logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 14, 2026

Viongozi wa Israel na Lebanon kukutana tena Marekani

Viongozi wa Israel na Lebanon wanatarajiwa Alhamisi kufanya mazungumzo mapya ya amani mjini Washington, huku makubaliano ya kusitisha mapiga . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 14, 2026

Rais Macron ahitimisha ziara yake barani Afrika

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amehitimisha Jumatano ziara yake barani Afrika kwa mazungumzo nchini Ethiopia yaliyojikita zaidi katika sua . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 14, 2026

Watu sita wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi

Watu sita wameuawa nchini Ukraine kufuatia mashambulizi makubwa ya Urusi ambayo yalilenga miundombinu muhimu hasa katika maeneo ya magharibi . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Al Hilal Omdurman waandika kubeba ubingwa Rwanda wakiwa uhamishoni

Klabu ya soka ya Al Hilal Omdurman imeandika historia mpya katika soka la Afrika baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Rwanda msimu huu, li . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Trump Azua Gumzo Baada ya Kuchapisha Picha za AI Zenye Utata

Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mjadala mtandaoni baada ya kushirikisha picha kadhaa zilizotengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde (AI . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Okello mchezaji bora wa Mwezi April ligi kuu Tanzania bara

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Allan Okello amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya soka ya NBC msimu wa mwaka . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Mwigizaji Maarufu wa Nigeria Alexx Ekubo Afariki

Taarifa zinazosambaa mtandaoni zinadai kuwa mwigizaji maarufu wa Nigeria Alexx Ekubo amefariki akiwa na umri wa miaka 40, hali ambayo imeach . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Kichwa cha Marehemu James Temba Chapatikana Kitunda Kibeberu Ilala, Dar

Kichwa cha marehemu James Temba ambaye alifariki kwa mazingira ya kutatanisha na kukuza simanzi kwa familia na jamii, kimepatikana siku chac . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Rais Trump aenda China kusaka kutanua fursa za biashara

Rais Donald Trump amesema atamuomba Rais wa China Xi Jinping kuyafungulia milango zaidi makampuni ya Marekani, wakati akielekea nchini humo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Vita vya Iran kuugubika mkutano wa BRICS

Suala ya vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran linatarajiwa kuugubika mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la nchi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Trump aanza ziara yake rasmi ya China

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuwasili Beijing kwa ziara ya kwanza ya China kwa Rais wa Marekani katika kipindi cha karibu mwong . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Ufaransa yazindua uekezaji wa dola bilioni 27 Afrika

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza uekezaji mpya barani Afrika wakati mkutano wa kilele wa ushirikiano ulipofika mwisho jana huko N . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 13, 2026

Mashambulizi ya Urusi yawauwa 6 Dnipropetrovsk

Vikosi vya Urusi vimefanya mashambulizi katika eneo la Dnipropetrovsk na kuwauwa angalau watu 6.Haya ni kwa mujibu wa maafisa wa eneo hilo w . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 12, 2026

Urusi yaanza upya mashambulizi baada ya kusitishwa mapigano

Urusi imeanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya droni dhidi ya Ukraine saa chache baada ya muda wa kusitisha mapigano kumalizika.Jeshi la an . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 12, 2026

Trump aonyesha utayari wa kujadili mauzo ya silaha Taiwan

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kujadili suala la uuzaji silaha za Marekani kwa Taiwan wakati wa ziara yake mjini Beijing . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 12, 2026

Mamia waachwa bila makao kufuatia machafuko mapya Haiti

Wimbi jipya la machafuko ya magenge yamepelekea mamia ya watu kuukimbia Mji Mkuu wa Haiti Port-au-Prince.Watu hao wanadai kuweka kambi katik . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • May 12, 2026

Viongozi wa Afrika washinikiza mageuzi makubwa katika mifumo ya mikopo

Viongozi wa Afrika wametumia siku ya pili ya mkutano wao na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kushinikiza mageuzi katika mfumo wa kimataifa w . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 12, 2026

Matumaini ya kufikia makubaliano ya amani Iran yatetereka

Matumaini ya kufikiwa kwa makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran yamepungua baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa usitishaji wa mapi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

OUSMANE DEMBÉLÉ ATWAA TUZO YA UNFP KWA MARA YA PILI MFULULIZO

Nyota wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembélé, ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligue 1 (UNFP Player of the Year) kwa msimu wa pi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

KOCHA WA ESPÉRANCE SPORTIVE DE TUNIS ATIMULIWA

Klabu ya Espérance Sportive de Tunis imetangaza kuachana na kocha Patrice Beaumelle, kwa uamuzi uliotekelezwa mara moja. Hatua hii imekuja . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

YANGA SC YAPIGWA FAINI YA SHILINGI MILIONI 30

Mchezo wa Dabi ya Kariakoo katika Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2, umeiletea Yanga maumivu makali ikipgwa faini ya Sh30 milioni h . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

RAIS SAMIA AWASILI UGANDA, KUHUDHURIA UAPISHO WA MUSEVENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

GPE, EP4R WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU BUSWELU

Ujumbe wa wadau wa maendeleo ya elimu ukiwemo Global Partnership for Education (GPE) pamoja na Education Program for Results (EP4R) ukiongoz . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

Rais Museveni kuapishwa kuhudumu kwa muhula wa saba

Nchini Uganda, baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Januari, rais Yoweri Museveni anaapishwa leo, kuongoza nchi hiyo kw . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

Ramaphosa hatojiuzulu licha ya mamilioni kufichwa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa hatoachia ngazi kama rais licha ya kubuniwa kwa kamati ya kumuondoa madarakani.Kamati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2026

Shinikizo lazidi kwa Starmer kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekabiliwa na shinikizo zaidi baada ya wasaidizi 4 wa mawaziri na zaidi ya wabunge 60 wa chama cha La . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Rais Trump akataa masharti yaliyotoka Iran, kumaliza vita

Marekani yaongeza uwezekano wa kuzuka upya mapigano nchini Iran baada ya Tehran kutowa mapendekezo kadhaa ya kumaliza vita Mashariki ya kati . . .

Makala
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Unafahamu kuwa chakula na maji unayokunywa yanatokana na nyuki?

KATIKA kipindi hiki cha mabadiliko ya tabianchi, uzalishaji wa chakula duniani unazidi kuwa kwenye njiapanda na hatarini. Lakini mbali na uk . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA IFAD, NAIROBI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 11, 2026 amekutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Alvaro Lario, j . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Dereva Afariki, Gari Liteketea kwa Moto Katoma Mkoani Kagera

Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Actros Benz lenye namba za usajili SSD 319 AB / SSD 953 AB kupinduka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI SADC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Kamati y . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Cardi B na Stefon Diggs Waonekana Pamoja Tena Washington

Katika tukio lililovuta hisia za mashabiki wengi, Cardi B na Stefon Diggs wameonekana pamoja tena katika hafla ya Siku ya Akina Mama iliyofa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Marekani yakataa pendekezo la Iran la kukomesha vita

Tehran imejibu siku ya Jumapili pendekezo la Marekani, lililotolewa kupitia Pakistan, la kukomesha vita, licha ya makubaliano yausitihaji ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Macron awasili Kenya kutokea Misri

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na mwenzake wa Kenya William Ruto mjini Nairobi.Hii ni kama sehemu ya ziara yake barani Afrika in . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Mshindi wa Nobel Mohammadi ahamishiwa hospitali Tehran

Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel kutoka Iran ambaye pia ni mwanaharakati Narges Mohammadi amehamishwa katika hospitali moja ya Tehran zaidi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 11, 2026

Kocha wa kike Eta aandika historia zaidi Union Berlin

Marie-Louise Eta amekuwa kocha wa kwanza wa kike kushinda mechi katika mojawapo ya ligi tano kuu za kandanda Ulaya.Hii ni baada ya timu yake . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Mwanasheria Mkuu atetea uteuzi wa Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Gachagua kutimuliwa

MWANASHERIA Mkuu Dorcas Oduor amesihi Mahakama Kuu kutobatilisha kuondolewa mamlakani kwa Bw Rigathi Gachagua kama Naibu Rais akisema majaji . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Magavana wataka walipwe pensheni baada ya kustaafu

HARAMBEE iliyopangwa kusaidia matibabu maalum ya aliyekuwa Gavana wa Kericho Profesa Paul Chepkwony imefichua maisha magumu wanayokumbana na . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

Serikali yahimiza wafanyabiashara kutumia fursa za masoko ya kimataifa

Serikali imewahimiza wafanyabiashara na wazalishaji nchini kutumia kikamilifu fursa za masoko ya kikanda na kimataifa ili kuongeza mauzo ya . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • May 9, 2026

WHO: Hatari ya virusi vya Hanta kwa umma ni ndogo

Shirika la Afya Duniani WHO limesema hatari kwa umma kutokana na mripuko wa virusi hatari vya Hanta ni ndogo.Kulingana na WHO, hatari ya ki . . .

Kurasa 23 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category