Mamlaka nchini Morocco zimewakamata mamia ya wahamiaji waliotaka kuvuka mpaka ili kuingia katika eneo la Ceuta lililoko kaskazini mwa . . .
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Kurdistan, eneo linalojitawala kaskazini mwa Iraq, imelengwa usiku wa Jumapili, Agosti 16, kuamkia Jumatatu, Agosti . . .
Mjumbe maalumu wa Marekani Jared Kushner atakutana hii leo Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.Hii ni baada ya Kushner ya m . . .
Rais Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya uchaguzi wa urais Zambia, baada ya zaidi ya nusu ya majimbo kutangaza matokeo yake.Tume . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa ujenzi wa Barabara ya Kibaoni–Sitalike (km 70) ni muhimu katika kuchochea shughuli za kiuch . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, kupitia utawala wake, umeomba Mahakama ya Juu ya Marekani iruhusu kuendelea kwa ujenzi wa ukumbi mkubwa wa W . . .
Iran imeitaka Qatar iwaachilie marubani wake wa tatu wa kijeshi inaodai walikamatwa baada ya ndege zao kuanguka wakati wa vita vya Mashariki . . .
Jeshi la Israel limedai kuwa limemuua kamanda mwandamizi wa kundi la Hezbollah Hassan Alaa katika shambulio lililolenga kusini mwa Lebanon. . . .
Serikali imeendelea kufanya maboresho katika Sheria na Kanuni za Madini kwa lengo la kuongeza ushiriki wa Watanzania katika sekta ya madini, . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba . . .
Madereva wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani na kuacha kutumia nafasi zao kama aska . . .
MWENGE wa Uhuru 2026 umeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa tenki la kuhifadhi maji Buhongwa, jijini Mwanza, mradi unaolenga kuimarisha upat . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa Zanzibar, Ama . . .
Timu hizo sasa zitaungana na mataifa ya Taiwan, Uzbekistan, Papua New Guinea na Venezuela au Ecuador katika mashindano ya mataifa sita mwezi . . .
Ukraine imesema leo kwamba imepokea miili ya wanajeshi wake 261 waliouawa vitani, huku Urusi kwa upande ikisema miili 24 imekabidhiwa kwao n . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Mradi wa Maji Kizimkazi, ikiwa ni sehemu ya shughuli za m . . .
Zaidi ya nchi 30, zikiwemo Ufaransa, Uingereza na Canada , zimeilaani Iran kwa kuendelea kutekeleza hukumu za kifo dhidi ya waandamaji, waki . . .
Paris Saint-Germain imeendelea kuthibitisha ubora wake barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aston Villa katika fai . . .
Raia wa Zambia leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na viongozi wa serikali za mitaa, huku Rais Hakainde Hichilema akitar . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Tamasha la Kizimkazi limeendelea kuwa jukwaa mu . . .
Zambia iko tayari kwa uchaguzi mkuu unaofanyika kesho, Alhamisi, Agosti 13, 2026, ambapo wananchi watapiga kura kumchagua Rais, wabunge pamo . . .
Watu 60 wameuawa nchini Sudan Kusini, baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha, katika uvamizi wa wizi wa mifugo katika jimbo la Warrap, K . . .
Nyota wa Marekani Kim Kardashian amekumbwa na tukio la uvamizi katika moja ya nyumba zake zilizopo eneo la Hidden Hills, Los Angeles, ambapo . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi wanaomiliki silaha kuhakikisha wanazifikisha katika mamlaka husika kwa a . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wanachama wa Maskani Kaka ya Kisonge, Mjini . . .
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amewasili Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja-Zanzibar, ambapo ni mgeni rasmi katika Mdahalo . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini agizo la kiutendaji kufikiriwa upya kwa sheria zinazolazimisha watoto wa shule kupewa chanjo za . . .
Ganzi katika miguu ni mojawapo ya matatizo yanayoweza kuwapata watu wenye kisukari, hasa wale ambao wamekuwa na kiwango cha juu cha sukari m . . .
Pazia la NBC Premier League msimu wa 2026/27 linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14, huku timu mbalimbali zikianza kampeni ya kusaka point . . .
Bunge la Sierra Leone limeidhinisha mageuzi ya kikatiba yatakayobadilisha sheria za uchaguzi nchini humo kabla kinyang'anyiro cha kuwania ur . . .
Tetemeko kubwa la ardhi la kipimo cha 7.4 cha Richter limeikumba Colombia na kuua watu zaidi ya 100 huku wengine wakifunikwa na vifusi.Kulin . . .
Baba mzazi wa nyota wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi, Jorge Messi amezikwa katika makaburi binafsi ya El Prado, karibu na mji wa . . .
JOSE Mourinho amefichua kuwa aliwahi kusaini makubaliano ya kuchukua nafasi ya ukocha wa Manchester United kutoka kwa Sir Alex Ferguson mwak . . .
Mrembo wa Marekani, Jordyn Lucas, ametimiza ndoto yake ya muda mrefu baada ya kupata nafasi ya kukutana na rapa maarufu Drake.Baada ya kukut . . .
Nchini DRC, kukabidhiwa kwa wafungwa kumi na watano kwa AFC/M23 kulipokelewa vyema na Qatar na Marekani kama hatua ya kwanza ya kujenga iman . . .
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameukataa mpango amani wa Gaza ulioratibiwa na Marekani na kukubaliwa na Hamas, hatua inayoonesha . . .
Raia wa Zambia Alhamisi ya wiki hii watapiga kura katika uchaguzi wa rais unaofuatiliwa kwa karibu na ambao utakuwa kipimo cha mafanikio ya . . .
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kimesisitiza hakitaufungua Mlango Bahari wa Hormuz hadi Marekani itakapokubali masha . . .
Malawi na Cameroon zimefanikiwa kuingia nusu fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, WAFCON, na kufuzu kushiriki Kom . . .
Watu wasiopungua wanane wamefariki dunia, akiwemo kijana mwenye umri wa miaka 14 anayedaiwa kuhusika na tukio hilo, baada ya shambulio la ri . . .