Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameagiza "kufungwa kabisa" kwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa siku ya Ijumaa, Oktoba 23, baada ya s . . .
Ruhamya Abasheija, mjukuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amepandishwa cheo na kuwa Luteni wa Pili katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na mali . . .
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kilimanjaro limemkamata dereva wa lori, raia wa nchi jirani, kwa tuhuma za kuendesha g . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maofisa wake wameshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameitaka jamii kuanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujiunga na mfum . . .
Rais wa Brazil Lula da Silva na mpinzani wake Flavio Bolsonaro wako sare katika kura ya maoni, kila mmoja akiungwa mkono kwa asilimia 50. Wa . . .
Serikali imeagiza kuongezwa kasi ya ukarabati na uboreshaji wa barabara inayounganisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na . . .
Madaktari wa Papa Leo XIV, wamesema Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani, hahitaji matibabu zaidi na kwamba afya yake imeimarika baada y . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujihusisha na biashara na matumizi ya dawa za kulevya zinazodhaniwa . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa Shirika la AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza mi . . .
Rangi za mafuta zenye madini ya risasi zinaweza kuathiri ubongo, figo na mfumo wa uzazi, huku watoto, wajawazito na mafundi wa upakaji rangi . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imeamuru kusimamishwa kwa mwenendo wa shauri la nidhamu linalomkabili Rais wa Chama cha Wanash . . .
Watanzania wamehimizwa kuzingatia mlo kamili na kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuimarisha afya ya mifupa na viungo pamoja na kupunguza ha . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Humphrey El . . .
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sébastien Lecornu, ametangaza tarehe 19 Oktoba kuwa ameamuru wakuu wa mikoa kutangaza sheria ya kutotoka nje katik . . .
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amependekeza kufanyika kwa mkutano wa kilele mwezi ujao akishirikiana na Rais wa Marekani, Donald Trump, na R . . .
WANAWAKE wenye mimba wanashauriwa kuzingatia lishe bora na salama kiafya ikiwemo kula aina tofauti za samaki (seafood) mara kwa mara ili kuz . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameonya dhidi ya watu wanaoweza kutumia nguvu zao za kiuchumi . . .
Wazazi Jijini Mwanza wamesisitizwa kutokomeza Ndoa za utotoni kwa vitendo ikiwemo kuwasikiliza watoto wao na kuwapa mahitaji ya Msingi jambo . . .
Mutafungwa amesema ajali hiyo imehusisha pikipiki yenye namba za usajili MC.647 DCM aina ya Skymark, iliyokuwa ikiendeshwa na Stiven Muhina. . . .
Bidhaa mbalimbali, zikiwemo simu za iPhone na mizigo mingine, zimeripotiwa kuonekana zikielea juu ya maji ya bahari kufuatia taarifa za kuza . . .
Watu wasiopungua wanne, wakiwemo watoto watatu, wanaripotiwa kufariki dunia kufuatia shambulizi la risasi lililotokea katika Shule ya Msingi . . .
Tukio la mauaji linalodaiwa kuhusishwa na wivu wa kimapenzi limeutikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, b . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya Nidal Malik Hasan, aliyepatikana na hatia ya kuua wanajeshi 1 . . .
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka SACCOS barani Afrika kuimarisha ukusanyaji wa akiba na kuzielekeza katika uwekezaji wenye tija . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Ramadhan Kimara, amekamata gari lililokuwa likisafirisha mchanga kutoka kwenye shimo . . .
Mahakama ya Wilaya ya Mbeya imemhukumu Reiga Innocent (21), mchimbaji wa madini na mkazi wa Iwindi, Mamlaka ya Mji Mbalizi , kifungo cha mia . . .
Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Jenerali Hassan Kabroun, amelaani vikali mashambulizi yanayohusishwa na waasi wa Houthi dhidi ya Saudi Arabia, ak . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amewashukuru waumini kwa maombi yao ya kumtakia afya njema, ikiwa ni ujumbe wake wa kwanz . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, inatarajiwa kutoa hukumu kesho . . .
Watu wasiopungua 29, akiwemo mwalimu mmoja wa kike, wamefariki baada ya paa la shule kuporomoka katika mji wa Peshawar, kaskazini magharibi . . .
Ukraine inaishtumu Marekani kwa kusaidia Urusi, baada ya kutoipa taarifa kuhusu makombora yanayolenga nchi yake.Rais Volodymyr Zelensky, ame . . .
Kenya, imetangaza kuwa mtu wa pili, ameambukizwa ugonjwa wa Ebola, akiwa karatani.Wizara ya afya imesema mtu huyo ni mwanaume mwenye umri wa . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mashambulio dhidi ya miundombini ya nishati, akizi . . .
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio . . .
Nchini Marekani, Maofisa wa usalama wamefanya msako katika nyumba ya mbunge wa chama cha Democratic, Ilhan Omar, jijini Washington DC.Ofisi . . .
Rais mstaafu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila amechukua usukani wa harakati mpya ya kisiasa na kijeshi inayofahamika kama F . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka mwanamke anayetuhumiwa kumtelekeza mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku t . . .
Mashindano ya riadha yanayofahamika kama Lake Victoria Marathon yanatarajiwa kufanyika Novemba 15, 2026, jijini Mwanza, yakilenga kuhamasish . . .