logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Polisi wachunguza kifo cha Mtu aliyekutwa bila kichwa Mto Msimbazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa ukielea katika maji ya Mto Ms . . .

bungeni
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Makonda awasili bungeni akiambatana na nyota wa soka Didier Drogba

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda leo Mei 4, 2026 amewasili katika viwanja vya Bunge la Tanzania  . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

UPDS kuandamana kuonyesha uungaji mkono kwa Rais Trump

Chama tawala nchini DRC, UDPS, hivi leo kinatarajiwa kufanya maandamano jijini Kinshasa, kuonesha uungaji mkono wao kwa rais wa Marekani Don . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

Merz asema hakati tamaa kufanya kazi na Trump

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viongozi hao . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2026

Marekani kuongoza meli zilizokwama Mlango Bahari wa Hormuz

Marekani itazindua operesheni ya kuongoza meli zilizokwama kutoka Mlango Bahari wa Hormuz ulioshikiliwa na Iran.Marekani Jumatatu itazindua . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Rais Kagame Awasili Nchini kwa Ziara ya Kukuza Ushirikiano wa Biashara

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

AFCON 2027 kuanza Juni 19 hadi Julai 17 mwakani

Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limetoa tangazo rasmi kwamba Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya AFCON 2027 yatafanyika kuanzia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Trump asema ana mashaka na pendekezo la amani la Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atapitia pendekezo jipya la amani la Iran lakini ameonesha mashaka makubwa kuhusu uwezekano wa kulikub . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 3, 2026

Israel yawataka wakaazi kusini mwa Lebanon kuhama makazi yao

Jeshi la Israel limewaamuru wakaazi wa baadhi ya vijiji Kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao. Wakaazi wa vijiji hivyo wametakiwa kw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Kesi ya wanajeshi 84 wa FARDC wanaotuhumiwa kukiuka maagizo ya kijeshi

Kesi hiyo ilifunguliwa siku ya Jumatano, Aprili 29, mbele ya mahakama ya kijeshi huko Kisangani. Wanajeshi themanini na wanne kutoka kiten . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Waasi wateka kambi ya kijeshi ya Tessalit kaskazini mwa Mali

Jeshi nchini Mali na washirika wake ambao ni mamluki wa Urusi wanaripotiwa kuiacha kambi muhimu ya kimkakati ya Tessalit kuangukia mikononi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Polisi Uturuki yawakamatwa waandamanaji kadhaa Mei Mosi

Polisi nchini Uturuki wamekabiliana leo na waandamanaji waliojaribu kuelekea kwenye uwanja wa Taksim katikati ya jiji la Istanbul kwenda kua . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Viongozi Wakuu Iran Wagawanyika Kuhusu Hatma ya Waziri wa Mambo ya Nje

Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya serikali ya Iran ambapo Rais Masoud Pezeshkian na Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghaliba . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Vyakula 12 Vinavyokuongezea Kalori Kimya Kimya

Katika maisha ya kisasa watu wengi hujaribu kula kwa afya lakini mara nyingi kuna vyakula na vinywaji tunavyotumia kila siku ambavyo vinaong . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Trump akataa mpango wa Iran asema haujitoshelezi kumaliza Vita

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hajaridhishwa na pendekezo jipya la Iran la kumaliza vita kati ya mataifa hayo mawili, akieleza pia ku . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Mfumuko wa bei barani Ulaya ulipanda hadi 3% mwezi Aprili

Kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta kutokana na vita kati ya Iran na Marekani kumesababisha kupanda kwa mfumuko wa bei barani Ulaya mwezi Apr . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

DC MWEMA AKABIDHIWA RASMI NA RC SENDIGA JENGO LA OFISI

MKUU wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Remidius Mwema, amekabidhiwa rasmi jengo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto na Mkuu wa Mkoa Queen . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI KAGANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameagana na Balozi mteule wa Tanzania kat . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

TANZANIA NA JAPAN KUFUNGUA MILANGO MIPYA YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI

Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji w . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Iraola Aibuka Mpinzani Mkubwa wa Carrick Mbio za Kuinoa Man United

Kocha wa AFC Bournemouth, Andoni Iraola, ameibuka kama mpinzani mkubwa wa Michael Carrick katika mbio za kuinoa Manchester United, kwa mujib . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Tekno Kurejea na Album Mpya 2026, Mashabiki Wasubiri Kwa Hamu

Muimbaji maarufu kutoka Nigeria, Tekno, amewapa mashabiki wake habari njema baada ya kutangaza ujio wa album yake mpya aliyoipa jina â€ . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Rais Samia Awasili Iringa Kushiriki Maadhimisho ya Mei Mosi Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege mkoani Iringa tayari kwa kushiriki Maadh . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Washington yamtangazia vikwazo Joseph Kabila

Marekani imemwekea vikwazo rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila, kufuatia ripoti za kuwaunga mkono waasi wa M23/ . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 1, 2026

Mwanaume aliyewauwa watoto wa chekechea ahukumiwa kifo

Mahakama Kuu nchini Uganda, imemkuta na hatia Christopher Okello Onyum, na kumuhukumu kunyongwa kwa makosa manne ya mauaji ya watoto wanne w . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Waasi wa Touareg waahidi kuuangusha utawala nchini Mali

Waasi wanaotaka kujitenga nchini Mali wa Touareg wametangaza dhamira yao ya kuuangusha utawala wa kijeshi nchini humo.Waasi hao wamesema kwa . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Ijue hatari ya kumchunga na kumfuatilia sana mpenzi wako

Takribani mamilioni ya watu wengi kote uimwenguni wanaelewa kwamba uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Wabunge wa Marekani wamtaka waziri wa ulinzi kuhusu vita dhidi ya Iran na bajeti ya jeshi

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth anatarajiwa kukabiliwa na siku ya pili ya maswali makali kutoka kwa wabunge hasa chama c . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Tambua matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

RSF: Uhuru wa vyombo vya habari umepungua mno kote duniani

Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Wanahabari wasio na mipaka (RSF) imeeleza kuwa uhuru wa vyombo vya habari umeshuka kwa kiwango cha chi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Marekani: Vita vya Iran vimetugharimu karibu dola bilioni 25

Utawala wa Rais Donald Trump umeliambia Bunge la Marekani kuwa vita vyake na Iran vimewagharimu takriban dola bilioni 25 kufikia sasa, kiwan . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

SERIKALI YASISITIZA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI

Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo, kwa lengo la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

Manowari ya USS Ford kuondoka eneo la Mashariki ya Kati

Manowari kubwa zaidi duniani ya kubeba ndege za kivita, ya USS Gerald R. Ford, inatarajiwa kurejea nyumbani baada ya misheni inayotajwa kuwa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

Waandamanaji Chad washinikiza kiongozi wa upinzani aachiwe

Mamia ya watu walikusanyika jana mjini N’Djamena kudai kuachiwa kwa kiongozi wa upinzani wa Chad na waziri mkuu wa zamani, Succès Masra, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

Msafara wa boti kuelekea Gaza wazingirwa na jeshi la Israel

Waandaaji wa msafara wa boti flotilla uliobeba wanaharakati wanaounga mkono Palestina, waliolenga kuvunja kizuizi cha Israel dhidi ya Gaza, . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

Jacquemain Shabani aponea kura ya kukosa imani naye bungeni

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya ndani Jacquemain Shabani ameponea kura ya kukosa imani naye . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 30, 2026

HRW yaitaka Saudi Arabia kutowanyo'nga raia wa Ethiopia 65

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Saudi Arabia kusitisha hukumu ya kunyongwa kwa takriban Waethiopia 65 wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 29, 2026

Assimi Goita akutana na ujumbe wa Urusi nchini Mali

Kiongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Assimi Goita amekutana na balozi wa Urusi hapo Aprili 28, 2026 ikiwa ni mara ya kwanza kwa kiongozi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 29, 2026

Umoja wa Falme za Kiarabu kujitoa OPEC kuanzia Mei Mosi

Umoja wa Falme za Kiarabu umesema utajiondoa kwenye Muungano wa nchi zinazouza mafuta kwa wingi ulimwenguni, OPEC kuanzia Mei Mosi.Kulingana . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 29, 2026

Rais Trump amshambulia Kansela Merz kwa kuitetea Iran

Rais Donald Trump amemshambulia kwa maneno makali kansela wa Ujerumani Friedrich Merz baada ya kiongozi huyo wa Ujerumani kusema, Marekani h . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 29, 2026

Mfalme Charles III ahimiza ushirikiano na Marekani

Mfalme Charles III wa Uingereza amekiri kuwepo kwa nyakati za sintofahamu wakati wa maadhimisho ya miaka 250 ya uhuru wa Marekani kutoka Uin . . .

Kurasa 26 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category