logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

TAKUKURU watakiwa kutowatisha wananchi

Baadhi ya madiwani wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameiasa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU - mkoani humo kuweka maz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

IGP afanya mabadiliko

IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha miopango makao makuu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2023

Iran yaionya Ufaransa

Iran iliionya Ufaransa Jumatano baada ya jarida la kejeli la Charlie Hebdo kuchapisha katuni zinazomoonyesha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Kha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2023

Mtoto Wa Rais Wa Equatorial Guinea Achunguzwa Kuhusiana Na Madai Ya Utekaji

Mtoto wa kiume wa rais wa muda mrefu wa Equatorial Guinea anachunguzwa kuhusiabna na madai ya utekaji na mateso.Wadadisi wanasema madai hayo . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2023

Faiza Ally " Watoto Wangu Hawana Ujinga wa Familia Mlizo Toka za Kishamba"

Trust me watoto wangu wana mambo mengi ya kujifunza duniani zaidi ya kuja kushangaa  nguo za ndani za mama Yao . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Ronaldo akataa kupendelewa ndani ya Al Nassr

Rais wa Klabu ya Al Nassr, Musalli Al Muammar amesema kuwa staa wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ameomba atendewe sawa na wachezaji wenzake nd . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Matokeo darasa la nne, kidato cha Pili yatangazwa

Barazala la Mitihani Tanzania (Nacte) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne, jumla ya wanafunzi 1,320,700 kati ya 1, 592, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

MAWAZIRI 5 WATAJWA KUWA CHANZO CHA UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI MOROGORO

Katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunza  katika Halmashauri ya Wilaya ya  Morogoro Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya  kim . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Marekani yashindwa kupata Spika wa Bunge

Baraza la Wawakilishi la Marekani lilishindwa kumchagua Spika ajaye wa Bunge hilo Jumanne. Kundi la wabunge waconservative wa Marekan . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

RC Sendiga akemea wanaouza vifaa vya msaada

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amewataka wananchi kutouza vifaa vya msaada walivyopatiwa kufuatia maafa ya upepo mkali uliosababisha &n . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Mmiliki wa Mochari Asukumwa Jela Miaka 20 Kwa Kuuza Viungo vya Miili 560

Mmiliki wa zamani wa makafani katika Jimbo la Colorado, Marekani, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwalaghai jamaa za waliofar . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Burkina Faso yamtaka balozi wa Ufaransa aondoke

Burkina Faso imemtaka balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, wakati kukiwa na ongezeko la hasira dhidi ya mkoloni huyo wa zamani wa Burkin . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Messi na Cristiano itakuwa mechi yao ya mwisho kukutana 2023 ?

Paris Saint-Germain ikiwa na Lionel Messi itasafiri hadi Saudi Arabia kwajili ya mchezo wa kirafiki  Januari 19 dhidi ya kikosi kitakac . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Klabu ya Simba yatambulisha kocha mkuu mpya

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Roberto Oliveira (69) kama kocha mkuu mpya klabuni hapo baada ya kocha huyo kuachana na waajiri wake wa zam . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

VIONGOZI VYAMA VYA SIASA WAWASILI IKULU KUKUTANA NA RAIS DK.SAMIA SULUHU HASSAN

VIONGOZI mbalimbali wa vyama vya siasa tayari wamewasili katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Polisi Iran watoa onyo zaidi kuhusu uvaaji wa Hijab kwa wanawake

Polisi wa Iran wametoa tena onyo kwamba wanawake lazima wavae hijabu hata wakiwa kwenye magari, vyombo vya habari viliripoti Jumatatu. . . .

Michezo
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

BRENTFORD YAANDIKA REKODI KWA KUICHAPA LIVERPOOL

KLABU ya Brentford kwenye Ligi Kuu ya Uingereza inaandika rekodi yao baada ya kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Liverpool tangu 1938 lwa ush . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Rais wa FIFA" Tutaomba kila nchi kutaja jina la Pele kweny mmoja ya viwanja vyao"

nyota wa Brazil ambaye alishinda Kombe la Dunia mara tatu na kufunga zaidi ya mabao 1,000, alifariki Alhamisi iliyopita akiwa na umri wa mi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Malawi yafunga shule kutokana na kuongezeka kwa kipindupindu

Shule katika miji miwili mikubwa nchini Malawi zitasalia kufungwa hadi wakati usiojulikana kutokana na mripuko wa kipindupindu unaoendelea k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Familia Ya Watu Sita Yapoteza Maisha Kwenye Ajali Mbaya Ya Gari

Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wamefariki dunia katika ajali ya kutisha i . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Helikopta zagongana angani watu wanne wafariki

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 9 kuieruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana angani karibu a Seaworld kwenye pwani ya Australia ya . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Diamond aomba Mtoto wa Hawa aitwe Nasibu

Usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Ramada, staa mkubwa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanya bonge moja la shoo ambayo ilisheheni ubun . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Kaburi la pamoja la watu 18 lagundulika Libya

Serekali ya Libya, Jumapili imesema wamegundua miili 18 ya watu waliozikwa kwenye kaburi la pamoja katika mji wa kati  wa pwani wa Sirt . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Afisa usalama wa Iran ameuwawa kwenye maandamano

Afisa wa vikosi vya usalama vya Iran ameuawa kwa risasi wakati wa maandamano ya mji wa Semirom.Chombo cha habari cha serikali kimesema Jumap . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Mkuu wa IMF asema mwaka wa 2023 utakuwa mgumu kuliko 2022

Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa - IMF amesema mwaka wa 2023 utakuwa mgumu kwa sehemu kubwa ya uchumi wa ulimwengu kwa sababu madola mu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Lula arejea madarakani akiahidi kuijenga upya na kuiunganisha Brazil

Luiz Inacio Lula da Silva ameapishwa kuongoza kwa muhula wa tatu kama rais wa Brazil. Lula aliapa jana kuwapigania watu maskini na utunzi wa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 1, 2023

Watu 9 wapoteza maisha Uganda wakati wa sherehe za mwaka mpya

Watu wasiopungua 9 wamepoteza maisha kufuatia mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwenye mji wa Uganda, Kampal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 1, 2023

Daraja la Tanzanite kufungwa Januari 2

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetangaza kuwa Daraja la Tanzanite jijini Dar es Salaam litafungwa kuanzia Januari 2 hadi Januari 9 . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Yanga"Feisal Ametoroka Kambini Hatujui Alipo"

Sakata la mchezaji wa Yanga SC, Feisal Salum (Feitoto) lazidi kuchukua sura mpya tangu tetesi za kuhusishwa kuondoka Young Africans Sports n . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Nick Cannon Azidi Kuishangaza Dunia..Apata Mtoto wa 12

Muigizaji na mchekeshaji hodari kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mtangazaji wa televisheni Nicholas Scott Cannon maarufu Nick Cannon na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

"Mfalme wa Soka" Pele aombolezwa duniani kote

Mashabiki wa soka duniani kote wameungana kuomboleza kifo cha Pele, huku risala za rambi rambi zikimiminika kwa nguli huyo wa Brazil aliyeha . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Mvulana wa Miaka 11 Ajichimbia Kaburi Kisha Kujiua Kisa Hajanunuliwa Nguo Mpya za Krismasi

Mvulana mmoja wa miaka 11 amejiua katika kijiji cha Kibongoti, kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya sababu kuu ikiwa babu na nyanyake kuchelewa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Baba Akamatwa Tuhuma za Kuwapachika Mimba Mabinti zake Wawili

Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a nchini Kenya wanamshikilia mume pamoja na mkewe wenye watoto wanne wa kike baada ya mtot . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 29, 2022

Mtanzania Elizabeth Mrema Ateuliwa Kuongoza Shirika la Umoja wa Mataifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Elizabeth Maruma Mrema kutoka Tanzania kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 29, 2022

Sudan Kusini kupeleka wanajeshi 750 nchini DRC

Sudan Kusini itapeleka wanajeshi 750 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku chache zijazo, watakaoungana na wenzao wa kikosi cha kik . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 29, 2022

Wiki Kadhaa Sasa Kanye West Hajulikani Alipo

Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Lionel Messi Akubali Kuongeza Mkataba PSG

Lionel Messi amefikia makubaliano binafasi ya kuongeza mkataba wa kuendelea kubakia Paris St-Germain, kwa mujibu wa taarifa ya Guillem Balag . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Takriban watu 60 wameuwawa katika ghasia huko Sudan Kusini

Takriban watu 60 wameuwawa wengi wao wakiwa wanawake na watoto kwenye migogoro katika eneo la utawala la Greater Pibor huko mashariki mwa Su . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Wanajeshi wanane wahukumiwa kifo kwa mauaji ya raia wawili wa China

Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu, n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Nay wa Mitego atoa nyongo Kwa Babu Tale na Salam SK

Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego amewaomba wasanii wenzake waache kulalamika sana."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Te . . .

Kurasa 184 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category