Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda amepokea mitambo mitatu ya utambuzi wa kemikali zinazotumika kwe . . .
Mashabiki wa msanii wa Afrika Kusini, Tyla, wameibua taharuki mtandaoni baada ya nyota huyo kuzima akaunti zake za X na TikTok huku akiifany . . .
Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano huku zikisubiri idhini ya Rais wa Marekani Donald Tr . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametahadharisha kuhusu mwelekeo wa vita vinavyoendelea nchini Ukraine na kusema, "ongezeko . . .
Mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani WHO aliwasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Alhamisi, ikiwa ni ishara ya kuunga mk . . .
Nchini Nigeria, kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Januari mwaka ujao, vyama vya siasa tangu Mei tarehe 23 vimekuwa vikifanya . . .
Kituo cha kuwahifadhi raia wa Marekani walioambukizwa virusi vya ebola, kinatarajiwa kufunguliwa nchini Kenya hivi leo, kwa mujibu wa maafis . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam hii leo Mei 28, 2026 imeifuta rasmi hati ya kesi ya madai iliyokuwa imefunguliwa dhi . . .
Kombe la Dunia 2026 litaanza rasmi Juni 11, 2026 ambapo wenyeji Mexico watafungua pazia dhidi ya South Africa katika mchezo wa ufunguzi utak . . .
Wanafunzi16 wamefariki dunia huku wengine 74 wakijeruhiwa baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni la wanafunzi katika Chuo cha Wasichana cha U . . .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za Tanzania zinazoshiriki . . .
Israel imetangaza kwamba imemuua Mohammed Odeh mkuu mpya wa tawi la kijeshi la Hamas katika ukanda wa Gaza katika shambulio lililofanyika Ju . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amepuzilia mbali ripoti kwamba Iran na Oman zitachukua jukumu la kusimamia shughuli za usafiri katika Mlango B . . .
Serikali ya Uganda imeamuru kufungwa kwa mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia ongezeko la visa vinavyoshukiwa kuwa vya ai . . .
Kocha anayeondoka wa Crystal Palace Oliver Glasner amesema hana mpango wowote wa haraka kuhusu mustakabali wake wa kazi baada ya kuiongoza t . . .
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana vikali usiku kucha kwa kutumia droni na makombora. Mapigano hayo yanaonesha kuendelea kwa mvutano . . .
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na Baraza lake la Mawaziri leo Jumatano wakati mazungumzo ya kumaliza vita na Iran yakiwa bado hayaj . . .
Kituo cha udhibiti na kuzuia magonjwa Afrika CDC kimesema kuwa kimeongeza juhudi za kinga na kuharakisha maendeleo ya chanjo kufuatia mlipuk . . .
Israel imetangaza leo kuwa imemuua kiongozi mpya wa tawi la kijeshi la Hamas huko Gaza Mohammed Odeh mauaji hayo yamefanyika baada ya Israel . . .
Zaidi ya Waislamu milioni 1.7 wanaotekeleza ibaada ya Hijja mwaka huu wameshiriki leo ibada ya kumtupia mawe Shetani katika bonde la Mina . . .
Mama mzazi wa Hayati John Pombe Magufuli Bi. Suzana Magufuli anatarajiwa kuzikwa siku ya Ijumaa katika makaburi ya familia yaliyopo nyu . . .
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepata rasmi tiketi ya chama tawala cha All Progressives Congress (APC) kuwania urais katika uchaguzi . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua tena mkewe Janet Museveni kuendelea kuhudumu kama Waziri wa Elimu na Michezo katika Baraza . . .
Klabu ya Southampton F.C. pamoja na Royal Antwerp F.C. zimethibitisha kifo cha aliyekuwa mchezaji wao wa akademi, Victor Udoh aliyefariki ak . . .
Rapper Drake anaripotiwa kukataa kuingiza Album zake tatu kwenye mchakato wa kuwania tuzo za Grammy, licha ya mafanikio makubwa aliyoyapata . . .
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR-MUUUB), Juma Mkomi, amewataka Wakurugenzi na Wakuu wa Idar . . .
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amelazwa kwa muda mfupi katika Hospitali ya Hadassah Ein Kerem mjini Jerusalem usiku kuamkia leo . . .
Idadi kubwa ya waumini wa dini ya Kiislamu wamekusanyika leo katika uwanja wa Arafat, hatua inayotajwa kuwa kilele cha ibada ya Hajj na moja . . .
Mashambulizi ya Marekani dhidi ya mji wa bandari wa Bandar Abbas kusini mwa Iran yameibua wasiwasi mpya kuhusu hatima ya mpango wa usitishaj . . .
Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum ametangaza kuwa nchi hiyo itaihifadhi timu ya taifa ya Iran wakati wa mashindano ya 2026 FIFA World Cup baa . . .
Jeshi la Marekani kupitia United States Central Command (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi ya kujilinda dhidi ya maeneo ya kijesh . . .
Marekani inasema wnanajeshi wake wametekeleza mashambulio mapywa, Kusini mwa Iran kulenga vituo vyake vya makombora na boti zinazotumiwa kut . . .
Shirika la afya duniani WHO limeonya kwamba mataifa Jirani na nchi ya DRC yanakabiliwa na hatari kubwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebo . . .
Chama Cha Mapinduzi kimepongeza uamuzi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Rais Dk Hussein Ali Mwimyi kwa kushind . . .
Viongozi wakuu wa Iran wanadaiwa kuingia katika hali ya tahadhari kubwa ya kiusalama kufuatia hofu ya mashambulizi mapya baada ya vita vya h . . .
Rais wa Marekani amesema kuwa mazungumzo yanaendelea “kwa utaratibu na kwa njia yenye kujenga,” na kusisitiza kuwa hana haraka ya kufiki . . .
Spika wa Bunge la Senegal ametangaza kwamba atajiuzulu wadhifa huo siku mbili baada ya mshirika wake wa karibu Ousmane Sonko kuvuliwa uwazir . . .
Mamlaka za nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimesema visa vinavyohisiwa kuwa vya Ebola vimeongezeka na kufikia 900, katikati ya mlipu . . .
Mamia ya wafungwa katika gereza la jiji la Barinas nchini Venezuela wamechukua udhibiti wa gereza hilo hapo Mei 24,2026 kwa madai ya kuteswa . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema makubaliano ya awali kuhusu amani kati ya Marekani na Iran yako karibu kukamilika, huku matumaini ya . . .