Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema hana nia ya kujiuzulu na kwamba ataendelea kupambania mamlaka yake na ataipinga ripoti ya bung . . .
Watu 57 waliokuwa wanashikiliwa mateka na kundi la waasi la Allied Democratic Forces-ADF mashariki mwa Kongo wamekutanishwa na familia zao j . . .
Mtayarishaji wa muziki mwimbaji na na mwandishi wa nyimbo za afro beat ama afro pop adegboye segun maarufu kwajina la shawbit ameachia ep ya . . .
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amesifu hatua ya kusitisha vita katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, wakati wa ziara yake . . .
MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa . . .
WATU watatu wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea mapema hii leo mkoani Mwanza maeneo ya Mataa Nyakato - sokoni. Tukio lililohusisha lori li . . .
Kizaazaa kilizuka katika Bunge la Kitaifa nchini Senegal siku ya Alhamisi, Disemba 1, baada ya mbunge wa kiume kumtandika mwenzake wa kike k . . .
Marekani, Japan na Korea Kusini zimeweka vikwazo vipya kwa watu binafsi na mashirika ya Korea Kaskazini kujibu majaribio ya makombora ya hiv . . .
Msanii wa bongo fleva Harmonize ametangaza kuwa kila mtu ambaye atataka kufanya nae kolabo lazima atoe hela ndipo ataweza kufanya . . .
Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Makongoro Nyerere amewatuhumu Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Pauline Gekul na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mj . . .
WIZARA ya afya nchini Uganda imesema raia wa Uganda 46 hufariki kila siku kutokana na ugonjwa wa Ukimwi. Kufuatia tangazo hilo, bunge limei . . .
Wawakilishi wa makundi ya waasi 53 yanayopigana mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanahudhuria mazungumzo ya amani yanayoendele . . .
Hayo yamebainishwa hii leo Desemba Mosi, 2022, jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Ramadhani Amasi."Baraza la Mitih . . .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispa . . .
Leo Disemba mosi ni maadhimisho ya siku ya kupambana na UKIMWI Duniani. Shirika la Afya Duniani, WHO pamoja na ofisi ya shirika hilo katika . . .
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amesema tayari Watu wawili akiwemo Dereva na Utingo wa Basi la Shule ya Starlight Pre and Primary . . .
KUTOKANA na Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linalofanyika Qatar kuanza karibia majira ya baridi, msimu huu umekuwa wa kitofauti ambapo ligi m . . .
Wanasiasa wa upinzani nchini Uganda na makundi ya kutetea haki za kibinadamu wanataka maafisa wa usalama kumuachilia huru mwanasiasa wa upin . . .
Shirika linalochunguza haki za binadamu nchini Iran limesema watu 488 wameuawa na maafisa wa usalama katika kukandamiza maandamano yaliyozuk . . .
Hatimaye mastaa Kanye West (YE) na Kim Kardashian mchakato wao wa Talaka umekamilika Jumatatu hii, wameripotiwa na TMZ kufikia maridhiano ya . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameungana na vijana wa mkoa wa Lindi kufanya usafi maeneo mbalimbali ya . . .
Asilimia 95 ya wakimbizi na waomba hifadhi wa nchi ya Burundi wanohifadhiwa katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kasulu mkoani Kigoma, . . .
UFARANSA tayari wamefuzu kwa hatua ya 16-Bora, lakini leo Jumatano watakutana na Tunisia ambao ushindi utafufua matumaini yao ya kutinga kat . . .
Precious gift ni album mpya na ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa afro beat na hiphopkutoka nchini nigeria ambaye anafahamika zaidi kw . . .
Mahakama ya hakimu mkazi Njombe imewahukumia kutumikia kifungo cha miaka 10 gerezani Focus lutengano na Aizack Lutengano baada ya kuwakuta n . . .
Brazil iliungana na Ufaransa katika hatua ya mwondoano kwenye Kombe la Dunia siku ya Jumatatu, Novemba 28, baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya . . .
Mawaziri wa serikali ya Rais William Ruto wanaonekana kukosa mwelekeo kuhusu masuala kadhaa na kuishia kujibizana kwenye umma.Kwa sasa suala . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono waweke . . .
MILA na desturi na ukosefu wa elimu vimetajwa kuwa sababu ya kuwepo kwavitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii kwa watoto ikiwa ni pamo . . .
Indonesia imeanza kutoa chanjo dhidi ya polio katika mikoa yenye watu wenye sera za kihafidhina, baada ya watu wanne kugunduliwa kuambukizwa . . .
Polisi nchini Somalia imesema operesheni dhidi ya wanamgambo wa al-Shabaab waliokuwa wameingia katika hoteli ya mjini Mogadishu imemalizika . . .
Watu wanne wakiwemo viongozi wa Kijiji cha Shishani, Kata ya Shishani, Magu mkoani Mwanza, wanashikiliwa na polisi wilayani humo kwa tuhuma . . .
Wanasheria nchini Chad wameapa kususia kazi leo, wakati itakapoanza kesi ya halaiki inayohusisha watu zaidi ya 400 waliokamatwa katika maand . . .
Leo jumanne ni siku ya kimataifa ya umja wa mataifa ya mshikamano na watu wa Palestina.Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres alis . . .
Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su amefunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono kitendo alichofanya mwaka 2017. Mwendesha mashtaka wa K . . .
Waumini wa kanisa la SDA jijini Johannesburg walipoteza vitu vya thamani ikiwemo pesa taslimu wakati wa ibada ya kanisaniRipoti zinaonyesha . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linamshikilia Ezekia Luhweshe (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini, wilayani Chunya, mkoani Mbeya kwa tuhuma za . . .
Shirikisho la vyama vya kandanda duniani FIFA litachunguza hatua ya timu ya Ujerumani ya kukiuka taratibu za kuitisha mkutano na waandishi h . . .
China imelegeza taratibu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kwenye baadhi ya maeneo lakini imesisitiza kwamba itasonga mbele na se . . .
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wamemchagua Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) kuwa mwenyekiti mpya wa umoja huo. Kawaida ambaye . . .