logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AFYA
  • Na Asha Business
  • August 26, 2026

Shughuli za vyuo vikuu katika maeneo yanayokaliwa na M23 zasitishwa

Mamlaka nchini DR Congo imetangaza kusitishwa kwa shughuli za vyuo vikuu vya umma katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa M23 mashariki ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2026

Mwana wa Museveni ataka urais mwaka 2031

Mkuu wa majeshi ya Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuwa atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2031. Muhoozi ni mwana wa Rais Yower . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2026

Karol G Atoa Bilioni 3.1 Kusaidia Waathirika wa Tetemeko Colombia

Msanii mkubwa wa muziki kutoka Colombia, Karol G, ameonyesha mshikamano na wananchi walioathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi nchini humo baa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 26, 2026

Allen Robinson Astaafu NFL Baada ya Miaka 11, Aanza Maisha Mpya

Mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL), Allen Robinson, ametangaza kustaafu kucheza soka la Marekani akiwa na umri wa miaka 33 . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 26, 2026

Moto Wazua Taharuki Hospitalini, Watoto Wachanga 14 Wafariki

Watoto wachanga 14 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kulipuka katika wodi ya kujifungulia na kuhudumia watoto wachanga katika Hospitali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2026

Rais Samia Awatakia Waislamu Kheri katika Maadhimisho ya Maulid

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka katika Maadhimisho . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 25, 2026

Zambia yaifunga mahakama pingamizi ya uchaguzi

Zambia ilizifunga shughuli za mahakama zote nchini hapo jana kwa kile ilichokiita sababu za kiusalama, hatua iliyozua ukosoaji mkali kutoka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2026

Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kuanzia Septemba 4, 2026, chini ya mwaka mm . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 24, 2026

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA RAIS WA TAASISI YA MAENDELEO YA DIASPORA YA KIAFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiaf . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 24, 2026

Mama Wa Miaka 18 Ashtakiwa kwa Mauaji Ya Mtoto Wake Wa Miaka Miwili

Mwanamke mwenye umri wa miaka 18, Devorah Diaz Perez, amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji ya mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka miwili . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 24, 2026

Miaka 35 ya Ukraine: Uhuru unaotegemea silaha za nje

Ukraine inaadhimisha miaka 35 ya uhuru huku ikikabiliwa na mashambulizi makali, masharti ya Urusi na utegemezi mkubwa kwa washirika. Kyiv in . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 24, 2026

Infantino awania muhula mwingine, licha ya upinzani

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anaendelea kusukuma ajenda yake ya kugombea tena urais, akijipambanua kama mtetezi wa mataifa dhaifu kwenye . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 24, 2026

Papa Leo atoa wito wa kudhibiti Ebola Congo

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi za kukabiliana na mlipuko wa Ebola nc . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2026

Lomé yazungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kukamatwa kwa waandishi wawili wa habari wa Ufaransa

serikali ya Togo inadai kwamba vyombo vya sheria vina "ushahidi mkubwa na thabiti" dhidi ya Gaël Mocaër na Sebastian Perez Pezzani.Gaël M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2026

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili, Agosti 23, 2026, katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa Mwananyamal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2026

Maendeleo madogo yamepatikana katika mazungumzo kati ya Walibya mjini Tunis

Kufuatia mazungumzo kati ya Walibya huko Tunis siku ya Alhamisi, Agosti 20, 2026, yaliyowezeshwa na Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2026

Zelensky asema uchaguzi wakati wa vita 'utaigawanya' Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba itakuwa hatari sana kwa nchi hiyo kufanya uchaguzi wakati inapambana na uvamizi wa Urusi.A . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2026

Canada yaendeleza vita vya kibiashara na Marekani

Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney amesema nchi yake iko katika vita vya kibiashara na Marekani. AMEtangaza ushuru kwa bidhaa za Marekani kul . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2026

Dk Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mat . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2026

Lissu "Hakuna Mtu Asiyeweza Kuitwa Kuwa Shahidi Mahakamani"

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Agosti 21, 2026 amekataa hoja kwamba Rais wa Tanzania hawezi kupelekewa wito wa mahakama, akisema Rai . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 21, 2026

Watu 50 wengi wao watoto, wapoteza maisha baada ya boti kuzama Nigeria

Watu 50 wamepoteza maisha nchini Nigeria, baada ya boti kuzama katika jimbo la Sokoto, Kaskazini Magharibi mwa Nigeria, siku ya Alhamisi.Abd . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2026

Rais Paul Biya arejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kwa siku 74

Rais wa Cameroon, Paul Biya, amerudi mjini Yaoundé siku ya Alhamisi, Agosti 20, 2026, baada ya siku 74 akiwa nje ya nchi.Rais wa Cameroon, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2026

Waandamanaji walalamikia ukosefu wa huduma Tunisia

Mamia ya raia wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu, Tunis, wakilalamikia ukosefu wa maji, umeme na kupanda kwa gharama za maisha wakati n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 20, 2026

Bilionea wa Majengo Afungwa Maisha Jela

Mwanzilishi wa kampuni kubwa ya ujenzi wa majengo nchini China, Evergrande, Hui Ka Yan, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatik . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 20, 2026

Mbunge wa upinzani na waziri wa zamani wauawa katika shambulio la vikosi vya usalama

Nchini Zambia, polisi wamethibitisha kwamba Mbunge Mutotwe Kafwaya alifariki wakati wa operesheni iliyofanywa siku ya Ijumaa, Agosti 14, nyu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 20, 2026

Italia na Ujerumani zatafuta mwafaka kuhusu uhamiaji

Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia Antonio Tajani amesema Ujerumani na Italia zinataka kuimarisha ushirikiano katika kushughulikia suala la uh . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 20, 2026

Israel yatangaza uchunguzi wa kifo cha Hind Rajab

Jeshi la Israel limesema litachunguza mauaji ya Hind Rajab, msichana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka mitano, pamoja na familia yake yali . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Ufaransa Yajibu Iran Yawafukuza Wanadiplomasia Wawili

Ufaransa imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia wawili wa Iran kutoka nchini humo katika siku zijazo, hatua inayoongeza mvutano wa kidip . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Vieira Apata Kibarua Kipya, Apewa Jukumu la Kuinoa Senegal

Gwiji wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Senegal, akichukua nafasi ya Pape Thiaw.Ute . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Habari Mseto Mama mkarimu auawa na aliyempa maji ya kunywa

HUZUNI na mshtuko zimetanda katika kijiji cha Chabuene, Kaunti ya Meru, kufuatia mauaji ya kikatili ya Evelyne Mukiri Mbaabu, mwanamke anaye . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Uwekezaji wa bilioni 50/- wabadili huduma za Saratani Tanzania

TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI) imeeleza kuwa Serikali imewekeza zaidi ya Sh bilioni 50 katika miradi mbalimbali ya miundombinu, vifaa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Marekani yawawekea vikwazo viongozi wa Mahakama ya ICC

Utawala wa Rais Donald Trump umewawekea vikwazo Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Tomoko Akane, na mwendesha mashtaka mwandamizi Abd . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Musiala akabiliwa na tatizo la kupoteza fahamu

Kiungo wa kati wa Bayern Munich, Jamal Musiala, amegunduliwa kuwa na tatizo la mfumo wa kati wa neva baada ya kuanguka uwanjani kwa mara ya . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2026

Nani alimuua Tupac Shakur?

Kwa karibu miaka 30, swali la nani aliyemuua Tupac Shakur halijapata jibu la kisheria. Kesi ya Duane Davis sasa inachunguza madai ya kisasi, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 18, 2026

Idadi ya vifo baada ya feri kuzama katika Ziwa Kariba yaongezeka hadi kufika 80

Zimbabwe inaomboleza baada ya feri kuzama kwenye Ziwa Kariba siku ya Jumanne, Agosti 11. Kwa kuwa idadi ya vifo sasa ni angalau 80, ni tukio . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 18, 2026

Rigathi akata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama

Aliyekuwa naibu rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amekata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama kuu iliyounga mkono kuondolewa kwake madarakani ak . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2026

Hichilema achaguliwa kwa muhula zambia

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amechaguliwa tena kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili wa miaka mitano baada ya kushinda uchaguzi wa urai . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2026

Trump atishia kuishambulia Oman

Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuishambulia Oman ikiwa nchi hiyo itazuia juhudi za kutatua mgogoro unaohusu Mlango Bahari wa Hormuz . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Ronaldo Aweka Wazi Mpango wa Kustaafu Soka

Staa wa timu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo 41 amesema kuwa huenda msimu wa 2026/27 huenda ukawa wa mwisho kwake kama mchezaji wa kulipwa ba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa IOM Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataif . . .

Kurasa 10 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category