Mwanamuziki na mwigizaji nyota wa Afrika Kusini Nadia Nakai ameshiriki kumbukumbu ya kihisia kuhusu mpenzi wake marehemu Kiernan Forbes maar . . .
Thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta a . . .
Floda grae ni moja ya mwimbaji wa muziki wa afro beat kutoka nchini afrika ya kusini ambaye amejikita zaidi nchini nigeria ambapo amekuwa ak . . .
Mwigizaji na mwanamitindo kutoka nchini marekani Gabriel union ambaye pia ni mke wa mcheza mpira wa kikapu mstaafu Dwayne wade ameweka wazi . . .
Tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu Jumatatu na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi ya maeneo ya Uturuki yaliy . . .
Polisi Mkoani Iringa, inawashikilia Wafanyakazi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA, Upendo Msigwa (32) na Chali Chaliga (28) kwa t . . .
Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Kitela, mji mdogo wa Makongorosi, Chunya mkoani Mbeya, wamefariki dunia huku watatu wakinusurika baa . . .
Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumba . . .
Msichana mwenye umri wa miaka 17 ambaye aliripotiwa kufariki baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali kwa madai ya kuiba nd . . .
Kocha cha Simba juzi kilipoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Raja Casablanca na kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' akifichua k . . .
Monica Patrick (31) Mkazi wa Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu amekutwa amefariki dunia kwa kuuwawa na kisha mwili wake kudumbukizwa kandokan . . .
Hapo Januari, Burkina Faso iliipa Ufaransa mwezi mmoja kuondoa vikosi vyake wakati ikimaliza makubaliano ya kijeshi, yaliyoruhusu vikosi vya . . .
Jeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia wafanyabiashara watatu wa maduka yaliyopo mkabala na ofisi za mamlaka ya mapato TRA ambay . . .
Takribani Wajawazito 356,000 walionusurika katika matetemeko ya ardhi lililopoteza maisha ya watu zaidi ya 5,900 nchini Uturuki na Syria wan . . .
Kasisi George Olusanya Omoolorun, wa Kanisa la Christ Apostolic Church (CAC) Oke Idahun, Oba-Ile, Akure, amefariki katika mazingira ya utata . . .
Rais wa Klabu ya Young Africans Injinia Hersi Said amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ahad . . .
Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema serikali tawala ya Kenya Kwanza inanuia kurejesha Kenya katika enzi za mfumo wa chama kimo . . .
Waokoaji nchini Uturuki wamefanikiwa kumtoa kijana mdogo akiwa hai kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka ikiwa ni siku 11 baada ya t . . .
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema kuwa mataifa 95 yamejitolea kutoa msaada katika kazi ya kusafisha, kuondoa mabaki na kuvunja majen . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) uliofa . . .
Serekali ya Somalia Alhamisi imesema wanajeshi wake wanaoungwa mkono na washirika wake wa kimataifa, na wanamgambo wa kikoo wamewaua takriba . . .
Mwanafunzi wa shule moja ya msingi katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani amepatikana bunduki mkobani mwake.Tukio hilo limetokea katik . . .
Vyombo vya Habari vya AfrikaKusini vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya Gauteng Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ametoa katazo kwa familia na watu wengine wa Taifa lake kwamba hakuna ambaye anaruhusiwa kuwa na Jin . . .
Mhubiri amependekeza kuanzishwa kwa matoleo maalum makanisani ili kutakasa Hazina ya Kitaifa. Pasta Wilfred Lai alikuwa miongoni mwa wa . . .
Wafanyabiashara wa jumla wa Nafaka hususani Mchele katika soko la Tandale Dar es salaam wamesema hatua ya serikali kutangaza kuagiza Mchele . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha CUF Tanzania, Ibrahim Lipumba amepata ajali mbaya ya gari akiwa mkoani Lindi Katika harakati za kisiasa.Akithibitish . . .
Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wameokolewa katika Mji wa #Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikisafisha maeneo yaliyoathirika. . . .
RAIS William Ruto ametangaza rasmi kuwa wazi nafasi za mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na makamisha watano. Alitoa tan . . .
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Humfrey Polepole amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara zilizopo nchini Malawi, . . .
Wazee Mkoani Lindi wameitaka Serikali kupitisha sheria ya mzazi kumshtaki mtoto wake endapo atamtelekeza bila kumpatia msaada wowote huku wa . . .
Wakati wa Ethiopia wakiachana na kipindi cha miaka miwili ya mgogoro, utafiti mpya wa Gallup unatoa picha kamili ya namna watu wanavyo taabi . . .
Jeshi la Uganda limekanusha tuhuma za kumteka nyara na kumtesa mwanaharakati wa upinzani, siku moja baada ya picha kuibuka zikimuonesha mwat . . .
Mbosso Amenusurika Kifo baada ya Kupata Ajali huko Marekani, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Staa huyo ameshare video zikionesha gari alil . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji sai . . .
Mamlaka za Usalama nchini Chad, zitaanza kuwasikiliza waasi 150 wanaotuhumiwa kusababisha kifo cha Rais Idriss Déby, katika Gereza la Klés . . .
Nigeria. Mchungaji wa Kanisa la House on the Rock, Uche Aigbe ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo kwa kosa la kubeba bunduki aina . . .
Wabunge wawili wanaomuunga mkono mwanamuziki maarufu wa Uganda ambaye baadaye aliingia katika siasa Bobi Wine, ambaye pia ni mpinzani mkuu w . . .
Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg anasema matumizi ya mizinga na silaha ya Ukraine katika vita dhidi ya Russia ni makubwa kuliko idadi i . . .
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametaja leo kuwa na huzuni na wasiwasi kufuatia taarifa za Askofu Roland Alvarez kuhuk . . .