logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

Mtanzania Macha Mongu Afariki Hormuz Baada ya Meli Kushambuliwa, TASAC Yathibitisha

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC limethibitisha kifo cha baharia raia wa Tanzania, Macha Maregesi Mongu, baada ya meli aliyokuwa ak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

Rais Samia Amuapisha Dkt. Evaline Munisi Kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Evaline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mk . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

Polisi Wakamata Watuhumiwa 4 Mauaji ya Mwanafunzi wa IFM Aliyekatwa Kichwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James R . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Syria yasema kundi linalohusishwa na Hezbollah limekamatwa

Mamlaka nchini Syria wametangaza siku ya Jumanne kwamba wamekamata kikundi chenye mafungamano na kundi la wanamgambo wa Lebanon, Hezbollah k . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Trump asimamisha operesheni ya kijeshi ya Marekani Hormuz

Rais Donald Trump amesema anasimamisha operesheni ya kijeshi ya Marekani ya kusindikiza meli kupitia Mlango Bahari wa Hormuz "Project Freedo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Wapiganaji wa Boko Haram wawaua wanajeshi 23 nchini Chad

Jeshi la Chad limesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua wanajeshi 23 katika shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi iliyo katika eneo la Ziwa C . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Mashambulizi ya Urusi yaua watu 21 nchini Ukraine

Rais Volodymyr Zelensky amelaani kile alichokiita kuwa ni ujinga mkubwa wa Urusi kwa kufanya mashambulizi makali huku ikitafuta usitishaji m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Marekani yakanusha madai ya Dolphin wa Kujitoa Muhanga wa Iran

Kauli tata kuhusu madai ya matumizi ya Dolphin wa kujitoa muhanga katika shughuli za kijeshi za Iran imezua mjadala mkubwa wa kimataifa, huk . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 6, 2026

Bei ya mafuta yapanda Dar Petroli Lita 4115 Mwanza na Kigoma 4300

Aidha mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Mei 6, 2026, Petroli im . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Carrick aibuka shujaa mpya Old Trafford, Cunha aunga mkono ajira ya kudumu

Kiungo mshambuliaji Matheus Cunha ameendelea kumiminia sifa kocha wa muda wa Manchester United Michael Carrick akisema anastahili kupewa kib . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Ruto amsifu Rais Samia kwa uongozi imara

Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi bora na kusimama imara wakati wa vurug . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Hezbollah, Israel wakabiliana Kusini mwa Lebanon

Kundi la Hezbollah limesema wapiganaji wake walikabiliana na wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon katika eneo la karibu na mpaka, licha ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Urusi kusitisha vita dhidi ya Ukraine kwa siku mbili

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kusitisha mapigano dhidi ya Ukraine kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 8 hadi tarehe 9 mwezi Mei. . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Armenia yaandaa mkutano wa kilele wa kihistoria na EU

Armenia imeandaa mkutano wa kilele kati yake na Umoja wa Ulaya Jumanne mjini Yerevan Mkutano huo wa Kihistoria unaashiria hatua mpya kwa tai . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Ruto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni umasikini na ukosefu wa ajira

Rais wa Kenya, William Ruto, amehimiza kuwapo kwa mshikamano mkubwa wa kikanda kati ya Tanzania na Kenya, huku akiwataja maaduia wakubwa wa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Ruto: Biashara Tanzania, Kenya yafikia Sh2.2 trilioni 2025

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema biashara ya Tanzania na Kenya mwaka jana ilifikia Dola za Marekani 860 milioni (zaidi ya Sh2.223 trilio . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Ruto: Kampuni za Kenya 500 zimewekeza bilioni 1.7 Tanzania

Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amesema Kampuni 500 za Kenya zimewekeza Dola za Marekani bilioni 1.7 nchini Tanzania.Amesema uwekezaji huo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 5, 2026

Sekretarieti ya Maaadili wapigwa msasa namna ya kukuza Maadili

Viongozi na Maafisa Maadili kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutumia vyombo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 5, 2026

PROF. SHEMDOE" KAWAANDAENI VIJANA WA KITANZANIA KUWA WABUNIFU, WAJASIRIAMALI, WASHINDANI KATIKA AJIRA"

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewataka walimu wapata . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 5, 2026

Kanali Assimi Goita achukua nafasi ya Waziri wa ulinzi

Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Assimi Goita, amechukua nafasi ya Waziri wa ulinzi kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi, Sadio Cam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 5, 2026

Iran na Marekani zashambuliana kwenye mlango wa bahari wa Hormuz

Makubaliano ya kusitisha vita kwa muda kati ya Iran, Israel na Marekani yameonekana kugonga mwamba Jumatatu baada ya pande hizo hasimu kusha . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 5, 2026

Hezbollah wapambana na wanajeshi wa Israel Lebanon kusini

Kundi la Hezbollah limesema vikosi vyake vilipambana na wanajeshi wa Israeli Jumatatu kusini mwa Lebanon.Kundi la Hezbollah limesema vikosi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 5, 2026

Boeing yakabiliwa na kesi ya madai ya ajali ya ndege 737 MAX

Kampuni ya Boeing imerejea mahakamani Jumatatu kukabiliana na kesi dhidi yake kuhusu ajali mbaya ya ndege aina ya Boeng 737 MAX nchini Ethio . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Merz asema hakati tamaa kufanya kazi na Trump

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viong . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Merz asema hakati tamaa kufanya kazi na Trump

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viong . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Papa Leo alaani ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ameiadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa kulaani ukiukwaji unaoendelea . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Yafahamu matatizo ya Afya yanayosababishwa na Maji kupita kiasi Mwilini

Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika basi hali hii inaweza kusababisha matat . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Polisi wachunguza kifo cha Mtu aliyekutwa bila kichwa Mto Msimbazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa ukielea katika maji ya Mto Ms . . .

bungeni
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Makonda awasili bungeni akiambatana na nyota wa soka Didier Drogba

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda leo Mei 4, 2026 amewasili katika viwanja vya Bunge la Tanzania  . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

UPDS kuandamana kuonyesha uungaji mkono kwa Rais Trump

Chama tawala nchini DRC, UDPS, hivi leo kinatarajiwa kufanya maandamano jijini Kinshasa, kuonesha uungaji mkono wao kwa rais wa Marekani Don . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

Merz asema hakati tamaa kufanya kazi na Trump

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viongozi hao . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

Marekani kuongoza meli zilizokwama Mlango Bahari wa Hormuz

Marekani itazindua operesheni ya kuongoza meli zilizokwama kutoka Mlango Bahari wa Hormuz ulioshikiliwa na Iran.Marekani Jumatatu itazindua . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Rais Kagame Awasili Nchini kwa Ziara ya Kukuza Ushirikiano wa Biashara

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

AFCON 2027 kuanza Juni 19 hadi Julai 17 mwakani

Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limetoa tangazo rasmi kwamba Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya AFCON 2027 yatafanyika kuanzia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Trump asema ana mashaka na pendekezo la amani la Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atapitia pendekezo jipya la amani la Iran lakini ameonesha mashaka makubwa kuhusu uwezekano wa kulikub . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Israel yawataka wakaazi kusini mwa Lebanon kuhama makazi yao

Jeshi la Israel limewaamuru wakaazi wa baadhi ya vijiji Kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao. Wakaazi wa vijiji hivyo wametakiwa kw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Kesi ya wanajeshi 84 wa FARDC wanaotuhumiwa kukiuka maagizo ya kijeshi

Kesi hiyo ilifunguliwa siku ya Jumatano, Aprili 29, mbele ya mahakama ya kijeshi huko Kisangani. Wanajeshi themanini na wanne kutoka kiten . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Waasi wateka kambi ya kijeshi ya Tessalit kaskazini mwa Mali

Jeshi nchini Mali na washirika wake ambao ni mamluki wa Urusi wanaripotiwa kuiacha kambi muhimu ya kimkakati ya Tessalit kuangukia mikononi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Polisi Uturuki yawakamatwa waandamanaji kadhaa Mei Mosi

Polisi nchini Uturuki wamekabiliana leo na waandamanaji waliojaribu kuelekea kwenye uwanja wa Taksim katikati ya jiji la Istanbul kwenda kua . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Viongozi Wakuu Iran Wagawanyika Kuhusu Hatma ya Waziri wa Mambo ya Nje

Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya serikali ya Iran ambapo Rais Masoud Pezeshkian na Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghaliba . . .

Kurasa 25 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category