Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez leo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kama Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo kuanzia Janu . . .
Katika hali isiyotarajiwa, mwanamke mmoja amejifungua mtoto katika ndege ya shirika la ndege la Uholanzi KLM iliyokuwa ikitokea Ecuador kuel . . .
Chanjo ya virusi vya Ebola aina ya Sudan ni moja kati ya chanjo tatu zilizopendekezwa kufanyiwa majaribio na jopo huru la wataalamu wa W . . .
Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Eva Kaili amevuliwa madaraka yake kufuatia kuhusishwa kwake na uchunguzi wa ufisadi na utakatishaji fedha . . .
Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa amewataja watu wanane wenye bahati ya mtende atakao kwenda nao kwenye safari ya kwenda mwezini kwa kutumia . . .
Takriban watu 10 wengi wao wakiwa wa kujitolea kuvisaidia vikosi vya serikali wameuwawa kwenye mashambulizi mapya kaskazini mwa Burkina Faso . . .
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Alhamisi wameonya kuhusu janga la afya kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya kipindupi . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesogeza mbele uchaguzi wa viongozi wa Sektetarieti ya Halmshauri Kuu ya chama hicho hadi itakapotangazwa tena. . . .
Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge nchini Peru, Pedro Castillo amewekwa chini ya kizuizi cha muda siku moja baada ya kuvuliwa wadhifa wa . . .
Polisi wa Uhispania wamewatia mbaroni abiria 14 akiwemo mama mjamzito baada ya kusababisha ndege ya kibiashara kutua kwa dharura ikiripotiwa . . .
Urusi leo imemuachia huru mchezaji nyota wa mpira wa kikapu kwa wanawake raia wa Marekani Brittney Griner.Maafisa wa Urusi na Marekani wames . . .
Tarehe 2,disemba 2022 ilikua ni siku rasmi ambayo umoja wa falme za kiarabu wamesherehekea siku ya taifa kwa mara ya 51 na wanaalika watu wo . . .
Mahakama ya Msumbiji imemhukumu mwana wake aliyekuwa rais wa taifa hilo Armando Guebuza kifungo cha miaka 12 jela kwa kuhusika katika kashfa . . .
Uongozi wa Konde Music Worldwide ya manamuziki Harmonize umeomba radhi kutokana na maudhui ya wimbo uliotolewa hivi karibuni na msanii huyo . . .
Faith Wandia mwenye umri wa miaka 24 amekuja na unga mbadala wa kupikia unaotokana nyasi. Mwanafunzi huyo ana Shahada ya Uzamili ya Utawala . . .
Inadaiwa kuwa Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo alitaka kupakia mabegi yake na kuondoka nchini Qatar baada ya kukasirishwa kutokana na kutopa . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Sah . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatano amesema kwamba huenda vita vya Ukraine vikachukua muda mrefu, lakini haoni haja ya kuongeza wanajeshi . . .
Bunge la Peru limepiga kura ya kumuondoa madarakani Rais Pedro Castillo na nafasi yake kuiziba na makamo wake, Dina Boluarte muda mfupi baad . . .
Haji Manara amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara ambapo uc . . .
Tume Huru ya Mienendo ya Ufisadi na Makosa Mengine Yanayohusiana, (ICPC) imemkamata na kumweka kizuizini Msanii kutoka Nchini Nigeria @iamba . . .
Makamu wa rais wa Argentina Christina Fernandez de Kirchner, Jumanne amepatikana na hatia ya ubadhirifu wa dola bilioni moja za kimarekani, . . .
Mtoto Rais wa Uganda Yoweri Museveni - Jenerali Muhoozi Kainerugaba - sasa anasema kuwa hana haja yoyote ya kuwa rais wa nchini hiyo. L . . .
Jaji mmoja nchini Marekani ameitupilia mbali kesi dhidi ya Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuhusiana na mauaji ya mwaka wa . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa mataifa yanayoshiriki kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa la Bayoanuai - . . .
KLABU ya Al-Nassr iliyoko Saudi Arabia imeweka mezani ofa nono ili kujitwalia huduma za nyota Cristiano Ronaldo baada ya fainali za Kombe la . . .
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema inafanya mapitio ya sheria ya Elimu ili kuhakikisha adhabu kali zinatolewa kwa wanaoshiriki k . . .
Uongozi wa Klabu ya Ruvu Shooting umemtangaza Kocha Mkuu Mbwana Makataa ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa sasa. Ni mkataba wa m . . .
Pakistan imesema Jumatatu kwamba Russia imeamua kuiuzia mafuta ghafi, petroli pamoja na dizeli kwa bei nafuu. Naibu waziri wa mafuta . . .
Shehena ya kwanza ya nafaka, ikiwa sehemu ya jitihada ya binafsi ya Ukraine kwa kusambaza kwa mataifa yenye uhataji imewasili nchini nchini . . .
Kamati kuu ya chama tawala ANC imekutana kwa majadiliano yatakayoamua kuhusu hatma ya rais Cyril Ramaphosa anayeandamwa kwa tuhuma za rushwa . . .
Baadhi ya madaktari nchini Uganda wakiongozwa na rais wa Chama cha Madaktari nchini humo, Dkt. Odongo Oledo wamepiga magoti mbele ya Rais Yo . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima ametoa rai kwa benki ya NMB kuendelea kuchangia maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi nchini kupitia h . . .
Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu (61) amekutwa amefariki dunia katika mazi . . .
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA) kuhakikisha linatumia Ardh . . .
Waumini wa kanisa la EAGT jimbo la Mwanza kusini wamekumbwa na taharuki baada ya kukuta kanisa lao limebadilishwa jina bila wao kujua hali i . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema hatma yake itatokana na uamuzi wa Halmashari Kuu ya Chama tawala (NEC) kutokana na tuhuma anaz . . .
Omar Bin Laden mtoto wa Osama Bin Laden ametoa taarifa za kushangaza kumhusu baba yake.Omar Bin Laden amezungumza na gazeti la The Sun, na k . . .
Kufuatia serikali na mashirika mbalimbali kuendelea kupiga vita suala la ukeketaji mkoani Mara, jamii ya Wakurya wilayani Tarime imebuni mbi . . .
Kijana mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Kafukola wilayani Kalambo, anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Rukwa kwa kosa la kumuua bibi yak . . .