logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Rais Mstaafu Kikwete Ahudhuria Mkutano wa Viongozi Duniani Norway

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na Bw. Massad Boulos, mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamiz . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Michuano ya soka kuwania kombe la dunia inaanza leo

Michuano ya soka kuwania  kombe la dunia, inaanza leo nchini Marekani, Mexico na CanadaSherehe za ufunguzi wa michuano hii mikubwa itaf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Papa Leo kukutana na wahamiaji katika visiwa vya Canary

Papa Leo XIV anatarajiwa kusafiri Alhamisi hadi visiwa vya Canary vya Uhispania kukutana na wahamiaji, ambao wengi wao walinusurika kutokana . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Idadi ya visa vya ebola yaongezeka Kongo

Idadi ya visa vya Ebola vilivyothibitishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeongezeka hadi 635. Misri imeahidi kuisaidia Kongo kati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Taifa la Ghuba Lapiga Marufuku Kuajiri Wafanyakazi wa Ndani Kutoka Kenya, Nchi Nyingine 25 za Afrika

Kuwait imeanzisha mabadiliko makubwa katika kanuni zake za kuajiri wafanyakazi wa ndani, ikiidhinisha nchi 10 pekee kama vyanzo vya ajira h . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Mtu mmoja auawa katika maandamano ya kupinga kituo cha Ebola

Nchini Kenya, mtu mmoja ameuawa baada ya kupigwa risasi na polisi, wakati wa maandamano yaliyofanyika siku ya Jumanne katika mji wa Nanyuki, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Somalia Yasikitishwa na Kuzuiwa kwa Mwamuzi Omar Artan Kuingia Marekani

Serikali ya Somalia imemtetea mwamuzi wake maarufu Omar Artan baada ya kunyimwa ruhusa ya kuingia Marekani, jambo lililomfanya kushindwa kuw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Rubani Atuhumiwa Kurusha Ndege Miaka 17 Bila Kuwa na Leseni Halali

Mamlaka za Canada zimesema rubani wa zamani wa shirika la ndege la Air Canada anatuhumiwa kusafirisha maelfu ya abiria kwa miaka 17 bila les . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Zaidi ya wahamiaji 1,000 waokolewa pwani ya Mauritania ndani ya siku kumi

Wakati walinzi wa pwani wa Mauritania wakiripoti ongezeko kubwa la watu wanaojaribu kuvuka hadi Visiwa vya Canary tangu mwisho wa mwezi Mei, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Taliban yavunja maandamano ya haki za wanawake Afghanistan

Maandamano ya wanawake yazimwa na maafisa wa usalama Herat. Mashuhuda wakiripoti mauwaji ya mtu mmoja na wengine wamejeruhiwa.Maafisa wa usa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 10, 2026

Shambulio la kisu lazusha vurugu Ireland Kaskazini

Waandamanaji wanaopinga wahamiaji wamechoma moto majengo na magari kwenye mji mkuu wa Ireland Kaskazini, Belfast siku moja baada ya kutokea . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

Wito wa amani kufuatia kisa cha mauaji msikitini

JAMII katika Kaunti ya Lamu zimesisitiza wito wa ushirikiano kuhubiri amani na utangamano kati yao, kufuatia kisa cha mauaji msikitini wiki . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

RPC Morcase akanusha uvumi wa maiti sita kuokotwa mto Ruvu

. . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

Marubani Wawili Wafariki Katika Ajali ya Private Jet ya Yadier Molina

Gwiji wa zamani wa mchezo wa Baseball, Yadier Molina amenusurika kupanda ndege binafsi aina ya Gulfstream G200 iliyopata ajali na kulipuka m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

Helikopta ya Kijeshi ya Marekani Yaanguka Hormuz

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa wanajeshi wawili wa helikopta ya kijeshi ya Marekani wako salama baada ya kuokolewa katika Mlango . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC asimamishwa kazi kutokana na tuhuma za ngono

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Karim Khan, amesimamishwa kazi kufuatia kesi za kinidhamu zilizoanzishwa baada . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 9, 2026

Mateka 400 waliokuwa wametekwa na Boko Haram wakabidhiwa kwa serikali

Nchini Nigeria, maafisa wa usalama wamekabidhi kwa serikali wanawake na watoto 400 waliokolewa mikononi mwa wanajihadi wa Boko Haram.Watu ha . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • June 9, 2026

Iran yalalamikia vikwazo vya tiketi na visa Kombe la Dunia

Mvutano mpya umeibuka kuelekea Kombe la Dunia 2026 baada ya Iran kulalamikia Marekani kufuta mgao wa tiketi kwa mashabiki wake.Shirikisho la . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 9, 2026

Pakistan, Lebanon waongeza ushirikiano wa kijeshi

Pakistan na Lebanon wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kijeshi wakati mazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati yakiendelea kusuasua.Wak . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • June 9, 2026

Papa Leo asikiliza manusura wa unyanyasaji Uhispania

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Leo XIV amekutana na manusura sita wa unyanyasaji wa kingono unaohusishwa na makasisi mjini Madrid na kuahi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 9, 2026

Polisi watumia vitoa machozi kutawanya waandamanaji Nanyuki

Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliopinga ujenzi wa kituo cha karantini ya Ebola kwa raia wa Marekani.Polisi nc . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Wajane wapanda Mlima Kilimanjaro, wahimiza uandikaji wosia katika familia

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amehimiza familia kuandika Wosia ili kupunguza mgogoro kwenye jamii mmoja wa wanandoa hasa mwanaume . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Viongozi wa Ulaya waunga mkono mazungumzo ya Ukraine, Urusi

Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wanaunga mkono pendekezo la mazungumzo kati ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy na Rais wa U . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Watu 20 waangamia kwenye tetemeko la ardhi Ufilipino

Watu 19 wamekufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea kusini mwa Ufilipino. Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 7.8 katika kipimo cha Ritcher . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

KIONGOZI WA BUDDHA ASIFU UHURU WA KUABUDU TANZANIA

Kiongozi Mkuu wa dini ya Buddha nchini, Mchungaji Dkt. Ilukuptiye  Pannasekara, amesifu ushirikiano ambao wanaupata sio tu kutoka katik . . .

Magari
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Kimi Antonelli Ashinda Monaco GP kwa Mara ya Tano Mfululizo, Lewis Hamilton Atajwa

Mashindano ya Monaco Grand Prix mwaka 2026 yameendelea kuvuta hisia za mashabiki wa Formula One duniani baada ya kijana wa Mercedes, Kimi An . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Familia zalalamikia kuzuiwa kuchukua miili ya wahanga wa Utumishi Girls

WAZAZI na jamaa za wasichana 16 walioangamia kwenye mkasa wa moto katika Shule ya Wasichana ya Utumishi sasa watasubiri hadi Juni 17, 2026 i . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 8, 2026

Israeli yajibu mashambulio ya Iran

Haya ni mashambulzi ya kwanza ya Israeli nchini Iran tangu mwezi Aprili, baada ya mkataba wa usitishwaji vita kati ya Iran, Marekani na Isra . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Marekani Yapanga Kutumia Mali za Iran Kufidia Uharibifu Mashariki ya Kati

Serikali ya Marekani inapanga kuangalia uwezekano wa kuelekeza mali za Iran kwenda mataifa ya Ghuba kwa ajili ya kugharamia ukarabati na fid . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Kim Kardashian na Dada Yake Waibuka Monaco Kumshangilia Lewis Hamilton

Kim Kardashian ameonekana akimpa sapoti mpenzi wake Lewis Hamilton wakati wa mazoezi ya kufuzu kuelekea Monaco Grand Prix 2026 iliyofanyika . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Daktari wa Marekani apona Ebola nchini Ujerumani wakati wagonjwa 488 wakiripotiwa DRC

Daktari wa Marekani, ambaye aliambukizwa virusi Ebola alipokuwa akifanya kazi nchini DRC, amepona baada ya matibabu ya zaidi ya wiki mbili n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Kamishna wa Masuala ya Kibinadamu wa Ulaya kuzuru Bunia nchini

Kamishna wa Ushirikiano wa Kimataifa, Misaada ya Kibinadamu na Mwitikio wa Migogoro wa Ulaya, Hadja Lahbib, anatarajiwa Jumapili hii, Juni 7 . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Marekani yaongeza tahadhari dhidi ya vitisho vya ujasusi

Wizara ya ulinzi ya Marekani, imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu vitisho vya ujasusi wa kigeni vinavyohusishwa na Israel . Haya ni kwa m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 7, 2026

Shambulizi la droni la Urusi lawauwa watu wawili Ukraine

Maafisa nchini Ukraine wamesema, mashambulizi ya droni ya Urusi hii leo yamesababisha vifo vya watu wawili nchini humo.Kulingana na chapisho . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 5, 2026

WATU 50 WAFARIKI KWA KIU YA MAJI

Takriban watu 50 wamefariki dunia kutokana na kiu katika eneo la mbali la Jangwa la Sahara kaskazini mwa Niger baada ya lori lililokuwa liki . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • June 5, 2026

TPA KUPITA NJIA ZA BANDARI KUBWA DUNIANI

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeanza kupita njia zinazotumiwa na baadhi ya bandari kubwa duniani katika kuboresha na kuend . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 5, 2026

Jamaa afariki katika ajali ya barabarani pamoja na mke na watoto 4 baada ya kuongoza sala msikitini

Familia moja imeingia katika maombolezo baada ya kupoteza  ndugu saba kwa wakati mmoja kwenye  ajali mbaya ya barabarani.Mwanaume, . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • June 5, 2026

Ronaldo kuongoza kizazi cha wachezaji wakongwe Marekani 2026

Wachezaji saba wenye umri wa miaka 40 na zaidi wanatarajiwa kushiriki kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026 jambo linaloonyesha uimara na maish . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • June 5, 2026

Familia ya Kifalme yagawanyika kabla ya sherehe ya harusi ya Peter Phillips

Sakata limeibuka ndani ya Familia ya Kifalme ya Uingereza kati ya Prince William na Queen Camilla kufuatia maandalizi ya harusi ya Peter Phi . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • June 5, 2026

Matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit) nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi . . .

Kurasa 19 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category