logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2026

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2026

Msako wafanyika katika makaazi ya mbunge Ilhan Omar

Nchini Marekani, Maofisa wa usalama wamefanya msako katika nyumba ya mbunge wa chama cha Democratic, Ilhan Omar, jijini Washington DC.Ofisi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 13, 2026

Kabila achukua usukani wa harakati mpya ya kisiasa na kijeshi

Rais mstaafu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila amechukua usukani wa harakati mpya ya kisiasa na kijeshi inayofahamika kama F . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 13, 2026

Polisi Wamsaka Mwanamke Anayetuhumiwa Kutelekeza Kichanga Moshi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka mwanamke anayetuhumiwa kumtelekeza mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku t . . .

Marathoni
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

LAKE VICTORIA MARATHON KUWAGUSA WATOTO NJITI

Mashindano ya riadha yanayofahamika kama Lake Victoria Marathon yanatarajiwa kufanyika Novemba 15, 2026, jijini Mwanza, yakilenga kuhamasish . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

Janga hilo lilitokea nje ya pwani ya Djibouti. Angalau wahamiaji 139 wamefariki na zaidi ya wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti yao . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

Serikali yafikiria kuweka faini kwa wanaochelewa kuchukua NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema vitambulisho vya Taifa 6,308 vilivyochapishwa kwa ajili ya wananchi wa Zanzibar . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

Hakuna kisa kipya cha Ebola baada ya vipimo 293

Wizara ya Afya ya Kenya yasema hakuna mgonjwa wa Ebola aliyegunduliwa tangu kifo cha mgonjwa aliyeingia kutoka DRC.Kenya imesema haijabaini . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

Karibia wachimba madini 72 wameuawa katika shambulio la angani

Karibia wachimba madini 72 wameripotiwa kuuawa katika mashambulio ya angani katika eneo linalozozaniwa kwenye mpaka kati ya Sudan na Misri k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2026

Iran na Saudi Arabia zafanya mazungumzo ya njia ya simu

Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia, Prince Faisal bin Farhan Al Saud, amefanya mazungumzo ya njia ya  simu mwenzake wa Iran, Abbas . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2026

Trump Aitaka Ukraine Kupata Rais Mpya, Watofautiana Kuhusu Urusi

kutafuta suluhu ya vita yakiendelea. Maafisa wa Ukraine, Ulaya na Marekani walikutana Miami siku ya Ijumaa kujadili pendekezo la pamoja la k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2026

Billboard Yaitangaza Despacito Kuwa Wimbo Bora wa Wakati Wote

Wimbo wa “Despacito” wa Luis Fonsi na Daddy Yankee, akimshirikisha Justin Bieber, umeongoza orodha ya nyimbo bora za Latin za wakati wot . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

Ethiopia yaapa kusimama kidete kujilinda dhidi ya Eritrea

Ethiopia imesema itajilinda dhidi ya kile inachokiita uvamizi wa kijeshi wa Eritrea, ikidai wanajeshi wameingia hadi kilomita 60 ndani ya nc . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

Navi Pillay ameshinda tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026

Navi Pillay, aliyekuwa Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, kati ya mwaka 2008 hadi 2014, ndio mshindi wa tuzo ya amani . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

Arajiga Kuchezesha Kariakoo Derby Kesho Uwanja wa Uhuru jijini Dar

Waamuzi watakaochezesha mchezo wa watani wa jadi, Simba SC dhidi ya Yanga SC, maarufu kama Kariakoo Derby, wametangazwa kuelekea pambano hil . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

Rais Samia Atoa Salamu za Rambirambi Vifo vya Watu 32 Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Cuthbert . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

SIKU YA MAADHIMISHO YA WALIMU DUNIANI BUKOMBE 2026

maadhimisho ya siku ya Mwalimu duniani 2026 yamefanyika  shule ya sekondari ya ushirombo wilaya ya bukombe mkoani geita . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

RC NYONGO"KUSIWEPO NA VIKWAZO VIKAKIMBIZA WAWEKEZAJI PWANI"

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan haitakubali urasimu ama vikwazo kukwamisha . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 9, 2026

Ajali zaua zaidi ya 30 Moro,zaidi ya 37 wajeruhiwa, wamo Askari polisi

Zaidi ya watu 30 wanadaiwa kufariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro, huku wengine 37 wakin . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2026

DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA WAWAKILISHI WA SPACEX NA STARLINK

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzani . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 8, 2026

Anayedaiwa Kuuawa kwa Risasi na Mumewe Aagwa Mbezi Beach

Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili ya ibada ya kuaga kabla ya . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2026

Mahakama Yaahirisha Uamuzi wa Kesi ya Said Issa Dhidi ya Chadema

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi kuhusu maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha S . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2026

Eritrea yatuma wanajeshi wake kaskazini mwa Ethiopia

Vyanzo kadhaa nchini Ethiopia vimethibitisha Eritrea kutuma wanajeshi wake kaskazini mwa nchi hiyo, hali inayotishia kuufanya mzozo wa ndani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2026

Droni zashambulia vikosi vya Eritrea kaskazini mwa Tigray, kulingana na mashahidi

Ndege zisizo na rubani za Ethiopia zimeshambulia mara kwa mara wanajeshi wa Eritrea waliotumwa hivi karibuni kuzunguka mji wa Adigrat kaskaz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

TANZANIA NA MSUMBIJI ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA ULINZI NA USALAMA

Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika ukumbi wa The Aga Khan Diam . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Mwabukusi Amtaka Mutungi Kuvifuta Vyama Visivyofanya Shughuli, Atoa Wito kwa Gen Z

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Tume ya Uchaguzi yatangaza kuahirishwa kwa uchaguzi

"Kipindi kilichowekwa awali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi kimeahirishwa," inasema taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa Tume ya muda y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Mkuu wa jeshi aapa kuchukua maeneo yanayokaliwa na RSF

Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapig . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Mkurugenzi Muhimbili Awaondoa Hofu Wagonjwa Wanaopelekwa Mloganzila

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amewaondoa hofu wananchi wanaopelekwa kutibiwa katika Hospi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Mabaki ya Helikopta ya Chivayo Yahamishwa, Wataalamu wa Kimataifa Watua Zimbabwe

Serikali ya Zimbabwe imesema mabaki ya helikopta aina ya Bell 430, yenye usajili Z-PED, yamehamishwa hadi Karakana ya Ndege ya Serikali kati . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 7, 2026

Mwanamke Mjamzito Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kuwaua Watoto Wake Wawili

Simulizi ya kusikitisha imeibuka katika Jimbo la Limpopo, Afrika Kusini, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 27, ambaye pia ni mjamzito, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2026

CHADEMA "IPU isikilize pande zote hali ya Tanzania"

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Mabunge Duniani (IPU) kusikiliza maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu h . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2026

Mwigulu Afanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Nguyen H . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 6, 2026

Mwanaume wa Miaka 20 Afungwa Miaka 30 kwa Kosa la Ubakaji

Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Juma Mfaume Kombo (20), mkazi wa Kijiji cha Tengere wilayani Mkuranga, k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 6, 2026

Nigeria Yatangaza Siku Tatu za Maombolezo Baada ya Ajali ya Ndege Kuua Watu 32

Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika Jimbo la Ondo, kusini . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2026

Kim Kardashian Afunguka Kuhusu Miaka Yake Bila Mahusiano

Staa wa televisheni na mfanyabiashara, Kim Kardashian, amefunguka kuhusu kipindi alichokaa bila kuwa katika uhusiano wa kimapenzi baada ya k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2026

Kesi yafunguliwa kwa washtakiwa 12 kesi kubwa ya ubakaji nchini Uingereza

Nchini Uingereza, kesi ya washtakiwa wenza katika kesi kubwa ya ubakaji nchini Uingereza inaanza leo Jumatatu. Mwanamume mmoja mwenye umri w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2026

Mgogoro wa makazi nchini Uhispania: Pedro Sánchez aitisha uchaguzi wa mapema wa Novemba 29

Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ametangaza leo Jumatatu kwamba ataitisha uchaguzi wa mapema wa wabunge wa Novemba 29, baada ya kukata . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2026

WANAFUNZI MILIONI 4.2 KUPIMWA OKTOBA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya wanafunzi 4,213,144 watafanya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, Darasa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 4, 2026

Chivayo na Mkewe Kuzikwa Bila Kuonyeshwa Miili

Familia ya  Wicknell Chivayo, imesema hakutakuwa na utaratibu wa kuonyeshwa miili ya marehemu Chivayo na mke wake, Lulu, kabla ya mazis . . .

Kurasa 4 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category