logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AFYA
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Saratani Yaua Watu 25,000 kwa Mwaka

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa saratani umeua watu 25,000 mwaka 2020 na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Vifo Vya Ebola Vyafika 21 Uganda

Idadi ya watu waliofari dunia kutokana na ugonjwa wa ebola nchini Ugenda imefikia watu 21 huku zaidi ya 30 wakiwa wameambukuzwa.Ripoti iliyo . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Tanzania Kuuza Tumbaku Japan Sasa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutum . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Sagini Aagiza Polisi Kuwasaka Watuhumiwa Wa Mauaji

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mara, kuhakikisha wanawasaka watuhumiwa waliohusika . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Tren Ya SGR Yaanza Safari Kutoka Dodoma Hadi Dar es salaam

Kamati za Bunge za Miundombinu na Hesabu za Serikali (PAC) wameanza safari ya kutoka Dodoma kwenda Morogoro kwa njia ya treni wakipita reli . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Muungano wa vyama vya mrengo wa kulia watarajiwa kushinda katika uchaguzi nchini Italia

Muungano wa vyama vinavyoegemea mrengo wa kulia unaoongozwa na chama cha Giorgia Meloni cha Brothers of Italy nchini Italia, unatarajiwa kus . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Padri Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto 10

Vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa watoto vinazidi kuitikisa nchi na sasa padri mmoja wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi anashikiliwa n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

hizi ni nchi zisizo na furaha duniani

Ripoti ya Dunia ya Furaha imetumia uchanganuzi wa takwimu kubaini nchi zenye furaha zaidi duniani. Katika sasisho lake la 2021, ripoti ilihi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Ruto Aita Wahubiri Ikulu Kwa Maombi

RAIS William Ruto jana Jumapili aliruhusu viongozi wa makanisa kufanya maombi spesheli ya kutakasa ikulu ya Nairobi huku akijiandaa kuanza k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

James Mbatia Adai Mkutano Uliomfukuza Umeingila Uhuru wa Mahakama

 Ikiwa ni siku moja imepita tangu mkutano Mkuu wa Dharura wa Chama Cha NCCR -Mageuzi kumfuta uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi Angola

Maelfu ya raia wa Angola waliandamana Jumamosi kupinga kile walichosema kuwa uchaguzi uliokuwa na dosari wa mwezi uliopita ambao ulikirejesh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Ndege yapitiliza njia na kutua ziwani

Ndege ya Shirika la Ndege la West Atlantic ilipitiliza njia jana wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa Ndege wa Montpellier nchini Ufarans . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Korea Kaskazini yafyatua kombora

Korea Kaskazini leo imefyetua kombora la masafa marefu kuelekea baharini mashariki mwa Pwani yake . Haya ni kwa mujibu wa viongozi wakuu wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Waziri mkuu wa muda wa Mali aishtumu Ufaransa

Waziri mkuu wa mpito nchini Mali kanali Abdoulaye Maiga, ameishtumu Ufaransa kwa kulitelekeza taifa hilo. Wakati wa hotuba yake kwenye Baraz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Spika wa Zamani wa unge la Gabon Akamatwa na Dola Milioni 2

 kiongozi wa upinzani na Spika wa zamani Guy Nzoube Ndama wa Bunge la Gabon, amekamatwa katika mji mkuu wa Libreville akiwa na takriban . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Zanzibar yakataza watu wa jinsia moja kuvishana pete kwenye ufukwe

Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsia moja (Wanaume) kuvishan . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Chege Chigunda " Kulipwa Milioni 25 na Rayvanny"

Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Ufafanuzi wa maneno TRAB na TRAT yaliyotajwa Bungeni Maana Yake Ndio Hii

Mwanasheria Fulgence Massawe ambaye ni Mwanasheria aa LHRC akitolea ufafanuzi maneno mawili yaliyoyolewa jana Bungeni na Waziri wa Fedha na . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Simba Mushusha Mafundi

 Mgunda amesaini mkataba wa mwaka mmoja Simba na klabu hiyo iko kwenye mchakato wa kuajiri makocha watatu kwa mpigo, Makocha hao n . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Wachezaji 15 wa kike wajiuzulu

 wachezaji 15 wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania wamejiuzulu wiki chache baada ya minon'gono ya kuwepo kwa mgawanyiko kwenye kam . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa mauaji

Mamlaka za Cameroon zimesema Alhamisi kwamba zimezuilia wanajeshi watatu kutokana na kupiga risasi na kuuwa wanawake wawili wasiokuwa na sil . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Wakazi Apata Ajali Mbaya ya Gari Nchini Marekani

Mwanamuziki wa Hip Hop Nchini Wakazi ametangaza kunusurika Kifo kwenye ajali mbaya ya gari. rapper huyo kwa sasa yupo zake nchini Marekani, . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Iran Yazuia WhatsApp Na Instagram

Iran imezuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Instagram na WhatsApp huku kukiwa na maandamano ya kupinga kifo cha mwanamke aliyekuwa ch . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Wakenya Washtakiwa Marekani Kwa Utapeli

Raia wa Somalia wenye uhusiano na Kenya ni miongoni mwa washukiwa 47 walioshtakiwa nchini Marekani kwa utapeli.Raia hao wanaoishi Marekani, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Chanzo cha kifo cha Mchezaji Emiliano Sala Chafamika

rubani wa ndege iliyokuwa imembeba mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala aliwaambia rafiki zake kuwa ndege ile ilikuwa na matatizo kabla haij . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Magonjwa yasiyoambukiza husababisha asilimia 74 ya vifo duniani

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na matatizo ya moyo yamechangia asilimia 74 ya vifo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Tanzania na Msumbiji Zatia Saini Mikataba ya Ulinzi na Usalama

Msumbiji na Tanzania Septemba 21, 2022 zimesaini mikataba miwili ya ushirikiano mjini Maputo inayolenga kupambana na ugaidi na uhalifu.Msumb . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Kazakhastan yaitisha uchaguzi wa mapema wa Rais

Kazakhstan imetangaza leo kuwa itafanya uchaguzi wa mapema wa rais mnamo Novemba 20 unaolenga kuufanyia ilichokiita "mageuzi makubwa" mfumo . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Rapa cardi B " harusi yangu ni sasa"

Rapa Cardi B kutoka Marekani, ameweka wazi kuwa ni muda wa harusi yake sasa na mumewe rapa Kiari Kendrell Cephus maarufu kama Offset, baada . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

TANZANIA YAANZA KUDHIBITI EBOLA MIPAKANI

Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Dawati la Jinsia Nchini Lajipanga Kutoa Elimu ya Afya ya Akili

MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanya kazi Dawati la . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Balozi Rupia kuzikwa Ijumaa, mwili wake kuwasili leo

 Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Paul Rupia anatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii ya Septemba 23, 2022 katika makaburi ya Kinond . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Mke akatwa titi, mkono na mume wake Tarime

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Tarime/Rorya, linamtafuta Werema Ibaso mkazi wa kijiji cha Isango wilayani Rorya mkoani Mara kwa tuhuma za k . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Amuua Kaka yake Kisa Nyama ya Utumbo ya Shilingi 1000

Polisi huko Murang'a nchini Kenya wanamsaka mwanaume wa miaka 30 anayeshukiwa kumuua kakake mkubwa kufuatia mzozo wa nyama ya utumbo ya KSh . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Wanawake Waongoza Tatizo la Afya ya Akili

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni (WHO), limesema takwimu zinaonesha kuwa, takriban Mwanamke mmoja kati ya watano atapata tati . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika Spotify

Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika ambao wana idadi kubwa ya wasikilizaji wa mwezi kwenye mtandao wa Spotify (Africa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Ethiopia yaikataa ripoti ya Umoja wa Mataifa

Ethiopia imeikataa ripoti ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanaoituhumu kwa uwezekano wa kuendelea kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya ubinada . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Biden kuhutubia mkutano mkuu wa 77 wa UN Jumatano

Rais wa Marekani Joe Biden amepangwa kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York  Jumatano wakati akitarajia kuangazia juhu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asema Dunia iko Hatarini Kupooza Wakati Mkutano wa Kilele Ukiendelea

KATIKA tathimini ya kutisha, mkuu wa Umoja wa Mataifa amewaonya viongozi wa dunia kwamba mataifa yamekwama katika hali mbaya ya utendaji kaz . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

UNYANYASAJI WA KINGONO WAMUONDOA MKURUGEZI CHELSEA

Chelsea imemfuta kazi Mkurugenzi wa Biashara, Damian Willoughby mwezi mmoja baada ya kuajiriwa kutumikia nafasi hiyo. Willoughby alibainika . . .

Kurasa 197 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category