Basi la kampuni ya Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Arusha limeteketea kwa moto eneo la kwa Makocho majira ya saa nn . . .
Uingereza Jumapili imesema kwamba itatuma wanajeshi 1,200 kuchukua nafasi ya madereva wa magari ya kubeba wagonjwa pamoja na maafisa w . . .
Mmiliki wa Twitter Elon Musk anawaomba watumiaji wa mtandao huo wa kijamii kupiga kura kuhusu mustakabali wake kama afisa mkuu mtendaji wake . . .
Karibu watu 19 wamekufa baada ya lori la mafuta kuanguka na kushika moto nchini Afghnaistan huku wengine 30 wakijeruhiwa vibaya, taarifa hii . . .
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amefichua kwa mara ya kwanza kuwa alisaini barua ya kustaafu karibu muongo mmoja uliopita, . . .
Watu zaidi ya alfu moja nchini Liberia walishiriki katika maandamano kupinga ugumu wa maisha. Watu hao pia wanapinga rais wao George Weah k . . .
Drake Ameweka Dola Milion 1 Sawa La Bilion 2.33 Za Kitanzania Kwa Argentina Ishinde Leo Kwenye Fainal Za Kombe La Dunia. Ila Kuna Hofu Kwa M . . .
Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya mchezo wa fainali . . .
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutok . . .
LIYEKUWA mshambuliaji wa Singida Big Stars, Peterson Da Cruz ‘Peu’ ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Clube Nautico Marcilio Dias inay . . .
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA John Mrema amesema Bunge la Wananchi limeundwa na wanachama wa chama hicho waliogombea ubunge mwaka 202 . . .
Dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu, Daraja la Kwanza, Daraja la Pili na Ligi ya Wanawake limefunguliwa Desemba 15, 2022 na litafungwa Janu . . .
Elon Musk ametangaza kuwa anamshtaki mmiliki wa akaunti ya Twitter inayofuatilia ndege yake ya kibinafsi. Musk alisema vitendo hivyo vilimwe . . .
Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kinafanya mkutano wake mkuu leo ambao unatarijiwa kumchagua kwa mara nyingine rais Cyril Ramaphosa kuw . . .
Oliver Meshaki (19), mkazi wa Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzika mtoto wa . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, amezindua josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Irkuj . . .
Mahakama ya Sheria katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria, imemhukumu kifo mhubiri mashuhuri wa Kiislamu kwa kumnyonga, baada ya kumkut . . .
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa hapa.Mushy . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupot . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 14, 2022. Wa pili . . .
Mivutano ya muda mrefu kati ya wakopeshaji wakubwa wa kimataifa na China ilidhihirika katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Anhui nchin . . .
Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupot . . .
Polisi wako macho baada ya kupokea ripoti za ujasusi zinazobainisha kwamba kundi la kigaidi la al-Shabaab, linapanga misururu ya mashambuliz . . .
Shirika la ndege la Morocco limesema linafuta safari zote lililokuwa limepanga kwa leo kuwasafirisha mashabiki kwenda Doha kuhudhuria mechi . . .
Mwili wa Lemekani Nyirenda, ambaye alikuwa anasomea uhandisi kuhusu nyuklia, nchini Russia kabla ya kujiunga na jeshi, umefikishwa nyumbani . . .
Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa ba . . .
Makamu Rais wa Bunge la Ulaya, Mgiriki Eva Kaili, ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya tuhuma za kupokea rushwa. Bunge lilipiga kur . . .
Lionel Messi amempiku nyota wa soka wa Argentina, Gabriel Batistuta kama mfungaji bora wa taifa hilo katika Kombe la Dunia baada ya kuifungi . . .
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameibua tuhuma dhidi ya viongozi wa Serikali akiwatuhumu kuuwinda uhai wake ikiwamo kumvamia nyum . . .
Afisa wa ujasusi wa Libya anayeshutumiwa kutengeneza bomu lililotumika kuiangusha ndege ya Pan Am na kuua watu 259, waliokuwa ndani ya ndege . . .
RAIS William Ruto leo Jumanne atakutana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, nchini Amerika wanapohudhuria Kongamano l . . .
Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini pamoja na bendi yake kuelekea nchini Ind . . .
Iran imesema imemnyonga mtuhumiwa mwengine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu wa nchi hi . . .
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya kilimo katika mkutano wa AGRA uliofanyika kwenye ofisi za taas . . .
Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es . . .
MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini . . .
Bunge la Korea Kusini limepitisha hoja ya kutaka kufutwa kazi kwa waziri wa mambo ya ndani kufuatia ajali kubwa ya Itaewon.Lee Sang-min amek . . .