Mamlaka nchini DR Congo imetangaza kusitishwa kwa shughuli za vyuo vikuu vya umma katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa M23 mashariki ya . . .
Mkuu wa majeshi ya Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuwa atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2031. Muhoozi ni mwana wa Rais Yower . . .
Msanii mkubwa wa muziki kutoka Colombia, Karol G, ameonyesha mshikamano na wananchi walioathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi nchini humo baa . . .
Mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL), Allen Robinson, ametangaza kustaafu kucheza soka la Marekani akiwa na umri wa miaka 33 . . .
Watoto wachanga 14 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kulipuka katika wodi ya kujifungulia na kuhudumia watoto wachanga katika Hospitali . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka katika Maadhimisho . . .
Zambia ilizifunga shughuli za mahakama zote nchini hapo jana kwa kile ilichokiita sababu za kiusalama, hatua iliyozua ukosoaji mkali kutoka . . .
Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kuanzia Septemba 4, 2026, chini ya mwaka mm . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiaf . . .
Mwanamke mwenye umri wa miaka 18, Devorah Diaz Perez, amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji ya mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka miwili . . .
Ukraine inaadhimisha miaka 35 ya uhuru huku ikikabiliwa na mashambulizi makali, masharti ya Urusi na utegemezi mkubwa kwa washirika. Kyiv in . . .
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anaendelea kusukuma ajenda yake ya kugombea tena urais, akijipambanua kama mtetezi wa mataifa dhaifu kwenye . . .
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi za kukabiliana na mlipuko wa Ebola nc . . .
serikali ya Togo inadai kwamba vyombo vya sheria vina "ushahidi mkubwa na thabiti" dhidi ya Gaël Mocaër na Sebastian Perez Pezzani.Gaël M . . .
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili, Agosti 23, 2026, katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa Mwananyamal . . .
Kufuatia mazungumzo kati ya Walibya huko Tunis siku ya Alhamisi, Agosti 20, 2026, yaliyowezeshwa na Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa n . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba itakuwa hatari sana kwa nchi hiyo kufanya uchaguzi wakati inapambana na uvamizi wa Urusi.A . . .
Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney amesema nchi yake iko katika vita vya kibiashara na Marekani. AMEtangaza ushuru kwa bidhaa za Marekani kul . . .
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mat . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Agosti 21, 2026 amekataa hoja kwamba Rais wa Tanzania hawezi kupelekewa wito wa mahakama, akisema Rai . . .
Watu 50 wamepoteza maisha nchini Nigeria, baada ya boti kuzama katika jimbo la Sokoto, Kaskazini Magharibi mwa Nigeria, siku ya Alhamisi.Abd . . .
Rais wa Cameroon, Paul Biya, amerudi mjini Yaoundé siku ya Alhamisi, Agosti 20, 2026, baada ya siku 74 akiwa nje ya nchi.Rais wa Cameroon, . . .
Mamia ya raia wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu, Tunis, wakilalamikia ukosefu wa maji, umeme na kupanda kwa gharama za maisha wakati n . . .
Mwanzilishi wa kampuni kubwa ya ujenzi wa majengo nchini China, Evergrande, Hui Ka Yan, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatik . . .
Nchini Zambia, polisi wamethibitisha kwamba Mbunge Mutotwe Kafwaya alifariki wakati wa operesheni iliyofanywa siku ya Ijumaa, Agosti 14, nyu . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia Antonio Tajani amesema Ujerumani na Italia zinataka kuimarisha ushirikiano katika kushughulikia suala la uh . . .
Jeshi la Israel limesema litachunguza mauaji ya Hind Rajab, msichana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka mitano, pamoja na familia yake yali . . .
Ufaransa imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia wawili wa Iran kutoka nchini humo katika siku zijazo, hatua inayoongeza mvutano wa kidip . . .
Gwiji wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Senegal, akichukua nafasi ya Pape Thiaw.Ute . . .
HUZUNI na mshtuko zimetanda katika kijiji cha Chabuene, Kaunti ya Meru, kufuatia mauaji ya kikatili ya Evelyne Mukiri Mbaabu, mwanamke anaye . . .
TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI) imeeleza kuwa Serikali imewekeza zaidi ya Sh bilioni 50 katika miradi mbalimbali ya miundombinu, vifaa . . .
Utawala wa Rais Donald Trump umewawekea vikwazo Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Tomoko Akane, na mwendesha mashtaka mwandamizi Abd . . .
Kiungo wa kati wa Bayern Munich, Jamal Musiala, amegunduliwa kuwa na tatizo la mfumo wa kati wa neva baada ya kuanguka uwanjani kwa mara ya . . .
Kwa karibu miaka 30, swali la nani aliyemuua Tupac Shakur halijapata jibu la kisheria. Kesi ya Duane Davis sasa inachunguza madai ya kisasi, . . .
Zimbabwe inaomboleza baada ya feri kuzama kwenye Ziwa Kariba siku ya Jumanne, Agosti 11. Kwa kuwa idadi ya vifo sasa ni angalau 80, ni tukio . . .
Aliyekuwa naibu rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amekata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama kuu iliyounga mkono kuondolewa kwake madarakani ak . . .
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amechaguliwa tena kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili wa miaka mitano baada ya kushinda uchaguzi wa urai . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuishambulia Oman ikiwa nchi hiyo itazuia juhudi za kutatua mgogoro unaohusu Mlango Bahari wa Hormuz . . .
Staa wa timu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo 41 amesema kuwa huenda msimu wa 2026/27 huenda ukawa wa mwisho kwake kama mchezaji wa kulipwa ba . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataif . . .