logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • August 9, 2026

Besigye Arejeshwa Gerezani Licha ya Malalamiko Kuhusu Afya Yake

Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye, amerudishwa katika Gereza la Luzira kutoka Hospitali ya Taifa ya Rufaa ya Mul . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 9, 2026

Mwanamke Atuhumiwa Kuwapiga Risasi Wanaume Wawili, Asakwa na Polisi

Mamlaka nchini Marekani zinaendelea kumsaka mwanamke mmoja anayehusishwa na kifo cha wanaume wawili waliouawa kwa kupigwa risasi katika eneo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 9, 2026

Ujerumani yasema inakabiliwa na vita mseto

Akizungumza na gazeti la Bild am Sonntag, Dobrindt ameongeza kwamba mataifa ya kigeni yapo katika mawindo ya kuchochea hofu, kuvuruga na kus . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 9, 2026

Watano wafariki katika mashambulizi ya Urusi na Ukraine

Usiku wa kuamkia leo nchini Ukraine shambulio la Urusi limewaua watu wawili na kuwajeruhi wengine 23 katika mji wa kaskazini wa Kharkiv, hay . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Salah Kutua Uturuki leo

Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imethibitisha kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, huku ikitangaza kuwa mc . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Infantino Aitisha Mkutano wa Dharura wa FIFA Morocco leo

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, anatarajiwa kuongoza mkutano wa dharura na viongozi waandamizi wa shirikisho hi . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Diddy Aongezewa Muda wa Kukaa Gerezani Baada ya Kuzua Ugomvi

Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs ataendelea kutumikia kifungo chake kwa muda mrefu zaidi baada ya mamlaka z . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Azam FC Yazindua Jezi Mpya Msimu 2026/27 Tayari kwa Vita Ligi Kuu

Klabu ya Azam FC leo Agosti 5, 2026, imezindua rasmi jezi zitakazotumika katika msimu wa mashindano wa 2026/27, ikiwa ni sehemu ya maandaliz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Morocco ilionya Hispania mapema kuhusu suala la wahamiaji

Morocco imesema iliionya Hispania mapema kwamba uamuzi wa Mahakama Kuu wa kutorejesha haraka wahamiaji wanaowasili kwa njia ya bahari ungewe . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Majaribio ya dawa na chanjo mpya za Ebola yameanza Kongo

Majaribio ya dawa na chanjo dhidi ya mlipuko wa Ebola yameanza ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na kudhibiti ugonjwa huo katika taif . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2026

Trump atangaza uwezekano wa makubaliano kuhusu Hormuz

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano kuhusu kuufungua tena Mlango Bahari wa Hormuz yanaweza kutangazwa hivi karibuni. Amey . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

Dalili za Kiharusi cha Ubongo ni hizi

Ubongo wa mwanadamu ni kiungo muhimu ambacho kinategemea usambazaji wa damu unaoendelea. Kutatizika kwa mtiririko wa damu kunaweza kukata ok . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

Israel Yasimamisha Mpango wa Kutumia Mamba Kama Walinzi wa Gereza

Mahakama ya Israel imetoa amri ya muda ya kusimamisha mpango wa kutumia mamba wa mto Nile kama sehemu ya ulinzi kuzunguka gereza linalowashi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Um . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

Askari awaua watu wanne

Watu wanne, wakiwemo raia watatu, wameuawa na mwanajeshi mmoja huko Sevastopol, gavana wa eneo hilo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi katika ene . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

Kiongozi wa upinzani Uganda ni dhaifu sana hospitalini

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini, ana fahamu lakini "hali yake ni dhaifu sana" na hawe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 4, 2026

Meli ya mizigo yaripoti kushambuliwa Hormuz

Shirika la kufuatilia usalama wa shughuli za baharini la Uingereza, UKMTO, limesema meli moja ya mizigo imeshambuliwa kwa kombora lisilojuli . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

DIB YAWAHIMIZA WANANCHI KUWEKA AKIBA KWENYE TAASISI ZENYE LESENI

Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewataka wananchi kutumia fursa ya Maonesho ya Nanenane kutembelea banda la DIB ili kupata elimu kuhusu ulinzi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Iran Yafichua Sababu ya Kutotoa Sauti ya Kiongozi Wao Mojtaba Khamenei

Gazeti la Hamshahri, linalomilikiwa na Manispaa ya Tehran, limedai kuwa sababu ya kutotolewa kwa sauti ya Kiongozi mpya wa Jamhuri ya Kiisla . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Hersi "Wanachama wa Yanga Kuvunja Makundi Baada ya Uchaguzi, Watano Wachaguliwa"

Wanachama wa Yanga wamewachagua wajumbe watano wapya wa Kamati ya Utendaji katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Uk . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Uganda: Uteuzi kuelekea uchaguzi wa mitaa kufanyika leo

Nchini Uganda, uteuzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika leo Jumatatu, huku mchakato huo ukikubwa na ukiukaji wa sheria.Uchag . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Waziri Mkuu wa Uingereza asema Infantino hafai kuongoza FIFA

Waziri Mkuu wa Uingereza Andy Burnham amesema Rais wa FIFA Gianni Infantino sio mtu sahihi kuliongoza shirikisho hilo la kandanda kufuatia m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 3, 2026

Taarifa potofu zilisababisha taharuki kwa wahamiaji wa Ceuta

Mji wa Ceuta mwishoni mwa juma haukuonekana tena kama jiji lililokuwa na wasiwasi, lakini wakazi bado walikuwa wameshtushwa na matukio ya wi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

Mchezo wa Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2026/27 utachezwa katika Uwanja wa Amaan, . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

Davido Ajinunulia Jumba la Kifahari Georgia

Staa wa muziki wa Afropop kutoka Nigeria, Davido, amewaonesha mashabiki wake jumba jipya alilonunua hivi karibuni katika jimbo la Georgia, M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

Kafulila "PPP Ni Muhimu kwa Mustakabali wa Uchumi"

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE), David Kafulila, amesema kuwa mfumo wa ubia kati y . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

MD TWANGE AWATAKA WANASHERIA WA TANESCO KUENDELEA KUSIMAMIA MAADILI

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amewataka wanasheria wa shirika kuendelea kusimamia maadili y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

Maelfu ya wahamiaji waingia katika himaya ya Uhispania

Maelfu ya wahamiaji usiku wa kuamkia leo hii walivuka kutoka Morocco kuingia katika eneo la Ceuta linalodhibitiwa na Uhispania katika Afrika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 31, 2026

Rebeca Grynspan wa Costa Rica ameongoza kumrithi Guterres

Rebeca Grynspan wa Costa Rica ameongoza duru ya kwanza ya kura isiyo rasmi ya kumtafuta mrithi wa António Guterres kama Katibu Mkuu wa Umoj . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

Urusi yafanya mashambulio makubwa nchini Ukraine

Takriban watu wanane wauwawa na wengi kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya miji mbali mbali ya Ukraine huku Rais Zelensky a . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

Kizza Besigye yuko hoi hospitali baada ya kuanguka kortini

Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda anayezuiliwa jela Kizza Besigye ambaye hapo jana alianguka akiwa mahakamani, amelazwa hospitali a . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

Mashirika ya kiraia yanatiwa wasiwasi na kuongezeka kwa vurugu Bamenda

Nchini Cameroon, vifo vitatu katika siku chache tu huko Bamenda na vitongoji vyake vinatumika kama ukumbusho dhahiri kwamba ukosefu wa usala . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

RC Mtanda" Boti za uokozi ni nguzo muhimu ya kuokoa maisha Ziwa Victoria"

Ajali za majini zimeendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazohatarisha maisha ya maelfu ya wananchi wanaotegemea Ziwa Victoria kwa shughul . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

Kunenge" Maofisa maendeleo wafuate dira ya taifa 2050 kuacha tabasamu kwa wananchi"

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa maofisa maendeleo ya Jamii kuhakikisha wanazingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 30, 2026

Infantino Atingisha Soka la Dunia

Mvutano mkubwa umeibuka ndani ya Shirikisho la Soka Duniani baada ya taarifa kudai kuwa Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anapanga kuuza sehem . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

Tshisekedi huenda akawania awamu ya tatu ya urais

Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeidhinisha jana Jumanne sheria inayoruhusu kufanyika kwa kura ya maoni.Wakosoaji wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

MIAKA 30 JELA KWA KUSAFIRISHA KILO 75.15 ZA MIRUNGI

Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga imemhukumu Isa Musini Rashidi maarufu kama Hamidu kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatian . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

Liverpool Wafikia Makubaliano ya Awali na Bradley Barcola

Liverpool wanadaiwa kufikia makubaliano ya awali (agreement in principle) na winga wa Bradley Barcola kuhusu uhamisho wa majira haya ya kian . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

Watu kadhaa wauawa nchini Iraq katika mashambulizi ya anga kati ya Marekani na Saudi Arabia

Katika Mashariki ya Kati, mashambulizi ya anga yameanza tena Jumatano, Julai 29, baada ya utulivu wa siku kadhaa. Jeshi la Marekani limetang . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 29, 2026

Shirika la habari la Nation larejelea shughuli zake nchini Uganda

Shirika la habari la Nation limetangaza kurejelea shughuli zake nchini Uganda, mwezi mmoja baada ya mkuu wa majeshi nchini humo, Muhoozi Kai . . .

Kurasa 12 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category