logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Rais wa zamani wa Botswana afariki dunia akiwa na miaka 86

Rais wa zamani wa Botswana Festus Mogae ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 86 tanzia hiyo imetolewa na ikulu ya rais huku serikali ikitang . . .

Jamii
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Fahamu madhara ya Mke kuwa muongeaji sana kwa Mume

UMESHAWAHI kukutana na mwanamke anaeongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu ana ujasili wa k . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Waziri wa Uingereza ashinikizwa kujiuzulu kufuatia matokeo mabaya ya Labour

Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer anakabiliwa na presha kubwa kutoka kwa wabunge wa Labour Party baada ya zaidi ya wabunge 20 wa cha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Iran yatajwa kwenye hali ya kuporomoka, Trump aibua sakata la Hormuz

Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa Iran imewafahamisha Marekani kwamba ipo katika “state of collapse” na imeomba kufunguliwa kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Marekani yaiona Tanzania kuwa mshirika muhimu wa kimkakati

Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, b . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Donald Trump: Makubaliano ya usitishaji vita Iran yangalipo

Makabiliano hayo mapya yamejiri wakati Washington ilipokuwa ikisubiri majibu ya Tehran kuhusu pendekezo lake la kumaliza mzozo.Rais wa Marek . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Viongozi wa ASEAN wakutana Ufilipino katikati ya mzozo

Viongozi wa nchi 11 wanachama wa Jumuiya ya Kusini Mashariki mwa bara Asia (ASEAN) wanafanya mkutano wa kilele wa kila mwaka nchini Ufilip . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Rwanda yasema mkosoaji wa serikali amekufa gerezani

Mkosoaji wa serikali ya Rwanda Aimable Karasira amefariki kwa kumeza dawa 'kupita dozi'maafisa wa magereza nchini Rwanda wamesema Alhamisi k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

Mahakama yabatilisha ushuru wa muda wa 10% uliowekwa na Donald Trump

Mahakama ya Marekani imeamua siku ya Alhamisi, Mei 7, kwamba ushuru wa muda wa 10% uliowekwa mwezi Februari na Donald Trump kuchukua nafasi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

Mashabiki watatu waliokuwa wanazuiliwa Morocco tangu fainali ya AFCON warejea nyumbani

Nchini Senegal, mashabiki watatu katika kundi la kwanza waliokamatwa nchini Morocco kufuatia vurugu wakati wa mchezo wa fainali ya AFCON huk . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

RAIS SAMIA ANAENDELEA KUPELEKA FURAHA NA NEEMA KWA WATUMISHI WA UMMA TANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA MFUKO WA BIMA YA AFYA WA MUFTI

Waziri wa Afya, Mheshimiwa. Mohamed Omary Mchengerwa, amezindua Mfuko wa Bima ya Afya wa Muftina amepongeza juhudi za Jumuiya ya Kiislamu nc . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

ASEAN yakubali mazungumzo ya mtandaoni na Myanmar

ASEAN imekubaliana kufanya mkutano wa mtandaoni na waziri wa Myanmar katika juhudi za kuirejesha kwenye ushirikiano wa kikanda.Mawaziri wa m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 8, 2026

Mashambulizi mawili ya wanajihadi yaua zaidi ya watu 30 Mali

Mashambulizi hayo yametokea chini ya kipindi cha wiki mbili baada ya shambulio kubwa lililoratibiwa na wapiganaji wa jihadi na waasi katika . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Lulu Diva na D Voice waweka Wazi Penzi Lao Hadharani, Watangaza Mpango wa Ndoa

Msanii wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva, usiku wa kuamkia leo Mei 8, 2026 ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Fahamu maajabu ya Kitunguu Maji: Lishe asili yenye faida kubwa kwa Afya

Kitunguu maji kinachojulikana pia kama green garlic ni mojawapo ya mimea yenye nguvu ya lishe na faida nyingi za kiafya mbali . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

TikTok yaifungia akaunti ya D4vd Wiki hache baada ya kesi ya mauaji

Akaunti ya TikTok ya Msanii na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani D4vd imeondolewa kwenye platform hiyo wiki chache baada ya kukabiliwa na mas . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • May 8, 2026

Ali Kamwe Afunguka Sababu ya Yanga Kumfuta Kazi Kocha Pedro Goncalves

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema sababu kubwa ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na Kocha Pedro Goncalves ni mwenendo usioridhisha wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Meli kadhaa zakwama ghuba ya Uajemi

Meli zakwama Ghuba ya Uajemi baada ya Iran kuendelea kudhibiti mlango bahari wa Hormuz, hatua inayochochea kupanda kwa bei za mafuta na wasi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Tshisekedi agusia uwezekano wa kuwania muhula wa tatu

Rais Félix Tshisekedi adokeza uwezekano wa muhula wa tatu na kuchelewesha uchaguzi wa 2028, akisema vita mashariki vikibaki, kura haziwezi . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Argentina yahaha kubaini chanzo cha virusi vya hanta

Mlipuko wa virusi vya hanta kwenye meli ya kitalii wazua taharuki huko nchini Argentina huku ikichunguzwa kama chanzo huku abiria wakipelekw . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Rubio awasili Vatican kutuliza mvutano wa Trump na Papa Leo

Waziri Marco Rubio amewasili Vatican kujaribu kurekebisha uhusiano uliodorora baada ya mvutano kati ya Rais Trump na Papa Leo XIV huku mazun . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

Chuki dhidi ya wageni: Afrika Kusini yajitetea na kuzishushia lawama baadhi ya nchi za Afrika

Afrika Kusini imejibu mnamo Mei 6, 2026, shutuma za chuki dhidi ya wageni kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji. Mfululizo wa maandamano dh . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

TUKIO LA NYUKI LAIBUA MASWALI

Wakazi wa Karatina, Kaunti ya Nyeri, walijikuta katika hali ya mshangao baada ya tukio lisilo la kawaida kuripotiwa karibu na eneo la mahaka . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

Villa vs Forest, Freiburg vs Braga leo Nani Atatinga Fainali Europa

Nusu Fainali kule Ureno hivyo leo hii ni kisasi kwa mwenyeji pia. Jisajili hapa.Mechi hii wageni wanaingia uwanjani wakiwa na faida ya bao 1 . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

Athari za kuvalisha mtoto viatu kabla hajaanza kutembea

MOJAWAPO ya maswali yanayozua mjadala katika malezi ya watoto wachanga ni kuhusiana na wakati ambapo mtoto anapaswa kuanza kuvalia viatu.Kil . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

Msanii wa Filamu Careen Simba Achumbiwa, Mashabiki Wabaki Na Maswali

Msanii wa filamu na video vixen maarufu, Careen Simba, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza rasmi kuwa amekubali kuchumbiwa.Kupitia uk . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

MKOA WA RUVUMA KUZALISHA TANI 29,000 ZA KAHAWA MSIMU 2026/2027

MKOA wa Ruvuma kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, umejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kutoka tani 26,088.05 za msimu 2025/202 . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

WIZARA YA ELIMU KUWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA 2026/27

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo tarehe 7 Mei 2026 atawasilisha maka . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 7, 2026

SERIKALI KUKAMILISHA SHERIA ZA UPANDIKIZAJI VIUNGO

Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mfumo wa sheria na sera maalum zitakazosimamia huduma za upandikizaji wa viungo n . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

PSG kukipiga na Arsenal fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya

Ni baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali dhidi ya Bayern Munich usiku wa kuamkia leo.Sasa watakutana na Ars . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Waingereza kupiga kura leo katika uchaguzi

Kura za maoni zinatabiri matokeo mabaya kwa chama chake cha Labour, ambapo ikiwa mambo yatakwenda kombo hali hiyo inaweza kuongeza shinikizo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Chad yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya shambulio

Serikali ya Chad katika taarifa yake imetangaza maombolezo ya kitaifa ya hadi siku ya Jumamosi Mei 9 kuwaenzi wanajeshi hao hiyo ni kufuatia . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Israel yamuua kamanda wa Hezbollah mjini Beirut

Katika taarifa ya pamoja Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi Israel Katz wamesema operesheni hiyo ilikuwa na lengo . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Fahamu faida 7 muhimu za kula Machungwa kila siku

Machungwa ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa urahisi na yanayopendwa na watu wengi, lakini nyuma ya ladha yake tamu kuna hazina kubw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Trump atoa onyo kali kwa Iran kukubali masharti

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani ijulikanayo kama “Operation Epic Fury” itafiki . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Hofu Ya Vita Yakwamisha Meli 1,600 Karibu na Strait of Hormuz

Zaidi ya meli 1,600 zimeendelea kusalia karibu na mlango wa bahari wa Strait of Hormuz huku hali ya usalama ikizidi kuwa tete kutokana na mv . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

SERIKALI YAJIPANGA KUWAFIKIA WANAWAKE WENGI ZAIDI KIUCHUMI

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali inachukua hatua ka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

WATU 32 WAFARIKI GEITA KWA MIEZI MITANO

Watu 32 wamefariki dunia kwa kipindi cha miezi mitano ya mwaka 2026 mkoani Geita, kufuatia kuongezeka kwa matukio ya moto na uokoaji yaliyoa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

Usiku wa Maamuzi, Nani kwenda Fainali UCL Leo Bayern Munich vs Paris Saint-Germain

Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaingia ukiwa na presha ya k . . .

Kurasa 24 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category