logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

MWANAUME AJIKATA SEHEMU ZAKE ZA SIRI AKIWA USINGIZINI.

Mwanamume mmoja kutoka taifa la Ghana anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kujikata sehemu zake za siri kwa bahati mbaya akilala . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

IGP Wambura apewa maagizo haya na Makamu wa Rais Dkt. Mpango

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, amemuagiza IGP Camillius Wambura, kuangazia malalamiko yote yanayotolewa na wananchi kwa jeshi la polisi . . .

Masumbwi
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Twaha Kiduku "Nitapambana Kwa ajili ya Watanzania"

Bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ ameanza Kambi ya kujiandaa na Pambano la Kimataifa ambalo huenda likaunguruma Septemba 24, katika mkoa amba . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Mlipuko Mkubwa Watokea Ndani ya Msikiti Unaobeba Watu Wengi Afghanistan

Polosi mjini Kabul wamesema watu zaidi ya 21 wamefariki kutokana na mlipuko uliotokea ndani ya Msikiti Mkubwa zaidi jijini Kabul, Kati ya ha . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Mwanamke mmoja akabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa 'mavazi ya aibu'

Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa nchini Rwanda kwa shutuma za kuvaa mavazi ya aibu anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Tajiri kutoka Canada ahukumiwa kifungo cha miaka kumi na tatu jela kwa ulaghai

Tajiri wa Canada mwenye asili ya China, Xiao Jianhua, ambaye alitoweka mnamo 2017 kutoka hoteli moja huko Hong Kong, amehukumiwa kifungo cha . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Wamalawi waumiza vichwa kwa ajili ya Sakho na Chama, Ligi Ya Mabingwa

Kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza, Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa, amefichua kuwa kwa sasa amekuwa akiwafuat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Kanali Mtanzania Atunukiwa Medani na Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani

Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa. Kanali Joseph Ba . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Pique na Shakira Waburuzana Tena Mahakamani, Ni Kuhusu Ndege ya Kifahari ya Wawili hao

Mwanadada mrembo ambaye pia ni mwanamuziki wa nyimbo za miondoko ya pop na rock Shakira na mpenzi wake wa zamani Gerard Pique wamejiingiza k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Paula Kajala Awachana Wateja Wake “Hebu Kuweni Serious Nyie, Mnasikitisha…”

Paula wa Kajala; ni mrembo maarufu nchini Tanzania ambaye amewachana baadhi ya wateja wake wanaodai anauza nguo zake bei ghali katika duka l . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Waziri Mkuu Atatua Mgogoro wa Ardhi wa Miaka Mitatu Kinondoni

Waziri Mkuu Kassim MajaliwaWaziri mkuu Kassim Majaliwa kasimu ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mitatu katika eneo la Boko-Dovya, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Mapya Yaibuka Mshambuliaji wa Vipers Manzoki Kutua Simba, Watoa Kauli Hii

Wakati zikisaliwa takribani siku 13 kabla ya usajili wa dirisha kubwa kufungwa hapa nchini, uongozi wa Simba, umetangaza kuachana mazima na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Kesi ya mtuhimiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda Kabuga kuanza Septemba 29

Mtu anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka wa 1994 Felicien Kabuga, atapandishwa kizimbani mjini The Hague Septemba 2 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Marekani yapeleka ujumbe Kenya kukiwa na mzozo wa baada ya uchaguzi

Ujumbe wa bunge la Marekani upo nchini Kenya kukutana na rais mteule na kiongozi wa upinzani ambaye anatarajiwa kuwasilisha kesi mahakamani . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Rais wa Ukrain Alaani Mashambulio ya Urusi Dhidi ya Nchi Yake

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani shambulio dhidi ya makazi ya watu katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, ambalo alilitaja ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Gavana wa benki kuu ya Misri ajiuzulu

Shirika la habari linalomilikiwa na serikali ya Misri limesema kwamba kiongozi gavana  wa benki kuu Tareq Amer amejiuzulu Jumatano . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Serikali yatangaza mapumziko siku ya Sensa

 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Chad yapinga maandamano ya upinzani

Viongozi wa kijeshi nchini  Chad wamepiga marufuku maandamano ya upinzani yaliyopangwa baadaye wiki hii, kwa madai ya kuchelewa ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Watunisia waunga mkono katiba mpya: matokeo ya mwisho

Matokeo ya mwisho ya kura ya maoni yenye utata inayoipa mamlaka makubwa ofisi ya Rais wa Tunisia Kais Saied yameonyesha kuwa ni asilimia 94. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zazinduliwa rasmi

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zinaendelea huku rais wa zamani Luiz Inacio Lula da Silva akiongoza kura za maoni ya umma dhidi ya . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Jaguar Arejelea Muziki baada ya Kushindwa Kutetea Kiti Chake, Atoa Kibao Kipya.

Mwanamuziki Charles Njaguar Kanyi almaarufu Jaguar ametoa wimbo mpya wa kuvutia na mwimbaji wa Uganda, Ambassada.Baada ya uteuzi uliokuwa na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Katibu Mkuu wa UN kukutana na viongozi wa Ukraine, Uturuki mjini Lviv

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atakutana na viongozi wa Ukraine na Uturuki kesho, ili kutathmini utekelezaji wa mkataba ul . . .

SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Elon Musk kuhusu kuinunua Manchester United, hapana nilikuwa natania

Bilionea namba moja duniani mwenye utajiri wa $265.7 bilioni Elon Musk amekanusha kuhusu kuinunua klabu ya Manchester United baada ya kuandi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Man United Yaachana na Rabiot Kisa Mshahara Mkubwa, Yamfungia kazi Casemiro

Baada ya mazungumzo kwa siku kadhaa na klabu ya Juventus pamoja na muwakilishi wa mchezaji Adrien Rabiot ambaye ni mama yake, Klabu ya Manch . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Guterres apongeza uchaguzi wa Kenya

Katibu Mkuu  wa Umoja  Antonio Guterres Jumanne  alizungumza na rais mteule wa Kenya William Ruto kwa njia ya simu, . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Surua yaendelea kusambaa Zimbabwe

Zimbabwe imesema Jumanne kwamba mlipuko wa Surua nchini humo kufikia sasa umeua takriban watoto 157, huku kukiwa na zaidi ya maambukizi 2,00 . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Maadhinisho ya wachimba migodi waliouwawa Afrika kusini miaka 10 iliyopita yafanyika

Hali ya huzuni ilitanda Jumanne wakati wa mkusanyiko wa takriban watu 5,000  nchini Afrika kusini wakiadhimisha miaka 10 ya kile k . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA PHILIP MPANGO AKABIDHI MALORI TANAPA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewasili Hifadhi ya Taifa Mikumi mkoani Morogoro leo kwenye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Tanesco kuzima mfumo wa ununuzi Luku siku nne

Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na mat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Shaka Anatarajiwa Kukagua Miradi ya Serikali.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

50 Wanusurika Kifo Basi Likiteketea kwa Moto

Basi la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini kutoka Tanga Mji . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Raila Odinga Kuhutubia Taifa Leo Adhuhuri Baada ya Rais Kutangazwa.

Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuhutubia taifa leo, Jumanne, Agosti 16.Mgombea huyo wa mara tano . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani atembelea Tanga

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani Dr Bärbel Kofler, amefanya leo ziara ya kihostoria katika jiji la Tanga n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

FIFA yasitisha shughuli za shirikisho la kandanda la India

Shirikisho la soka duniani FIFA limefahamisha leo kuwa baraza lake "kwa kauli moja limeamua" kusitisha kwa muda shughuli za Shirikisho la So . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Akianguka Kutoka Milima ya Montblanc

BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za milima ya Mon . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Takriban watu 52 wamefariki dunia

Sudan ilikumbwa na mafuriko katika wiki za hivi karibuni. Kulingana na Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Raia, watu 52 wamefariki dunia tangu m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Japan yaadhimisha miaka 77 tangu tukio la Hiroshima na Nagasaki

Waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida Jumatatu amesisitiza ahadi yake  ya kutoingia vitani wakati wa  katika  hafla il . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Maafisa watatu wa Liberia wawekewa vikwazo na Marekani

Wizara ya fedha ya Marekani Jumatatu imesema kwamba Marekani imeweka vikwazo kwa maafisa watatu wa serikali ya Liberia akiwemo kiongozi wa u . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Azikwa akiwa hai huko Madaba.

Mzee Jonas Komba (78) Mkazi wa kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma amezikwa akiwa hai na Wananchi wenye hasira . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Anastasia Pokreshchuk Atumia Mamilioni Kufanya Sajari Ya Mashavu

Ukisikia Dunia ina mambo ndiyo huku sasa! Anastasia Pokreshchuk mwenye umri wa miaka 33; ni mrembo kutoka huko Kiev nchini Ukraine ambaye am . . .

Kurasa 203 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category