logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

KINANA AFANYA ZIARA KATAVI.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya ki . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Odinga asusia mdahalo kuhusu uchaguzi

Mmoja wa wagombea wa urais nchini Kenya, Raila Odinga hatashiriki kwenye mdahalo ujao kuhusu uchaguzi, timu yake ya kampeni imesema . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Liberia yaruhusu uraia pacha .

Liberia imeruhusu uraia pacha, na hivo kubatilisha marufuku ya muda mrefu iliyochukuliwa na baadhi ya watu kama ya kinafiki kwani wasomi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

PAPA FRANCIS YUPO KWENYE ZIARA.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis, yuko nchini Canada kwa ziara ya wiki moja, ambapo anatarajiwa kuz . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Jeshi limewanyonga wanaharakati 4 wa demokrasia

Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umewanyonga wanaharakati wanne wa demokraisa katika kile ambacho kimetajwa kuwa . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

vigogo wajitosa kupigia debe mirengo yao

Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 zinapoendelea kushika kasi, wake wa vigogo wakuu wa kisiasa pia wamejitokeza kuwasaidia kuvumisha a . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

HOMA YA NYANI YAZIDI KUWA TISHIO DUNIANI.

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza maradhi ya homa ya nyani kuwa janga la kimataifa. Hii ni baada ya maradhi hayo hatari kuthibitish . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Kilio nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma

nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo baadhi ya watumishi wa umma wamekuwa wakijiuliza tangu juzi, baada ya Serikali kuweka nyongeza ya mi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2022

Korea Kaskazini yaishtumu Marekani kwa kutengeza silaha za kibaiolojia Ukraine

Korea Kaskazini leo imeishutumu Marekani kwa kutengeneza silaha za kibaiolojia nchini Ukraine na kurejelea madai ya Urusi yaliyopuuziliwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Rais wa Ufaransa kufanya ziara Africa Magharibi

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuzuru mataifa ya Cameroon ,Benin na Guinea Bissau wiki ijayo, ikiwa ni . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Polisi wauawa na watu wenye Silaha

Mamlaka nchini Nigeria zimesema watu wenye silaha wamewaua watu 17, wakiwemo polisi watano kwenye mambulizi mawili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Wataalam Wa Ujenzi Wa Uchukuzi Wa Tanzania Na DRC Wapewa Mwezi Mmoja Kukamilisha Taratibu Za Mradi

Serikali za Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetoa mwezi mmoja kwa wataalam wa sekta za ujenzi na uchukuzi kukamili . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

DJ WA MCHONGO . UNYAMA NI MWINGI SANA

. . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Ukraine, Urusi kusaini makubaliano ya kufungua upya bandari za nafaka

Urusi na Ukraine leo zinatarajiwa kutia saini mkataba wa kufungua tena shughuli za usafirishaji nafaka kupitia bandari za Ukraine zilizopo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

China yabadili masharti ya visa kwa wasafiri wa Tanzania

Serikali ya china kupitia ubalozi wake nchini Tanzania imefungua utoaji wa viza za kuingilia nchini china kwa watanzania kuanzia julai 11 mw . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Raia wa Venezuela aliyekamatwa na vibandiko vya Uchaguzi Kenya aachiliwa

Raia wa kigeni ambaye Alhamisi alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) nchini Kenya akiwa na stika za . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

BI JUMWA APATA AHUENI KUHUSU DIGRII YAKE KUTUPWA

Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, amepata afueni baada ya Mahakama Kuu ya Mombasa kutupilia mbali ombi lililokuwa likitaka kumfungia nj . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Eric Johana Omondi ajiunga na klabu ya soka ya Muangthong United nchini Thailand

Mchezaji wa kimataifa wa Harambee Stars, Eric Johana Omondi amejiunga na Muangthong inayoshiriki Ligi Kuu nchini Thailand kwa kandarasi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Makundi ya kutetea haki za binadamu yaiomba serikali ya DRC kumuachia huru mwandishi wa habari

Darzeni ya makundi ya kutetea haki za binadamu yameiomba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumuachia huru mwanahabari wa DRC aliyekamatwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Wanajeshi wavunja kambi ya waandamanaji Sri Lanka

Mamia ya wanajeshi wa Sri Lanka pamoja na polisi mapema Ijumaa wamevamia kambi moja ya waandamanaji wanaoipinga serikali kwenye mji mk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Bindu, Mwanamke wa Kihindi Aliyejioa Mwenyewe, Ashawishiwa na Muvi ya Netflix

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Kshama Bindu raia wa India mwenye umri wa miaka 24 amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kufunga ndoa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Adakwa kwa kukeketa wanafunzi wawili

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Chiwondo wilayani Chamwino, Chidalo Tagoo (64) kwa tuhuma za kuwakeketa . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Kina Mdee wafungua kesi kupinga kufukuzwa Chadema

Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la k . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

CIA yamsema Urusi imepoteza wanajeshi karibu 15,000 mpaka sasa nchini Ukraine

Shirika la upelelezi la Marekani CIA, limesema takribani wanajeshi 15,000 wa Urusi wamekufa tangu Moscow ilipofanya uvamizi nchini Ukraine . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

Amnesty yashinikiza uchuguzi wa mauwaji ya raia 400

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty, linaitaka serikali ya Ethiopia, kuendesha uchuguzi kuhu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

IMF yahujumu ahadi watoazo Ruto na Raila

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limewahujumu wawaniaji wakuu wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, William Ruto (Kenya Kwanza) na Ra . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

Biden kualika viongozki wa Afrika Washington DC

Rais wa Marekani Jumatano ametangaza kwamba Marekani itawaalika viongozi kutoka barani Afrika kwenye kongamano litakalofanyika mwezi&n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

WFP "Ulimwengu kukabiliwa na uhaba wa chakula mwakani".

Mkuu wa shirika la chakula duniani, WFP, David Beasley, Jumatano wakati akiwa kwenye majengo ya bunge la Marekani ameonya kuhusu uweze . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

Haji Manara Afungiwa Miaka 2 Kujihusisha na Soka, Apigwa Faini Milioni 20

Kamati ya Maadili ya TFF imemhukumu Ndugu Haji Manara kutojihusisha na masuala ya soka ndani na nje ya nchi kipindi cha miaka miwili (2) n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

Waziri Mkuu wa Italia Atangaza Kujiuzuru

Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi amethibitisha kutuma barua kwa rais wa nchi hiyo Sergio Mattarella kutaka kujiuzuru wadhifa wake kuto . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Kemikali ya Methanol yalaumiwa kwa vifo vya vijana Afrika Kusini

Daktari Litha Matinawe ambaye ni naibu mratibu wa huduma za afya kwenye jimbo la Eastern Cape , Afrika kusini, amesema kwamba ripoti ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Aishi Manula Asaini Mkataba Mpya

Golikipa namba moja wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kubaki katika mitaa ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Takribani abiria 41 wamenusurika katika ajali ya basi la Happy Nation

Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Mali yataka ufafanuzi juu ya uhusiano wa Ujerumani na wanajeshi wa Mali waliokamatwa

Serikali ya Mali imetaka ufafanuzi juu ya uhusiano uliopo kati ya serikali ya Ujerumani na wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokamatwa mjini . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Afisa wa juu wa Ukraine adai nchi hiyo inajiaandaa kuishambulia Crimea

Naibu waziri wa ulinzi wa Ukraine Volodymyr Havrylov amesema nchi yake inaazimia kuishambulia rasi ya Crimea iliyonyakuliwa na Urusi mwaka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Mahakama ya Uturuki yaafiki uamuzi wa Erdogan kufuta mkataba wa kuwalinda wanawake

Mahakama ya juu ya Uturuki imeunga mkono uamuzi wa rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdogan wa kuiondoa Uturuki katika mkataba wa Ulaya dhid . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

William Ruto Ajipata Pabaya kwa Matashi yake Dhidi ya Ngilu.

Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitu . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

WAHAMIAJI WAFUNGWA KIFUNGO CHA MIAKA 11.

Zaidi ya wahamiaji 30 Jumanne wamehukumiwa nchini Morocco kutokana na kujaribu kuruka uzio wa mpakani na eneo la Uhispania la Melilla mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Somaliland yasitisha matangazo ya BBC.

Maafisa wa jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia, Jumanne walisitisha matangazo ya shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Afisi ya UN ya kupambana na ugaidi inahimiza ushirikiano katika kupambana na ugaidi nchini Nigeria

Afisi ya Umoja wa mataifa ya kupambana na ugaidi inasema kuna umuhimu wa kuweka msingi imara wa ushirikiano kati ya mashirika ya serikal . . .

Kurasa 207 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category