KITUO cha utafiti na ubunifu kimezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya ili kuwaongeza maarifa wanafunzi wa chuo hicho. Naibu Chansela . . .
Kundi la kigaidi la Islamic State limethibitisha kuhusika kwenye shambulio la siku ya Alhamisi ambalo lililenga mji wa Lume, jimbo la Ki . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Liz Truss amethibitisha nia yake ya kugombea nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo iliyo . . .
Maafisa wa Ukraine wamefahamisha kuwa watu 15 wameuawa baada ya majeshi ya Urusi kulishambulia kwa makombora jengo la ghorofa tano katika . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametetea ziara anayotarajia kufanya nchini Saudi Arabia mnamo wiki hii. Biden amesema katika makala aliyoandika . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ametoa wito juu ya kuondolewa kwa silaha za nyuklia duniani. Ametoa wito huo katika . . .
Polisi nchini Afrika Kusini, imesema watu 19 wameuawa mwishoni mwa juma lililopita, wakati watu wenye silaha walip . . .
Mzozo umeibuka kuhusu mazishi ya rais wa zamani wa Angola José Eduardo dos Santos, aliyefariki siku ya Ijuma wakati . . .
Waandamanaji wa Sri Lanka Jumapili wamesema wataendelea kukalia makazi rasmi ya rais na waziri mkuu mjini Colombo hadi viongozi hao wa . . .
Mpinzani wa kisiasa wa Saudia Menea Al-Yami aliuawa nchini Lebanon, chama cha upinzani cha Saudia National Assembly Party (NAAS) na chan . . .
MGOMBEAJI mmoja wa kiti cha Mwakilishi wa Kike, na wawili wa udiwani wametangazwa washindi bila jasho baada ya kukosa wapinzani. Tume Huru . . .
Polisi ya Tunisia imewazuia mamia ya waandamanaji kufika katika ofisi za tume ya uchaguzi, wakati waandamanaji wakimiminika barabarani kup . . .
Maelfu ya Watu wakusanyika Tamasha la Sanjo ya Busiya (7SabaFEST) Ikiwa ni kilele cha siku ya kiswahili Duniani pamoja Kilele cha sherehe . . .
Waziri mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amefariki baada ya kupigwa risasi wakati akiwa katika mkutano wa kampeni katika mji wa Nara siku . . .
Mgombea wa urais nchini Kenya Raila Odinga, ametishia kutoshiriki uchaguzi mkuu wa mwezi ujao, endapo tume huru ya uchaguzi na mipaka IE . . .
Ukraine ilipandisha bendera yake ya bluu na njano kwenye kisiwa cha Snake katika Black Sea hapo Alhamis ikionyesha ukaidi lakini Russia . . .
MNAMO Jumamosi iliyopita, viongozi wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) walitangaza kuiondolea vikwa . . .
RAIS mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud sasa anasema kuwa serikali yake ifanya mazungumzo na kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab ila kw . . .
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili Tanzania iwe na watu wengi waliocha . . .
Mashabiki wa Yanga bado wanaendelea kushangweka baada ya timu hiyo kubeba mataji matatu, huku wakiendelea kusikilizia mastaa wapya watak . . .
KOCHA mpya wa Simba, Zoran Manojlovic Maki amevunja ukimya huku akifichua jinsi alivyouchungulia mziki wa timu hiyo mapema na usajil . . .
mume wa rappa Nicki Minaj, Kenneth Petty (44) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya uangalizi wa mahakama pamoja na kifungo cha . . .
SIMBA inaenda nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa ambapo wao wanashiriki Ligi ya . . .
MWANIAJI urais kwa tikiti ya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua, wanaongoza kwa uma . . .
RAIS Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi kutokana na athari walizozipata baada ya tembo kuvamia katika vijiji vyao na . . .
Waziri mkuu Boris Johnson anarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ata . . .
Vyombo vya habari nchini Iran vinaripoti kwamba Jeshi la Mapinduzi la Iran limewakamata wanadiplomasia kadhaa wa kigeni akiwemo Muingereza . . .
Umoja wa Mataifa ulionya Jumatano kwamba dunia inashindwa katika juhudi zake za kutokomeza njaa kwani zaidi ya watu milioni 828 wali . . .
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kupunguza uhasama na hali ya . . .
KUTOKA nchini Nigeria zinaarifu kwamba wanamgambo wa kundi la Boko Haram juzi walivamia gereza moja nchini humo na kuwafungulia wafungwa . . .
Mwanasheria Mkuu mstaafu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema kutoshirikishwa kwa wananchi katika utungaji wa sheria ndiyo chanzo ch . . .
NI kawaida kutembea bila viatu kwenye fuo za bahari katika visiwa vingi ulimwenguni. Lakini katika Kaunti ya Lamu, ni kawaida kukumbana na . . .
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani - OPEC, raia wa Nigeria Mohammed Barkindo, amefariki dunia ghafla ak . . .
YANGA imemalizana na Bernard Morrison akisaini mkataba wa mwaka mmoja kurejea klabuni kwa masharti kadhaa lakini kuna balaa kubwa wanali . . .
Muimbaji wa muziki nchini Marekani Robyn Rihanna Fenty maarufu Rihanna ametajwa kwenye orodha ya jarida Forbes ya 2022 kuwa ndiye bilion . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson atakabiliwa na maswali bungeni Jumatano na baada ya hapo adadisiwe na wakuu wa kamati za bunge huku . . .
Ibada ya pamoja ya maziko ya vijana 21, waliofariki katika mazingira tatanishi kwenye klabu moja nchini Africa kusin . . .
Huzuni umeghubika kijiji cha Poroko katika kaunti ndogo ya Trans Mara Magharibi baada ya mvulana wa darasa la nane kumuua kinyama mwanamke m . . .
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na m . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alikuwa akipigania uhai wake wa kisiasa siku ya Jumanne baada ya Waziri wa Fedha Rishi Sunak, na . . .