logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

WAZIRI SHEMDOE AIPONGEZA TARURA KWA KAZI KUBWA

Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Prof. Riziki Silas Shemdoe (Mb), ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na M . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

China imemwachilia huru mchungaji wa Kiprotestanti

Mchungaji wa Kiprotestanti Ezra Jin, mwanzilishi wa moja ya makanisa makubwa zaidi ya kiinjili yasiyotambuliwa rasmi nchini China, ambaye al . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

Kesi ya ndege zisizo na rubani

Nchini Madagascar, rais wa mpito Michaƫl Randrianirina amezungumzia suala la ndege zisizo na rubani siku ya Jumamosi, Julai 5, 2026. Kuling . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

Morocco, Ufaransa kukutana robo fainali Kombe la Dunia 2026

Timu ya taifa ya soka ya Morocco imefuzu kuingia hatua ya robo fainali baada ya kuifunga moja ya timu wenyeji wa Kombe la dunia 2026, Canada . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 5, 2026

Kongo yaanza majaribio ya dawa mpya kupambana na Ebola

Raia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepata matumaini mapya baada ya kuanza kwa majaribio ya dawa mbili zinazolenga kuudhibiti mli . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Penzi la Kipekee! Wachumbiana Juu la Mnara wa Futi 1454, Wakamatwa

Wapenzi wawili wamezua mjadala mkubwa nchini Marekani baada ya kupanda hadi kileleni mwa jengo maarufu la Empire State Building lililopo jij . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Kisumu Yachukua Hatua Kudhibiti Ujambazi, Yapiga Marufuku Ulinzi Binafsi

Serikali ya Kaunti ya Kisumu imeweka mstari thabiti katika mapambano yake dhidi ya tishio linaloongezeka la "uhuni.Serikali ilifichua hatua . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

DCI Wamtia Mbaroni Mwanamke Anayeshutumiwa kwa Kufuatilia Ndege ya Ruto

Mwanamke anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya X ambayo inadaiwa kufuatilia mienendo ya safari za ndege za Rais William Ruto amekamatwa.Hii ili . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Khalwale azindua chama, asema analenga wanasiasa watakaopoteza makao vyama vikubwa

SENETA wa Kakamega, Dkt Boni Khalwale amesema kuwa amesajili chama kipya ambacho kitawapa makao wanasiasa waasi wa vyama vikubwa nchini.Dkt . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Yawataka maofisa afya mikoa yote kuongeza kasi katika afua za afya na usafi wa mazingira

SERIKALI imewataka Maofisa afya katika mikoa na halmashauri zote nchini kuongeza kasi ya utekelezaji wa afua za afya na usafi wa mazingira i . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Taylor Swift na Travis Kelce Wajipanga Kufanya Harusi ya Kifahari

 Maandalizi ya sherehe inayodaiwa kuwa ya harusi ya mastaa wa Marekani, Taylor Swift na Travis Kelce, imeripotiwa kuanza katika ukumbi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Nchini Sudan, watoto wanalengwa na FSR, Amnesty International inashutumu

Katika ripoti iliyochapishwa siku ya Jumatano, Julai 1, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty International linawashutumu wanajeshi wa Jen . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Wanafunzi wanane washitakiwa kwa mauaji Kenya

Mahakama ya Kenya imewashtaki wasichana wanane wa shule kwa mauaji. Wameshtakiwa kwa kusababisha vifo vya wanafunzi wenzao 16 katika moto wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 2, 2026

Mvua kubwa yasababisha mafuriko pwani ya Afrika Magharibi

Mvua kubwa imesababisha mafuriko makubwa katika nchi kadhaa za pwani ya Afrika Magharibi, ikiwa ni pamoja na Ivory Coast, Ghana na Benin. Wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Waziri Mkuu : Kafulila kiongozi kijana mwenye upeo mpana

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amemsifu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sek . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Waziri Mkuu : Kafulila kiongozi kijana mwenye upeo mpana

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amemsifu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sek . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Jaji Mkuu akemea vikali vitendo vya kuingilia amri na maamuzi ya mahakama

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju amekemea vikali vitendo vya baadhi ya Viongozi wa Serikali na wa Kisiasa ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

ETDCO YATWAA TUZO YA UBORA AFRIKA MASHARIKI 2026

Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Mhe. Shariff Ali Shariff, ameipongeza Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

NECTA YAHARAKISHA HUDUMA ZA VYETI, YATOA FURSA MAALUM SABASABA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza utoaji wa huduma za haraka kwa wananchi katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Kesi dhidi ya Besigye imeanza kusikilizwa

Kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa mkongwe wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ilianza siku ya Jumanne jijini Kampala wakati huu, w . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Netanyahu aagiza jeshi kuharibu ngome zote za Hezbollah

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameliagiza jeshi la nchi hiyo kuongeza mashambulizi na kuharibu miundombinu yote ya kundi la wanamg . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Maandamano yaitikisa Afrika Kusini kupinga uhamiaji

Maelfu ya waandamanaji walikusanyika katika maeneo mbalimbali nchini Afrika Kusini jana Jumanne wakiishinikiza serikali ichukue hatua kali d . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2026

Iran yakataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani

Iran imesema haitakutana ana kwa ana na wajumbe wa ngazi ya juu wa Marekani kufuatia kuzuka kwa uhasama wa hivi karibuni, hatua inayoongeza . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

Enzo Maresca Kurithi Kiti cha Guardiola Manchester City

Manchester City imemtangaza Enzo Maresca kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Pep Guardiola na kuanza rasmi enzi mpya kat . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

Morocco yaiondoa Uholanzi kwa penalti, yatinga hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia 2026

Timu ya taifa ya Morocco imefuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuiondoa Uholanzi kwa ushindi wa penalti 3-2, kufuatia sar . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

Ndejembi "Ujenzi bomba la mafuta wafikia asilimia 86, meli ya kwanza kubeba mafuta Januari 2027"

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi amesema mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

Ruto "Nitabadilisha sura ya Nairobi kabla ya AFCON 2027"

RAIS William Ruto ametangaza kuwa serikali yake inaendelea na shughuli za kubadilisha miundomsingi ya jiji kuu la Nairobi ili kuandaa Kombe . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

Hoja za mwisho zakamilika katika awamu ya pili ya kesi ya Septemba 28, 2009

Nchini Guinea, kesi kuhusu matukio ya Septemba 28, 2009, imekamilika. Hii ni awamu ya pili ya kesi. Awamu ya kwanza ilimalizika mwaka wa 202 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

WAZIRI MKUU AHIMIZA WATANZANIA KUONGEZA USHIRIKI KATIKA KUWAHUDUMIA WAZEE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati kwa Watanzania kuongeza ushiriki wao katika kuwahudumia makundi yenye uhitaji, husus . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

DKT. KIJAJI AELEKEZA MAAFISA UHIFADHI KUHAKIKISHA MAENEO YA HIFADHI YANALINDWA NA KUHIFADHIWA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaelekeza maafisa uhifadhi nchini kuhakikisha maeneo yote ya hifadhi yanalind . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 30, 2026

waandamanaji wanaopinga uhamiaji yamalizika huku kukiwa na hofu kubwa

Afrika Kusini inajiandaa kwa siku ya mvutano mkali leo Jumanne, Juni 30, 2026, tarehe ya mwisho iliyowekwa nje ya mfumo wowote wa kisheria n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 29, 2026

Australia Yakazia Amri ya Kupiga Marufuku Watoto Kutumia Mitandao ya Kijamii

Serikali ya Australia imetangaza kuongeza mara mbili kiwango cha juu cha faini kwa kampuni za mitandao ya kijamii zitakazokiuka sheria ya ki . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 29, 2026

Huzuni Durban baada ya Bafana kuaga Kombe la Dunia

Kocha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini Hugo Broos ametoa tathmini ya wazi kuhusu kiwango cha kikosi chake baada ya safari ya Bafana Bafana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 29, 2026

Iran yazionya meli juu ya kupuuza njia mpya ya Hormuz

Mwanadiplomasia mkuu wa Iran Abbas Araghchi ameonya kwamba jaribio lolote la meli kupuuza njia mbadala inayopendekezwa na Iran kupitia Mlang . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 29, 2026

Idadi ya waliokufa Venezuela yapindukia 1450

Timu za uokoaji nchini Venezuela zinaendelea na juhudi za kusaka manusura zaidi kufuatia matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyolikumba ta . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 28, 2026

Trump AToa Onyo Kali kwa Iran

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kuwa jeshi la Marekani limefanya mashambulizi mapya dhidi ya maeneo ya kijeshi ya Iran, yakile . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 28, 2026

Wanaharakati waliotoweka sasa wapatikana wakiwa wameteswa, walazwa hospitalini

WANAHARAKATI watano waliotoweka baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Gen Z ya Juni 25, walipatikana wakiwa na majeraha n . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 28, 2026

DR Congo yafanikiwa kusonga mbele Kombe la Dunia

Timu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa mara ya kwanza imefuzu kuingia katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia baada ya kuifunga Uzbek . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 28, 2026

Vifo vya tetemeko la ardhi Venezuela ni zaidi ya 1,400

Watoa huduma za uokoaji nchini Venezuela wanaendelea na juhudi za kuwatafuta manusura kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyoi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 28, 2026

Mkuu wa jeshi azuia shughuli za Nation Media Group

Shirika kubwa zaidi huru la habari nchini Uganda Nation media group limearifu kuwa limewekwa chini ya ulinzi mkali wa kijeshi mapema Jumapil . . .

Kurasa 16 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category