Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitu . . .
Zaidi ya wahamiaji 30 Jumanne wamehukumiwa nchini Morocco kutokana na kujaribu kuruka uzio wa mpakani na eneo la Uhispania la Melilla mw . . .
Maafisa wa jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia, Jumanne walisitisha matangazo ya shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), wa . . .
Afisi ya Umoja wa mataifa ya kupambana na ugaidi inasema kuna umuhimu wa kuweka msingi imara wa ushirikiano kati ya mashirika ya serikal . . .
Wafanyakazi nchini Australia washauriwa kufanyia kazi nyumbani kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Uviko-19 kulikumba . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi, Camillus Wambura na kumteua kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la P . . .
Mkuu wa jeshi la Israel Aviv Kohavi anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Morocco ambapo anatarajiwa kufanya mikutano na maafisa . . .
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limesema limeipa Tanzania mkopo wa dola bilioni 1.046 utakaotolewa katika kipindi cha miezi 40, kwa leng . . .
Rais Recep Tayyip Erdogan amewasili nchini Iran kuungana na mwenyeji wake, Rais Ibrahim Raisi, na mwenzao wa Urusi, Vladimir Putin, kwa . . .
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tunisia Rached Ghabbouchi Jumanne amepangiwa kuhojiwa na idara ya kupambana na ugaidi nchini . . .
Maelfu ya watu kutoka kabila la Hausa nchini Sudan wameweka vizuizi barabarani na kuzichoma moto ofisi za serikali, baada ya makabiliano . . .
Siku moja baada ya kuwatimua mkuu wa idara ya ujasusi na mwendeshamashitaka mkuu wa serikali, Rais wa Ukraine Volodymir Zelenskiy amewaf . . .
Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amesema kwamba Marekani na Korea kusini wanahitaji kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara. . . .
Bunge la India limetoa heshima kwa hayati Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki wakati wa kikao maalum kinachojulikana kama Monsoon Session.Akiz . . .
Mchezaji mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza ku . . .
Mataifa ya Ulaya Magharibi yanakumbwa na joto kubwa, ambalo sasa linaelezwa kuelekea katika mataifa ya Kaskazini . . .
Tanzania ni kati ya nchi tano Afrika na ni nchi pekee Afrika Mashariki inayozalisha mionzi dawa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri na Mbunge . . .
VIJANA waliandama mjini Kisii jana dhidi ya maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) mjini Kisii. Vijana hao walikabiliana na maaf . . .
Jennifer Lopez almaarufu JLO; ni staa wa filamu na muziki wa Hollywood nchini Marekani ambaye yeye na mchumba wake, Ben Affleck wamefung . . .
Kaimu rais wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe ametangaza hali ya hatari nchini humo leo wakati ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro wa . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya congo amesema Jumapili kwamba idara ya kijasusi ya nchi hiyo , . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemfukuza kazi mwendesha mashtaka mkuu nchini humo Iryna Venediktova pamoja na m . . .
Kiongozi wa jeshi la Israeli anatarajiwa kuanza zaira ya kikazi ya siku tatu nchini Morocco, hii ikiwa ni ziara ya . . .
Serikali ya Ufaransa imelazimika kuwaondoa raia zaidi ya 16, 000 katika makaazi yao kusini Magharibi mwa taifa hilo, . . .
Matajiri wa Chamazi raundi hii hawataki utani kabisa na bosi mkubwa, Yusuf Bakhresa ameingilia usajili na hadi sasa ameshusha wageni watan . . .
Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wana . . .
RAIS Uhuru Kenyatta ametumia Sh1.5 trilioni kwa ujenzi wa barabara katika kipindi cha zaidi ya miaka tisa ya utawala wale, na ataondoka . . .
"Afghanistan ya leo ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia kuliko ilivyokuwa mwaka 2001." Hili ni onyo kali kutoka kwa mtoto wa kio . . .
Wimbi la joto kali la msimu wa kiangazi ambalo limesababisha matukio makubwa ya moto kote kusini magharibi mwa Ulaya linaendelea kusambaa. . . .
Urusi jana ilianzisha tena mashambulizi yake katika eneo la Donbass Mashariki mwa Ukraine baada ya mapumziko ya muda mfupi ili kupanga ten . . .
Chama tawala katika Jamhuri ya Congo kimeripoti kushinda katika uchaguzi wa bunge wa wiki iliyopita.Matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye . . .
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez hakuweza kusafiri na kikosi chake kuanza ziara ya kujiandaa na msimu mpya nchini Marekani Jumamosi.The B . . .
Msanii wa muziki wa Afrobeats wa Nigeria , Tiwa Savage, amepewa shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo kikuu alichosomea awalicha Ke . . .
JESHI la Polisi Wilaya Kipolisi ya Kariakoo, jijini Dar jana Jumamosi limefanya jogging na wananchi wa eneo hilo kumalizia na bonge la tiz . . .
Taarifa mbaya kutoka Ziwa Victoria, zinamhusu mvuvi aliyejulikana kwa jina la Salehe Haruna (42) anatajwa kuzama maji katika eneo la Sweya . . .
Kiungo mshambuliaji Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla ya . . .