logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Korea kaskazini yafyatua makombora mawili

Korea kaskazini imefyatua makombora mawili kutoka kwenye nyambizi katika Bahari ya Mashariki. Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Watu 16 wauwawa katika shambulizi Nigeria

Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu 16 wakati wa shambulizi kaskazini magharibi mwa Nigeria, serikali ilisema Jumapili.Washambuliaji h . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Polisi yawataka Waendesha Baiskeli kutii sheria usalama barabarani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limewataka waendesha baiskeli mkoani humo kutii sheria za usalama barabarani bila kushurutishwa.Hayo yamesem . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Wabotswana waipongeza Tanzania mifumo imara ya manunuzi

Wataalamu kutoka Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma nchini Botswana, wameipongeza Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya ununuzi na utatuaji w . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 12, 2023

Wanne mbaroni wakijifanya wachezaji wa Coastal

Kamanda wa Uhamiaji Mkoa wa Tanga, Kagimbo Bakari amesema Jeshi hili limewakamata wahamiaji haramu wanne raia wa Cameroon, ambao wamedai wap . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 12, 2023

Mwanamuziki Costa Titch Afariki Akitumbuiza Jukwaani

Afrika Kusini inaomboleza kifo kingine cha mwanamuziki maarufu. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, rapa Costa Tsobanoglou maarufu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Adaiwa kumuua mkewe kisha kumfikia kwenye shimo lililosakafiwa na zege

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema  tukio hilo la mauaji liligundulika  m . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Watanzania 8,500 wanahitaji huduma upandikizaji figo

Serikali nchini kupitia Wizara ya Afya, imesema tafiti zimebaini kuwa takribani Watanzania 5,800 mpaka 8,500 wanahitaji huduma za kusafisha . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

ELON MUSK HANA AMANI NA MTANDAO WA TWITTER

Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hute . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Albamu ya Marehemu AKA yagonga Mauzo ya Gold

Album ya marehemu AKA “Mass Country” ambayo iliachiwa February 24, 2023 imefikisha hadhi ya Gold kwenye soko la Album nchini Afrika Kusi . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Shilole atumia zaidi ya Tsh Mil. 90 kuurudisha mgahawa

Msanii wa muziki na Mjasiliamali, Shilole amefanikisha kuurudisha mgahawa mpya wa Shishi Food Mabatini, Kijitonyama jijini Dar Es Salaam baa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Mkataba wa usafirishaji wa nafaka kutoka Ukraine wakaribia kumalizika

Russia imesema Alhamisi kwamba mkataba wa kihistoria wa kuhakikisha usafirishaji salama wa nafaka kutoka bahari ya Black Sea nchini Ukraine . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Xi Jinping achaguliwa tena kuongoza muhula wa tatu

Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena kwa kauli moja kuwa rais wa Taifa hilo hi leo Ijumaa Machi 10, katika kura ya wabunge na ataongo . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Waziri Mkuu wa zamani akamatwa

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Muhyiddin Yassin amekamatwa na Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini humo, ikimtuhumu kwa mambo mbalimbali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 9, 2023

Vijana watakiwa kuvumbua fursa za ajira

Jeshi la Kujenga Taifa JKT limewataka vijana wanaohitimu mafunzo ya kijeshi, kuacha tabia ya kuilalamikia aerikali kwa kuacha kutoa ajira, b . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 9, 2023

CHONGOLO AWEKA HISTORIA NYINGINE CCM SIMANJIRO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amemaliza ziara yake wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambapo pamoja na kukagua uh . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 9, 2023

Makamu wa Rais azungumza na Mwenyekiti AL Faisal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 08 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 9, 2023

Spika wa bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelenskiy

Spika wa bunge la Marekani Kevin McCarthy anasema hana mpango wowote wa kuizuru Ukraine baada ya Rais Volodymyr Zelenskiy kumpa mwaliko.Haya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 9, 2023

Nabi atetea maamuzi ya kumtoa Aziz Ki

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi, ametetea maamuzi yake ya kumtoa Kiungo Mshambuliaji ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 8, 2023

"Nauona mkono wa Rais Samia" - Ado Shaibu

Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo amesema Ado Shaibu amesema kuwa anauona mkono wa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uhuru wa habari nc . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 8, 2023

Maambukizi Mapya ya Ukimwi Yanatokana na Mashoga

Baraza la Kitaifa la Kupambana na Magonjwa Sugu (NSDCC), limefichua kuwa asilimia 18.2 ya maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimbi yanatokana n . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

Mama atupa kichanga kisa ugumu wa maisha

Prisca Lameck mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

Young Africans yamlima barua Feisal Salum

Kwa mara nyingine tena Uongozi wa Young Africans umemwandikia Barua Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

Jaji mkuu wa Iran atoa onyo kali kwa wanawake wanaokiuka maadili ya mavazi nchini humo

Jaji mkuu wa Iran Gholamhossein Mohseni Ejei, amesema Jumatatu kwamba wanawake wanaokiuka madili ya kiislamu kwenye mavazi yao wataadhibiwa. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwep . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

9 wafariki ajalini Katavi, 30 wajeruhiwa

Watu tisa wamefariki na wengine 30 wamejeruhiwa kwa  ajali iliyotokea katika Mlima mkali wa Nkondwe, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 6, 2023

Kaya za wanufaika wa TASAF kulindwa

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kushirikiana na Viongozi wa Kata kuunda kamati za ulinzi, ili kulinda mal . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 6, 2023

Afariki akifanyiwa maombi na mchungaji

Mtoto Consolanta Charles mwenye umri wa miaka 16 katika Kitongoji cha Mkuyuni Kijiji cha Magamba Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 6, 2023

Mkataba wa kulinda maji ya kimataifa ya bahari wapitishwa New York

Kwa mara ya kwanza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa yamekubaliana kuhusu mkataba wa pamoja wa kulinda mazingira kwenye maji ya bahari y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 6, 2023

Trump aongoza kwa kura katika mkutano wa CPAC

Matukio mawili ya kushindana yameonyesha mgawanyiko wa waconservative wa Marekani kabla ya uchaguzi mkuu wa rais mwaka ujao.Wakati Donald Tr . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 5, 2023

Rais Wa Ufaransa Azungumza Na Kagame, Tshisekedi, Asifu “Makubaliano Ya Kusitisha Mapigano DRC Kuanzia”

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa nchini DRC, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika, amesema kuwa pande zote zinazozozana kati . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 5, 2023

Acheni kauli ya 'Maelekezo kutoka juu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wak . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 5, 2023

Daktari aua Watoto Wake Wawili Kabla ya Kujiua yeye Kisa Mapenzi

Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Anayesakwa kwa kumuua mkewe Moshi, amtumia ujumbe mama mkwe

Mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili ya mwanamke aliyekuwa akiishi naye kama mkewe Wilayani Moshi, amemtumia ujumbe mama mkwe akieleza mazingira . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Mkuu wa jeshi la mamluki la Russia Wagner atajwa kuwa mhalifu wa kivita.

Yev-geny Prig-ozhin mkuu wa jeshi la mamluki la Russia Wagner linalopigana nchini Ukraine kuwa ni  mhalifu wa kivita.Mwanasheria Mkuu M . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUMILIKI MELI

Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akizungumza na Wadau wa usafiri kutoka Taasisi za Kikanda za Usafirishaji Majini (ISCOS), . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Paula Kajala Ameolewa

Supastaa kajala frida ametangaza binti yake Paula ameolewa yaani paulah kajala kwa sasa ni mke wa mtu.Posti hiyo ya Kajala ambayo imewashang . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Messi awanunulia zawadi ya iPhone wachezaji wa Argentina

Lionel Messi ametumia pauni 175,000 kuwanunulia zawadi za simu 35 aina ya iPhone rangi ya dhahabu wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Arge . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Jamaa Anaswa na Maiti Kwenye Begi Lake Akidai Ni Mke Wake wa Kiroho

Polisi nchini Peru wamemkamata msafirishaji wa bidhaa baada ya kupatikana na maiti ya kale katika begi lake. Mwanamume huyo ambaye alik . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Muungano wa upinzani Tunisia kufanya maandamano licha ya kunyimwa kibali

Muungano wa upinzani wa National Salvation Front nchini Tunisia ulisema siku ya Alhamisi kwamba utafanya maandamano siku ya Jumapili licha y . . .

Kurasa 177 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category