Jeshi la Ukraine limesema limekishambulia usiku kucha kiwanda cha kusafisha mafuta katika eneo la Samara nchini Urusi.Kulingana na gavana wa . . .
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameishutumu Marekani kwa kukiuka masharti ya makubaliano kati ya mataifa hayo mawili yaliy . . .
Mashirika ya Afya barani Afrika yamesema kuwa mripuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo unaendelea kusambaa kwa kas . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewakamata watu 130 kwa tuhuma za kuchochea vitendo vya uhalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti . . .
Makamu wa Rais wa Zambia Mutale Namulango amenusurika kifo baada ya Helikopta ya Jeshi la Anga la Zambia (ZAF) aliyokuwa akisafiri . . .
Baadhi ya waandamanaji nchini Afrika Kusini wanaopinga uwepo wa wageni wasio na vibali nchini humo Julai 9,2026 walipita nyumba kwa nyumba k . . .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amekihakikishia ushirikiano Chuo cha United African Institute of Technology (UAIT) Cha Ko . . .
Nchini Zambia wakati huu raia wakijiandaa kwa uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao, Rais Hakainde Hichilema licha ya kupewa nafasi kubwa ya kushinda . . .
Wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe na Ousmane Dembele, usiku wa kuamkia leo walifunga magoli muhimu yaliyotamatisha safar . . .
Nyota wa muziki duniani Justin Bieber ataungana na Shakira, Madonna na kundi la BTS kutumbuiza kwenye onyesho maalum la mapumziko ya kipindi . . .
Mamlaka za Afya barani Afrika zimesema mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndio "unasambaa kwa kasi zaidi" kuwahi kushu . . .
Syria imekamata mtandao wenye mafungamano na kundi la Dola ya Kiislamu (IS) linalodaiwa kuhusika na milipuko miwili ya mabomu iliyotokea wak . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amemuarifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu operesheni za Marekani katika eneo la Ghuba, ofisi . . .
Zao la mkonge linaendelea kuwa moja ya mazao yenye fursa kubwa za kiuchumi nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bodi ya Mkonge Tanzania, uzalishaj . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uungwana haupaswi kuzaa kiburi wala kutoweka nafasi ya kusikiliza . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Ot . . .
Ulimwengu wa mpira wa miguu unasubiri kwa hamu mchezo wa leo Alhamisi, tarehe 9 Julai 2026, ambapo mabingwa wa zamani France watakabiliana n . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeishutumu Israel kwa kuangamiza familia katika mashambulizi yake nchini Leba . . .
Urusi imelaani maamuzi ya jumuiya ya NATO ikisema yanaweza kuwa na athari mbaya kabisa, baada ya muungano huo kutangaza msaada wa kijeshi kw . . .
Raia nchini Iran hii leo wanajiandaa kumzika kiongozi wao Ali Khamenei, katika mji alikozaliwa wa Mashhad, huku mashambulizi mapya ya Mareka . . .
Baada ya Mafarao, Misri kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia 2026, Kocha mkuu wa timu hiyo, Hossam Hassan amelalamikia maamuzi ya waamu . . .
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amesaini kuwa sheria muswada unaoongeza muda wake wa kuhudumu madarakani kwa miaka miwili zaidi, hadi m . . .
Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wametangaza leo Jumatano kwamba wameshambulia vituo 85 katika kambi za kijeshi za Marekani huko Kuwait na Bahra . . .
Mlipuko wa Ebola unaendelea kuenea nchini DRC. Na maeneo yaliyoathiriwa zaidi na virusi hivyo pia ni yale ambayo njaa inaongezeka kwa kasi z . . .
Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia nchini Ufaransa, National Rally RN Marine Le Pen amesema atawanai urais wa nchi hiyo katika uchaguzi u . . .
Mkutano wa kilele wa jumuiya ya kujihami NATO unaingia siku yake ya pili na ya mwisho Jumatano mjini Ankara nchini Uturuki.Waziri Mkuu wa Ui . . .
MOJAWAPO ya maswali yanayozua mjadala katika malezi ya watoto wachanga ni kuhusiana na wakati ambapo mtoto anapaswa kuanza kuvalia viatu.Kil . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran kuwa Washington iko tayari ama kufikia makubaliano ya kidiplomasia au kuchukua hatua kali za k . . .
Takwimu za shirika la afya duniani WHO zimeonyesha kwamba zaidi ya watu 500 sasa wamefariki kutokana na mlipuko wa ebola unaoikumba Jamhuri . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko ziarani nchini Syria. Macron anatarajiwa kukutana na rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa.Rais wa Uf . . .
Mkutano wa jumuiya ya kujihami NATO unaanza Jumanne mjini Ankara nchini Uturuki. Mkutano wa kilele wa siku mbili wa jumuiya kujihami NA . . .
Mahakama ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga imemtia hatiani mwalimu mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kosa la wizi akiwa mtumishi wa umma . . .
Idadi ya watu waliofariki kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa taarif . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Julai 6, 2026, kuelekea Paris, France, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan . . .
FIFA imeondoa adhabu ya kutocheza mechi moja kwa mshambuliaji wa Marekani, Folarin Balogun, baada ya Donald Trump kuripotiwa kuwasiliana na . . .
England imefuzu robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mexico katika mchezo uliokuwa na . . .
Ujumbe kutoka Algeria ambao ni sehemu ya kamati ya ngazi ya juu ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika umewasili nchini Sudan Kusini kutathm . . .
Huko Gitega, Mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, mashauriano kati ya viongozi wa upinzani na viongozi wa kidini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia y . . .
Kufuatia mashambulizi mapya yaliyoratibiwa na wanajihadi wa kiislamu na washirika wao waasi wa Tuareg nchini Mali, jeshi la nchi hiyo . . .
Waombolezaji nchini Iran wameendelea kujitokeza kwa wingi mjini Tehran kwa siku ya pili mfululizo katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyeku . . .