamatwa kufuatia tukio la ufyatuaji risasi lililotokea Jumamosi wakati wa hafla ya Waandishi wa Habari wa Ikulu (White House Corres . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 26, 2026

Mapigano mapya yazuka Kidal, Mali kati ya jeshi na waasi

Mapigano mapya yamezuka Jumapili katika mji muhimu wa Kidal nchini Mali kati ya waasi wa Tuareg wanaoungwa mkono na wapinagaji wa itikadi ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2026

Zelensky aishutumu Urusi kwa 'ugaidi wa nyuklia'

Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameishutumu Urusi kwa kufanya kile alichokiita "ugaidi wa nyuklia", wakati Ukraine inafanya leo kumbukumb . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2026

Mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran yakwama

Rais wa Marekani Donald Trump, Makamu wake JD Vance na maofisa wengine wa serikali walikimbizwa katika eneo salama baada ya milio ya risasi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Wabadhilifu vyama vya ushirika kukiona

VIONGOZI wa vyama vya ushirika watakaofanya ubadhirifu, sasa wataanza kumulikwa baada ya mpango maalumu wa kuimarisha uadilifu kuanzishwa, u . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Mikakati yasukwa kuhakikisha usalama kwa wananchi Afrika

WAKAZI katika Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika (RESCA) wameendelea kuhakikishiwa usalama baada ya ‎Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nc . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

WHO yaidhinisha dawa ya Malaria kwa watoto wachanga

Shirika la Afya Duniani, WHO, kwa mara ya kwanza limeidhinisha dawa ya kutibu malaria kwa ajili ya watoto wachanga. Toleo hilo jipya la dawa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Milipuko, milio ya risasi yatikisa miji ya Mali

Milio ya risasi imesikika pia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Modibo Keita kwenye mji mkuu Bamako huku mashuhuda wakisema kuwa wame . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Wapalestina wafanya uchaguzi wa kwanza baada ya Vita

Wapalestina waishio katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel, pamoja na wanaoishi kwenye eneo la katikati mwa Ukanda wa Ga . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

DRC: Mkuu mpya wa MONUSCO afanya ziara yake ya kwanza Goma

Akikabidhiwa mamlaka hayo tangu Aprili 7, James Swan amewasili siku ya Ijumaa, Aprili 24, katika mji mkuu wa Kivu Kaskazini, unaodhibitiwa n . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Watu 28 wamefariki katika shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi ya Bagmoussa

Askari kadhaa na wasaidizi wao kutoka Volunteers for the Defense of the Homeland (VDP) wameripotiwa kutoweka kufuatia shambulio lililotokea . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Mfahamu Msemaji wa Jeshi la Iran anayetikisa Mashariki ya Kati

Katika kipindi cha hivi karibuni cha mvutano wa kisiasa na kijeshi Mashariki ya Kati, jina la Ebrahim Zolfaghari limekuwa likitajw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Marekani Haina Haraka Kufikia Makubaliano na Iran

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa Marekani haina haraka kufikia makubaliano na Iran, huku akisisi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Real Madrid wakwama tena kuchukua ubingwa wa La Liga

Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Real Madrid katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga, baada ya kupoteza alama muhimu kufuatia sare ya 1-1 dh . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Waziri wa Iran Aelekea Pakistan, Russia na Oman Kukuza Ushirikiano wa Kikanda

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kuanza ziara muhimu ya kidiplomasia katika nchi tatu Pakistan, Russia na Oman aki . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Mgogoro wa Iran waibua mpasuko ndani ya NATO, Hispania na Marekani Zapishana

Mvutano umeibuka ndani ya NATO baada ya taarifa kudai kuwa Marekani inaweza kufikiria kuchukua hatua dhidi ya Hispania kufuatia ms . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Mvutano kati ya Marekani na Iran wazidi makali

Hayo ni baada ya Rais Donld Trump wa Marekani kuamuru jeshi la nchi hiyo kuzishambulia boti ndogo za kijeshi za Iran kwenye ujia huo m . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Afrika Mashariki yajadili kiwanda cha pamoja cha mafuta

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa nchi za Afrika Mashariki zinajadili mipango ya kuwa na kiwanda cha pamoja cha kuchakata mafuta kati . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Afrika Mashariki yajadili kiwanda cha pamoja cha mafuta

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa nchi za Afrika Mashariki zinajadili mipango ya kuwa na kiwanda cha pamoja cha kuchakata mafuta kati . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Bingwa mtetezi Stuttgart atinga fainali Kombe la Ujerumani

Mabingwa watetezi VfB Stuttgart, wamefika fainali ya Kombe la Shirikisho la Ujerumani – DFB Pokal kwa mara nyingine tena kutokana na ushin . . .

Kurasa 27 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category