logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Ukraine yakiri kushambulia kiwanda cha mafuta Urusi

Jeshi la Ukraine limesema limekishambulia usiku kucha kiwanda cha kusafisha mafuta katika eneo la Samara nchini Urusi.Kulingana na gavana wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 12, 2026

Iran yasema Marekani inakiuka masharti ya kusitisha vita

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameishutumu Marekani kwa kukiuka masharti ya makubaliano kati ya mataifa hayo mawili yaliy . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2026

Idadi ya walioambukizwa Ebola Kongo inaendelea kupanda

Mashirika ya Afya barani Afrika yamesema kuwa mripuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo unaendelea kusambaa kwa kas . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2026

Watu 130 wakamatwa Tanzania kwa tuhuma za kuchochea uhalifu

Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewakamata watu 130 kwa tuhuma za kuchochea vitendo vya uhalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2026

Makamu wa rais wa Zambia anusurika ajali ya Helikopta ya jeshi

Makamu wa Rais wa Zambia Mutale Namulango amenusurika kifo baada ya Helikopta ya Jeshi la Anga la Zambia (ZAF) aliyokuwa akisafiri . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2026

Wakaazi wa Johannesburg wawakamata wageni na kuwakabidhi kwa polisi

Baadhi ya waandamanaji nchini Afrika Kusini wanaopinga uwepo wa wageni wasio na vibali nchini humo Julai 9,2026 walipita nyumba kwa nyumba k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

WIZARA YA MADINI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA UAIT KUKUZA UONGEZAJI THAMANI WA MADINI YA VITO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amekihakikishia ushirikiano Chuo cha United African Institute of Technology (UAIT) Cha Ko . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Raia wa Zambia wajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwezi ujao

Nchini Zambia wakati huu raia wakijiandaa kwa uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao, Rais Hakainde Hichilema licha ya kupewa nafasi kubwa ya kushinda . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Ufaransa yafuzu nusu fainali ya kombe la dunia, yaiondoa Morocco

Wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe na Ousmane Dembele, usiku wa kuamkia leo walifunga magoli muhimu yaliyotamatisha safar . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Justin Bieber, Shakira, Madonna na BTS Kutumbuiza Fainali ya Kombe la Dunia 2026

Nyota wa muziki duniani Justin Bieber ataungana na Shakira, Madonna na kundi la BTS kutumbuiza kwenye onyesho maalum la mapumziko ya kipindi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Mlipuko wa Ebola unasambaa kwa kasi 'kutisha'

Mamlaka za Afya barani Afrika zimesema mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndio "unasambaa kwa kasi zaidi" kuwahi kushu . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Syria yawakamata washukiwa wa milipuko iliyotikisa Damascus

Syria imekamata mtandao wenye mafungamano na kundi la Dola ya Kiislamu (IS) linalodaiwa kuhusika na milipuko miwili ya mabomu iliyotokea wak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 10, 2026

Trump azungumza na Netanyahu kuhusu vita vya Ghuba

Rais wa Marekani Donald Trump amemuarifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu operesheni za Marekani katika eneo la Ghuba, ofisi . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

soko la dunia lahitaji tani laki tano kwa mwaka zao la mkonge

Zao la mkonge linaendelea kuwa moja ya mazao yenye fursa kubwa za kiuchumi nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bodi ya Mkonge Tanzania, uzalishaj . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

Rais Samia Apongeza Hatua ya Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uungwana haupaswi kuzaa kiburi wala kutoweka nafasi ya kusikiliza . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

Dkt. Mwinyi na Othman Masoud Waandika Historia Mpya ya Maridhiano Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Ot . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

France na Morocco Kukutana Katika Robo Fainali ya Moto ya Kombe la Dunia 2026

Ulimwengu wa mpira wa miguu unasubiri kwa hamu mchezo wa leo Alhamisi, tarehe 9 Julai 2026, ambapo mabingwa wa zamani France watakabiliana n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

Amnesty "Mashambulizi ya Israel nchini Lebanon yachunguzwe"

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeishutumu Israel kwa kuangamiza familia katika mashambulizi yake nchini Leba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

Moscow yalaani maamuzi ya NATO ya kuisaidia kijeshi Ukraine

Urusi imelaani maamuzi ya jumuiya ya NATO ikisema yanaweza kuwa na athari mbaya kabisa, baada ya muungano huo kutangaza msaada wa kijeshi kw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 9, 2026

Wairan kumzika Ayatollah Ali Khamenei nyumbani kwake Masshad

Raia nchini Iran hii leo wanajiandaa kumzika kiongozi wao Ali Khamenei, katika mji alikozaliwa wa Mashhad, huku mashambulizi mapya ya Mareka . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Kocha Misri Awaka “Kombe la Dunia 2026 Wamepanga Argentina Awe Bingwa”

Baada ya Mafarao, Misri kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia 2026, Kocha mkuu wa timu hiyo, Hossam Hassan amelalamikia maamuzi ya waamu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Rais wa Zimbabwe asaini sheria inayoongeza muda wa urais wake

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amesaini kuwa sheria muswada unaoongeza muda wake wa kuhudumu madarakani kwa miaka miwili zaidi, hadi m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Tehran yasema imelenga kambi za Marekani Kuwait na Bahrain

Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wametangaza leo Jumatano kwamba wameshambulia vituo 85 katika kambi za kijeshi za Marekani huko Kuwait na Bahra . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Watu milioni 1.15 wanakabiliwa na uhaba wa chakula katika maeneo yaliyoathiriwa

Mlipuko wa Ebola unaendelea kuenea nchini DRC. Na maeneo yaliyoathiriwa zaidi na virusi hivyo pia ni yale ambayo njaa inaongezeka kwa kasi z . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Le Pen kugombea urais wa Ufaransa

Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia nchini Ufaransa, National Rally RN Marine Le Pen amesema atawanai urais wa nchi hiyo katika uchaguzi u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 8, 2026

Mkutano wa NATO waingia siku ya pili na ya mwisho Uturuki

Mkutano wa kilele wa jumuiya ya kujihami NATO unaingia siku yake ya pili na ya mwisho Jumatano mjini Ankara nchini Uturuki.Waziri Mkuu wa Ui . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • July 7, 2026

Athari za kuvalisha mtoto viatu kabla hajaanza kutembea

MOJAWAPO ya maswali yanayozua mjadala katika malezi ya watoto wachanga ni kuhusiana na wakati ambapo mtoto anapaswa kuanza kuvalia viatu.Kil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2026

Trump Ataka Makubaliano, Aonya Hatua za Kijeshi Dhidi ya Iran

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran kuwa Washington iko tayari ama kufikia makubaliano ya kidiplomasia au kuchukua hatua kali za k . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 7, 2026

Watu zaidi ya 500 wamekufa kutokana na ebola Kongo

Takwimu za shirika la afya duniani WHO zimeonyesha kwamba zaidi ya watu 500 sasa wamefariki kutokana na mlipuko wa ebola unaoikumba Jamhuri . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2026

Rais Marcron aitembelea Syria

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko ziarani nchini Syria. Macron anatarajiwa kukutana na rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa.Rais wa Uf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2026

Mkutano wa kilele wa NATO waanza nchini Uturuki

Mkutano wa jumuiya ya kujihami NATO unaanza Jumanne mjini Ankara nchini Uturuki. Mkutano wa kilele wa siku mbili wa jumuiya kujihami NA . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

MWALIMU AHUKUMIWA KWA UBADHIRIFU WA MAPATO YA HALMASHAURI

Mahakama ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga imemtia hatiani mwalimu mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kosa la wizi akiwa mtumishi wa umma . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

Vifo vya Tetemeko Venezuela Vafikia 3,342, Maelfu Wabaki Bila Makazi na Misaada

Idadi ya watu waliofariki kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa taarif . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

Waziri Mkuu Aelekea Paris Kumwakilisha Rais Samia Katika Maadhimisho ya Kiswahili Duniani

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Julai 6, 2026, kuelekea Paris, France, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

FIFA Yamruhusu Balogun Kucheza Dhidi ya Belgium

FIFA imeondoa adhabu ya kutocheza mechi moja kwa mshambuliaji wa Marekani, Folarin Balogun, baada ya Donald Trump kuripotiwa kuwasiliana na . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

England Yaiondoa Mexico Ikiwa na Wachezaji 10

 England imefuzu robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mexico katika mchezo uliokuwa na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

Sudan Kusini" Ujumbe wa AU kutathmini utekelezwaji wa mkataba wa amani"

Ujumbe kutoka Algeria ambao ni sehemu ya kamati ya ngazi ya juu ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika umewasili nchini Sudan Kusini kutathm . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

Mashauriano ya wanasiasa wa DRC na mwenyekiti wa AU kuanza leo

Huko Gitega, Mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, mashauriano kati ya viongozi wa upinzani na viongozi wa kidini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia y . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 6, 2026

Makundi ya waasi yaendelea kuweka shinikizo kwa utawala wa kijeshi

Kufuatia mashambulizi mapya yaliyoratibiwa na wanajihadi wa kiislamu na washirika wao waasi wa Tuareg nchini Mali,  jeshi la nchi hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa Khamenei mjini Tehran

Waombolezaji nchini Iran wameendelea kujitokeza kwa wingi mjini Tehran kwa siku ya pili mfululizo katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyeku . . .

Kurasa 15 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category