logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

Trump Atoa Kauli Kali Baada ya Wito wa Netanyahu Kukamatwa

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, hatakamatwa akiwa nchini Marekani licha ya kuwepo kwa hat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

LANGO JIPYA LA BIASHARA UKANDA WA MAZIWA MAKUU

Kigoma ni mwisho wa reli.” Ingawa ulitamkwa kwa utani, kwa kiasi kikubwa uliakisi hali halisi ya miundombinu na mtazamo uliokuwepo kuhusu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

Argentina Yapokelewa Kishujaa Licha ya Kupoteza Fainali ya Kombe la Dunia

Maelfu ya mashabiki wa Argentina walijitokeza licha ya baridi kali na mvua kuwakaribisha wachezaji wa timu yao ya taifa waliorejea nyumbani . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

Senegal yaunga mkono azma ya Macky Sall kuwania nafasi ya katibu Mkuu, UN

Senegal imetangaza kuwa inaunga mkono harakati za aliyekuwa rais wa nchi hiyo Macky Sall, kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

Korea Kaskazini yasisitiza uungaji wake mkono kwa Urusi

Korea Kaskazini imesisitiza uungaji wake mkono kwa vita vya Urusi nchini Ukraine wakati wa mazungumzo ya mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2026

Hamas wamchagua Al-Hayya kuongoza kundi hilo

Kundi la wanamgambo wa Palestina la Hamas limetangaza hii leo kumchagua mujahid Khalil al-Hayya kuwa kiongozi wake mkuu.Afisa mmoja wa Hamas . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 17, 2026

Msaidizi wa Trump Asimamishwa Kazi

Ikulu ya Marekani imemsimamisha kazi kwa muda bila malipo mmoja wa waendeshaji wa muda mrefu wa teleprompter wa Rais Donald Trump, baada ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 17, 2026

Mzamiru Yassin Aaga Rasmi Simba Baada ya Miaka Tisa ya Utumishi

Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kuachana na kiungo wake mkongwe Mzamiru Yassin, baada ya mkataba wake kumalizika, ikiwa ni sehemu ya m . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 17, 2026

Ajali ya barabarani nchini Uganda yauwa wanafunzi 20

Wanafunzi wa shule 20 na mtu mmoja mzima, wamepoteza maisha, nchini Uganda baada ya Basi, walilokuwa wanasafiria kuhusika kwenye ajali ya ba . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 17, 2026

Zelensky aripoti vifo kufuatia mashambulizi ya Urusi Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema watu kadhaa wameuawa na wengine wamejeruhiwa katika mashambulizi ya droni za Urusi.Rais Zelensky . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 17, 2026

Marekani yashambulia madaraja ya Iran

Marekani imeongeza mashambulizi yake dhidi ya Iran kwa kushambulia madaraja muhimu na kuangusha mnara wa kudhibiti usafiri wa baharini katik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

RAIS DKT. MWINYI" KUIMARISHA MIFUMO YA AFYA NI NJIA BORA YA KUENZI URITHI WA MZEE MKAPA"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation, Mhe. Dkt. Huss . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 16, 2026 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofan . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

Washington kuweka ushuru wa 25% kwa baadhi ya bidhaa za Brazil

Serikali ya Marekani imetangaza siku ya Jumatano kwamba itaweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kadhaa za Brazil, kufuatia uchunguzi uliofanywa na . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

watu 11 wafariki katika kisa cha moto katika kituo cha watoto yatima

watu 11 wamefariki na wengine 19 wamejeruhiwa katika kisa cha moto, ambao bado unawaka, katika kituo cha watoto yatima katika viunga vya Alg . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

Ebola DRC: Maambukizi yapindukia 2,000 na vifo 796

Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unazidi makali ambapo maambukizi yameongezeka na kufikia watu 2,073 na vif . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 16, 2026

Ukraine kupata serikali mpya, huku vita vikipamba moto

Bunge la Ukraine linatarajiwa hivi leo kuipitisha serikali mpya ya wakati wa vita, baada ya rais Volodymyr Zelensky kufanya mabadiliko katik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 15, 2026

UDSM Yaingia kwenye orodha ya QS World University Rankings (QS WUR) 2027

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeandika historia mpya baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika orodha ya QS World University Rankin . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 15, 2026

Wanaswa kwa tuhuma za kupanga kutapeli benk

JESHI la Polisi Mkoani Tabora limekamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kupanga njama ya kufanya utapeli katika benki za CRDB na NMB zilizo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 15, 2026

Urusi yashambulia vikali miundo mbinu ya bandari ya Ukraine

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema mashambulizi yamefanyika katika bandari za Odesa na Chornomorsk kwa kutumia makombora ya masafa marefu na . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 15, 2026

Mbappe akiri timu yake haikucheza kwa viwango

Ufaransa yaambulia patupu kwenye mchuano wa nusu fainali dhidi ya Uhispania. Lakini je Uhispania inatosha kutwaa kombe la dunia.Nahodha wa U . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 15, 2026

Iran na Marekani zaendelea kushambuliana

Marekani imeshambulia maeneo mbali mbali ya Iran ikifyetuwa makombora 13 wakati Tehran ikishambulia maslahi ya Marekani kwa makombora Bahrai . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Lebanon na Israel warejea kwenye meza ya mazungumzo, Rome

Lebanon na Israel wamerejea kwenye mazungumzo hii leo mjini Rome, huku Beirut ikitarajia kutafikiwa hatua katika suala la Israel kuondoka ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Mwanamke Afariki Baada ya Kulazwa ICU kwa Miaka 6

Mwanamke kutoka Mbarara ambaye alitumia miaka sita katika Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU) amefariki baada ya vita vya muda mrefu vya kim . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

RAIS DKT. MWINYI AIALIKA SWEDEN KUONGEZA UWEKEZAJI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Kizza Besigye amelazimishwa kuhudhuria kesi yake

Nchini Uganda, kesi ya uhaini ya Kizza Besigye imepangwa kuanza Julai 13, 2026. Kiongozi huyu mkongwe wa upinzani alifikishwa kwa nguvu mbel . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Spika wa Bunge la taifa atishia kuiangusha Serikali

Spika wa Bunge la tiaf la Senegal, Ousmane Sonko, ambaye alikuwa kiongozi wa upinzani nchini Senegal na Waziri Mkuu mfululizo kabla ya kuwa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Ni Lamine ama Mbappe nusu fainali Kombe la Dunia

Ufaransa na Uhispania wanakutana baadae leo kwenye nusu fainali za michuano ya Kombe la Dunia, katika mechi inayotarajiwa kuwa ya mvutano na . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 14, 2026

Urusi yafanya mashambulizi mapya ya makombora dhidi ya Kiev

Urusi imefanya mashambulizi mapya ya usiku kucha ya makombora ya balistiki dhidi ya mji mkuu wa Ukraine Kiev huku milipuko kadhaa ikisikika . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

Bamia (lady’s finger/okra) ni mboga yenye virutubisho vingi sana ambavyo vina faida kubwa mwilini. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kula b . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Kizimbani kwa kughushi na kufuja mil.5.5

Mnamo Juni 29, 2026 TAKUKURU Wilaya ya Siha imefungua shauri la uhujumu uchumi namba 14596/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Siha ikiwa ni J . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Muigizaji Sam Neill wa ‘Jurassic Park’ Afariki Dunia Akiwa na Miaka 78

Sam Neill, aliyepata umaarufu mkubwa duniani kupitia nafasi yake ya Dk. Alan Grant katika filamu za “Jurassic Park”, amefariki dunia aki . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Kesi dhidi ya Eugene Rwamucyo yaingia katika hatua za mwisho

Kesi dhidi ya aliyekuwa daktari nchini Rwanda Eugene Rwamucyo anayetuhumiwa kwa mauaji ya kimbari mwaka 1994 ,ambayo imekuwa ikiendelea Pari . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Kiongozi wa RSF ahukumiwa adhabu ya kifo Sudan

Mahakama nchini Sudan imepitisha hukumu ya kifo kwa kiongozi wa kundi la wanamgambo wa RSF nchini humo Mohamed Hamdan Daglo.Daglo amehukumiw . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 13, 2026

Iran "Marekani lazima iheshimu hati ya usitishaji vita"

Iran imetangaza kuwa haitoendelea kuheshimu makubaliano ya usitishaji vita, iliotia saini na Marekani kama Washington haitotimiza ahadi yake . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Jenerali al-Burhan anapanga kubaki madarakani kwa miaka mitano baada ya vita

Hati rasmi kutoka ofisi ya Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, mkuu wa Baraza Kuu la Sudan, imevuja kwa vyombo vya habari. Hati hiyo inaonyesha . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Jayden Adams, kiungo wa Bafana Bafana amefariki dunia

Kiungo wa kati Jayden Adams, ambaye alishiriki michuano ya Kombe la Dunia la 2026 akiichezea timu yake ya Afrika Kusini, , Bafana Bafana ame . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Kocha Pape Thiaw afutwa kazi baada ya timu yake kushindwa kufanya vizuri Kombe la Dunia

Pape Thiaw si kocha tena wa timu ya taifa ya soka ya Senegal. Analipa gharama ya matokeo mabaya ya Simba kwenye Kombe la Dunia la 2026: kush . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Wananchi waridhishwa na huduma za Wizara ya Fedha Sabasaba

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Mzenzi, ametembelea Banda la Wizara . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Seneta wa Marekani Lindsey Graham afariki dunia

Seneta wa Marekani kutoka chama cha Republican, Lindsey Graham, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, baada ya kuugua kwa muda mfupi.Gr . . .

Kurasa 14 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category