Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema nchi yake inaiunga mkono Mali kwa asilimia 100, akisema yuko tayari kuisaidia nchi hiyo ya J . . .
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara haitakumbwa na changamoto ya kukatika kwa umeme wakati wa utekelezaji wa hatua za mwisho za M . . .
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufanikisha kwa mara ya kwanz . . .
Philadelphia 76ers wamethibitisha kumsajili nyota wa NBA, LeBron James, ambaye amesema huu utakuwa mkataba wake wa mwisho katika ligi hiyo.J . . .
Nchini Guinea, uamuzi mpya umetangazwa Jumatatu, Julai 27, katika kesi ya mauaji ya Septemba 28, 2009. Mahakama ya Jinai ya Dixinn ilimwachi . . .
Umoja wa Mataifa unasema kuna dunia iko kwenye hatari ya kuzuka tena kwa mlipuko wa virusi vya ukimwi.Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshug . . .
Baraza la uchaguzi la Haiti limetangaza kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wake wa kwanza katika kipindi cha mwongo mmoja, mnamo Disemba 13.Uc . . .
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga . . .
Mshukiwa aliyehusika katika mauaji ya mtu mmoja na wengine 29 kujeruhiwa mjini Berlin ameuwawa.Mshukiwa huyo ameuwawa kwa kupigwa risasi na . . .
Wahudumu wa afya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamerekodi zaidi ya maambukizi 3,000 ya ugonjwa wa Ebola, vikiwemo zaidi ya vifo 1,354.Haya . . .
Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) imeonya kuwa mvua za El Nino zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba mwaka huu, huenda zikasababisha hasara y . . .
Kinyang'anyiro cha kumsaka katibu mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa, sasa kimechukua sura mpya baada ya mgombea wa saba kujitokeza mwanadiploma . . .
Nchini Ufaransa, moto umeharibu zaidi ya nyumba 100 katika mji wa Le Porge ulioko karibu na eneo la mapumziko la Cap Ferret, nyumba nyingi z . . .
Watu 35 wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha mabasi mawili kugongana kwenye barabara ku . . .
Iran na Oman zapiga hatua katika mazungumzo juu ya kuusimamia Mlango Bahari wa Hormuz.Iran imesema imepiga hatua katika mazungumzo na Oman j . . .
Syria imeripoti kwamba Israeimevamia na kufanya mashambulizi mapya ya makombora kusini mwa nchi hiyo.Vyombo vya habari vya serikali ya Syria . . .
Kamati ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (Tanzania National Coordinating Mechanism – TNCM), imei . . .
Wafanyabiashara wa Soko la Mawenzi mkoani Morogoro wamegoma kufungua biashara zao wakishinikiza Serikali kupunguza kodi ya pango la vizimba, . . .
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2026, katika eneo la . . .
Uingereza imefuta mazoezi ya kila mwaka ya wanajeshi wake nchini Kenya, baada ya kutopata leseni kutoka kwa utawala wa Nairobi.Wizara ya Uli . . .
Mahakama nchini Kenya imemkuta na hatia gavana wa zamani wa kaunti ya Migori, Okoth Obado, katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu . . .
Marekani imetangaza kuwa itaongeza ushuru mpya wa forodha wa asilimia 60 kwa washirika wake wa kibiashara, kwa madai kuwa yameshindwa kumali . . .
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ameidhinisha kuajiriwa kwa wanajeshi wapya 28,000 ili kuimarisha ulinzi wa taifa hilo la Afrika Magharibi linalo . . .
Wagombea sita wanaowania nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wameweka msisitizo mkubwa juu ya kurejesha imani kwa taasisi hiyo, ambayo . . .
MOJAWAPO ya maswali yanayozua mjadala katika malezi ya watoto wachanga ni kuhusiana na wakati ambapo mtoto anapaswa kuanza kuvalia viatu.Kil . . .
Shirika la afya la Umoja wa Afrika (Africa CDC) linaiomba Marekani kuondoa vikwazo vya usafiri dhidi ya Uganda. Hakuna visa vipya vilivyorek . . .
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, aliwaongoza viongozi wa serikali, maafisa wa kijeshi na familia za wanajeshi wanne wa . . .
Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya kuzuia kuzama maji duniani jamii jijini mwanza imetakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia usalama wao ha . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kituo cha Mabasi ya Umeme (ZAN BUS), ki . . .
Saudi Arabia na Marekani zimesaini makubaliano ya ushirikiano kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia kwa madhumuni ya amani, hatua inayolenga . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehutubia Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . . .
Klabu ya Inter Miami imetangaza rasmi kumsajili kiungo mkongwe wa Brazil, Casemiro, kama mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United m . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, anahitimisha leo ziara yake ya siku nne barani Afrika nchini Afrika Kusini ambapo anat . . .
Wagombea wanaowania nafasi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa watapambana leo katika mdahalo utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza Kuu la Um . . .
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameziagiza kampuni kubwa za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuzingatia kikamilifu sheri . . .
Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Mhe. Salehe Mbwana Mhando,ameendelea na ziara yake ya Kuwashukuru Wananchi katika Kata ya Mabalanga, ambapo alik . . .
Maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa C64 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupinga mpango wa kuibadilisha katiba hayat . . .
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Hungary imeanzisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na makosa ya jinai, wakivamia kituo cha data cha c . . .
Rais Joseph Aoun wa Lebanon amekutana na Rais Donald Trump wa Marekani mjini Washington wakati wa ziara yake ya kutafuta uungwaji mkono kati . . .
Bunge la Ufaransa limeidhinisha muswada wa sheria utakaopiga marufuku watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 kutumia mitandao ya kijamii.Hat . . .