Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema Tanzania kumezuka tabia hatari ya watu kuzi . . .
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema ripoti haijataja majina ya wahusika kwasaba . . .
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema Mahakama Kuu iliwapa uh . . .
Araghchi amesisitiza kuwa Marekani ndiyo iliyosababisha mazungumzo ya awali kati ya Tehran na Washington kushindwa kutokana na kile alichoki . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufunguliwa kikamilifu kwa Mlango Bahari wa Hormuz, akisisitiza umuhimu wake . . .
Serikali ya Kongo imetangaza kuanzisha kikosi maalum cha walinzi wa madini, jeshi lisilo rasmi litakalokuwa na jukumu la kulinda migodi pamo . . .
Watu waliokuwa na silaha wamewaua takriban watu 29 katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria, huku mashuhuda wakisema washambuliaji wal . . .
Hali ya usalama bado ni tete nchini Mali baada ya mfululizo wa mashambulizi ya kushtukiza yaliyofanywa Jumamosi na waasi wa Touareg wakishir . . .
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mw . . .
Simba imetinga hatua ya fainali Muungano Cup 2026 kwa ushindi wa magoli 3-0 Mlandege FC Aprili 29 katika dimba la New Amaan Complex, Zanziba . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Wazir . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu (Jinsia na Wanawake), Felista Mdemu, amewataka wanawa . . .
Utawala wa kijeshi nchini Mali unakabiliwa na mtikisiko wa kiusalama baada ya mashambulizi ya waasi kusababisha kifo cha Waziri wa Ulinzi na . . .
Wizara ya afya ya Lebanon imeripoti kwamba watu 14 wameuawa katika mashambulizi ya Israel kusini mwa nchi hiyo, ikiwa ni idadi kubwa zaidi y . . .
Zaidi ya robo tatu ya watu nchini Ujerumani hawana imani kwamba pensheni ya serikali itatosha kudumisha kiwango chao cha sasa cha maisha wat . . .
Kwa mujibu wa ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI), mataifa matatu yanayotumia fedha nyingi zaidi katika . . .
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, imebaini kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa inashika nafas . . .
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameteuliwa na chama chake cha CNDD-FDD kuwa mgombe wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka . . .
Nchini Chad karibia watu 42 wameuwawa baada ya makabiliano na mapigano kuzuka Jumapili kati ya makabila yanayoishi m . . .
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mbunifu, wa vitendo na mwenye dhamira ya dhat . . .
Mtu aliyekamatwa kufuatia tukio la ufyatuaji risasi lililotokea Jumamosi wakati wa hafla ya Waandishi wa Habari wa Ikulu (White House Corres . . .
Mapigano mapya yamezuka Jumapili katika mji muhimu wa Kidal nchini Mali kati ya waasi wa Tuareg wanaoungwa mkono na wapinagaji wa itikadi ka . . .
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameishutumu Urusi kwa kufanya kile alichokiita "ugaidi wa nyuklia", wakati Ukraine inafanya leo kumbukumb . . .
Rais wa Marekani Donald Trump, Makamu wake JD Vance na maofisa wengine wa serikali walikimbizwa katika eneo salama baada ya milio ya risasi . . .
VIONGOZI wa vyama vya ushirika watakaofanya ubadhirifu, sasa wataanza kumulikwa baada ya mpango maalumu wa kuimarisha uadilifu kuanzishwa, u . . .
WAKAZI katika Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika (RESCA) wameendelea kuhakikishiwa usalama baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nc . . .
Shirika la Afya Duniani, WHO, kwa mara ya kwanza limeidhinisha dawa ya kutibu malaria kwa ajili ya watoto wachanga. Toleo hilo jipya la dawa . . .
Milio ya risasi imesikika pia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Modibo Keita kwenye mji mkuu Bamako huku mashuhuda wakisema kuwa wame . . .
Wapalestina waishio katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel, pamoja na wanaoishi kwenye eneo la katikati mwa Ukanda wa Ga . . .
Akikabidhiwa mamlaka hayo tangu Aprili 7, James Swan amewasili siku ya Ijumaa, Aprili 24, katika mji mkuu wa Kivu Kaskazini, unaodhibitiwa n . . .
Askari kadhaa na wasaidizi wao kutoka Volunteers for the Defense of the Homeland (VDP) wameripotiwa kutoweka kufuatia shambulio lililotokea . . .
Katika kipindi cha hivi karibuni cha mvutano wa kisiasa na kijeshi Mashariki ya Kati, jina la Ebrahim Zolfaghari limekuwa likitajw . . .
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa Marekani haina haraka kufikia makubaliano na Iran, huku akisisi . . .
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Real Madrid katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga, baada ya kupoteza alama muhimu kufuatia sare ya 1-1 dh . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kuanza ziara muhimu ya kidiplomasia katika nchi tatu Pakistan, Russia na Oman aki . . .
Mvutano umeibuka ndani ya NATO baada ya taarifa kudai kuwa Marekani inaweza kufikiria kuchukua hatua dhidi ya Hispania kufuatia ms . . .
Hayo ni baada ya Rais Donld Trump wa Marekani kuamuru jeshi la nchi hiyo kuzishambulia boti ndogo za kijeshi za Iran kwenye ujia huo m . . .
Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa nchi za Afrika Mashariki zinajadili mipango ya kuwa na kiwanda cha pamoja cha kuchakata mafuta kati . . .
Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa nchi za Afrika Mashariki zinajadili mipango ya kuwa na kiwanda cha pamoja cha kuchakata mafuta kati . . .
Mabingwa watetezi VfB Stuttgart, wamefika fainali ya Kombe la Shirikisho la Ujerumani – DFB Pokal kwa mara nyingine tena kutokana na ushin . . .