logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

KANISA LAFANYA TAMBIKO BAADA YA MWANAUME KUFA MADHABAHUNI.

Tambiko hilo litahusisha siku tatu za maombi na kufunga, kumchinja mbuzi mwenye rangi moja, kuliweka kanisa wakfu kwa Kristo kupitia maji . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Ethiopia Yasema Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Na TPLF Bila Masharti.

Katika  hatua isiyo ya kawaida, afisa mmoja wa ngazi ya juu kwenye serikali ya Ethiopia amesema Alhamisi kwamba wako tayari kw . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Kinana Akerwa Na Trafiki Kusimamisha Magari Kila Saa.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Komredi Abdulrahman Kinana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi N . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Unajua sababu ya dawa ya Mkongo kupigwa marufuku Tanzania??

Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kw . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Kambi ya Simba mambo ni moto.

Kambi ya Simba inaendelea kunoga, huku kocha Zoran Maki akisaliwa na wiki kama moja tu kukamilisha programu zake kabla ya kuja kuwasha m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Bei za mahitaji ya kila siku nchini Ujerumani zitarajiwa kupungua

Bei za mahitaji ya kila siku nchini Ujerumani zinatarajiwa kupungua katika nusu ya pili ya mwaka baada ya mfumuko wa bei wa miezi kadhaa. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Uchumi wa Marekani wanywea

Uchumi wa Marekani umenywea tena katika robo ya pili ya mwaka, ishara ambayo katika nchi nyingi duniani inazingatiwa kuwa mdororo wa uchum . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Mhasibu Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Mhasibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini, Christina Kaale kulipa faini ya Sh8 milioni au . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

CHADEMA WAITWA KWENYE KESI YA KINA MDEE.

Mahakama Kuu ya Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufika mahakamani kesho katika kesi ya Halima Mdee na wenz . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Sabaya atinga mahakamani.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefu . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

IEBC Kukutana na Wagombea Urais Kuhusu Wasiwasi za Fomu 34A, 34B.

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaalika wagombeaji urais kwa mkutano wa mashauriano huku kukiwa na wasiwasi kuhusu imani dhidi ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Waziri Wa Zamani Wa Msumbiji Afungwa Jela Miaka 16

Waziri wa zamani nchini Msumbiji amefungwa jela miaka 16 kwa kuhusika na vitendo vya ufisadi. Maria Helena Taipo, mwenye umri . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Biden, na Xi Jingping wakubaliana kuandaa mkutanao wa ana kwa ana

Rais wa Marekani, Joe Biden na mwenzake wa China, Xi Jingping, wamekubaliana kuandaa mkutano wao wa kwanza wa ana kw . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Waandamanaji walivamia bunge Iraq

Mamia ya wafuasi wa kiongozi wa kidini wa Iraq Moqtada al-Sadr walilivamia bunge Jumatano ambapo walionekana wakiimba na kucheza baada y . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Lavrov apinga Urusi kubebeshwa dhima ya upungufu wa chakula duniani

Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amepinga vikali madai kuwa nchi yake ndiyo inawajibika kwa kupanda kwa bei za vyakula dun . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Ukraine yaanza tena uuzaji wa nafaka kupitia Bahari Nyeusi

Ukraine imeanza tena operesheni za uuzaji nafaka katika miji kadhaa muhimu ya pwani. Bandari za Odesa, Chernomorsk na Piv-dennyi zinatar . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Simba tunaanza upyaa

Kocha mkuu wa Simba, Zoran Maki amewaambia wachezaji kuwa atakayefanya vizuri ndiye atakayepata nafasi ya kucheza bila kujali ukubwa wa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Vita dhidi ya maambukizi ya ukimwi

Vita dhidi ya maambukizi ya ukimwi duniani vimeripotiwa kuathirika pakubwa kutokana na uwepo wa janaga la uviko 19 . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

42 wafa baada ya kunywa pombe yenye sumu

Polisi nchini India imedhibitisha vifo vya watu 42 wakati wengine zaidi ya 100 wakiwa wamelazwa hosipitalini maghari . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Almasi kubwa nadra kupatikana yagunduliwa Angola

Wachimba madini wa kaskazini mashariki mwa Angola wamegundua jiwe la almasi adimu, rangi ya  waridi wanaloamini kuwa ni kubwa zaidi . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTOLEWA FIGO NA MWAJIRI WAKE KWA LAZIMA.

 Mwanamke Mkenya mwenye umri wa miaka 33, ambaye alipoteza maisha yake wiki tatu baada ya kuwasili Dammam nchini Saudi Arabia, anaamini . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Hongo kwa wapiga kura yasababisha uhaba wa noti ndogo ndogo kwenye benki za kenya

Benki za Kenya zinakabiliwa na uhaba wa noti ndogo ndogo kwa sababu wanasiasa wanawapa hongo raia kujaribu kupata kura zao kwenye uchagu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tis . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Lufthansa yafuta karibu safari zote za ndege sababu ya mgomo

Shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa limetangaza kufuta zaidi ya safari za ndege 1,000 katika viwanja vya Frankfurt na Munich katika . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

IMF "Uchumi wa dunia unajikokota".

Shirika la kimataifa la fedha IMF, limesema Jumanne kwamba uchumi wa dunia uko katika kasi ya pole pole, na wala hakuna dalili za hali h . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Macron aomba wanahistoria kuchunguza maovu yaliyotendwa enzi ya ukoloni nchini Cameroon

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumanne amesema nyaraka za kumbukumbu kuhusu utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini Cameroon zitawekw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi kuzuru Taiwan

China imeionya Marekani kuhusu mpango wa spika wa bunge nchini humo Nancy Pelosi wa kutaka kuzuru Taiwan. Iwapo ziar . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Watu 15 wameuawa katika maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC

Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Radi Yaua Watu 20 kwa Muda wa Masaa 24

Nchini  India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Sakata Jipya la Ronaldo na Manchester United

Sakata la mshambuliaji wa Manchester United ya nchini Uingereza Cristiano Ronaldo limechukua sura mpya mara baada ya mazungumzo yaliyofa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Asilimia 67.2 wakazi Dar wana uzito kupita kiasi

Asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe wa mara kwa mara, utafiti wa h . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Wakenya wakosa kulipa mikopo ya Sh483 bilioni

Gharama ya maisha inapozidi kulemea Wakenya, imebainika kuwa wengi wamekosa kulipa mikopo yao huku kiasi cha madeni wanayodaiwa kikigong . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Waziri Aweso aagiza mkandarasi kufika Kigoma ndani ya saa 24

Waziri wa Maji Mh. Jumaa H. Aweso (Mb) akielekea Buhigwe kwenye ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maji amesimama jimbo la Kigoma Kaskazini na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Lavrov kukutana na Rais Yoweri Museveni

Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov amewasili nchini Uganda katika ziara yake ya tatu katika nchi za Afrika, msemaji wa wiz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Raia wa Tunisia washiriki kura ya maoni juu ya katiba mpya

Raia wa Tunisia Jumatatu wameshiriki kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya iliyohamasishwa na Rais Kais Saied, ambayo ilikosolewa kwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Wavenezuela" Chebukati abaki kimya".

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumatatu iliendelea kubaki kimya kwa siku ya pili mfululizo, baada ya Idara ya Kuchunguza Uhalifu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

KUTONGOZANA NI HARAMU KUBWA.

KATIKA kijiji cha Milalulu, Kaunti ya Tana River Nchini Kenya, Vijana wa kike na kiume hulazimishwa kuoana ishara ya kutongozana inapotokea. . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

IGP Wambura aanza kwa kupokea kilio

Wakati famili tano zilizopotelewa na watoto wao maeneo ya Kariakoo katika mazingira ya kutatanisha, wametoka tena hadharani safari hii . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

BoT yachunguza sintofahamu ya sarafu ya Sh 500.

Kuna sintofahamu imeibuka kuhusu sarafu ya Sh500 baada ya kuonekana baadhi zenye alama tofauti kwenye mzunguko ambao unaoneshakuwa sarafu hi . . .

Kurasa 206 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category