logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Sabaya mgonjwa, kesi yaahirishwa

Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Mlipuko Bangladesh waua 34 na kujeruhi mamia ya watu

Moto na mlipuko mkubwa umesababisha vifo vya takriban watu 34 baada ya vifo viwili kuongezeka na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye ghal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Tume ya utawala bora yaing’ang’ania Polisi

Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi dhidi ya Jeshi la Polisi kudaiwa kuhusika katika mauaji ya watuhumiwa wanaokamatwa, Tume ya Haki . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Bahati "Anza Kuvalia Kama Mke wa Mheshimiwa" Amwambia mke wake.

Mwanamuziki Kevin Bahati anaonekana kuwa vitani kwa wiki kadhaa sasa na mkewe Diana B kuhusu chaguo lake la mavazi hususan baada ya ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Ukraine yasema vita viko katika awamu nyingine, vinaweza kudumu hadi miezi sita

Mshauri wa rais wa Ukraine Mykhailo Podoliak amesema mbinu za Urusi zimebadilika katika vita nchini humo na kuashiria kile alichokiita awa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Korea Kaskazini yafyetua kombora la masafa marefu Mashariki mwa Pwani ya Korea Kusini

Jeshi la Korea Kusini limesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyetua kombora la masafa marefu kwenye bahari Mashariki mwa Pwani yake hili l . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

KARIM BENZEMA AZUA MSALA

Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ametiwa hatiani kwa njama ya vitisho dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenza wa timu ya Ufaransa Ma . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

MWANAFUNZI AINGIA NA BOMU LA MACHOZI DARASANI

Polisi eneo la Changamwe katika Kaunti ya Mombasa wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne aliingia shuleni na kitoa mach . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Rais wa Somalia aomba msaada

Rais wa Somalia hassan Sheikh Mohamud ametoa wito kwa raia kuchangia katika mpango wa kuwasaidia wenzao walioathirika na ukame nchini humo, . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Niger yasitisha mauzo ya dizeli ili kukidhi matumizi ya ndani

Kwa siku kadhaa, makundi ya wahalifu yamekuwa yakifanya biashara hiyo kuelekea nchi jirani ambazo zinakabiliwa na ugumu wa kupata biodha . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Aliyekuwa mshauri wa masuala ya usalama wa rais Thisekedi kufikishwa Mahakamani

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, aliyekuwa mshauri wa rais Felix Tshisekedi kuhusu masuala ya usalama Franç . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Meya awataka wananchi kuondoka Sloviansk

Meya wa mji wa Sloviansk, Vadym Liakh amewataka wakaazi wa eneo hilo kuondoka, kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi ya vikosi vya jeshi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Serikali Kuandaa Kanuni Za Udhibiti Wa Bei Ya Dawa Na Vifaa Tiba

Serikali ipo mbioni kuandaa kuani za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Rais Biden amelihutubia taifa akiliomba bunge kuidhinisha sheria kudhibiti vifo vya bunduki

Rais wa Marekani Joe Biden ametoa hotuba huko White House alhamis usiku kwa kulitaka bunge kuidhinisha sheria za kawaida ili kujaribu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Rais wa Tunisia ashutumiwa kwa kudumaza taasisi za kidemokrasia

Rais wa Tunisia, Kais Saied kwa kudumaza taasisi za kidemokrasia za nchi hiyo baada ya kuwafukuza kazi majaji kadhaa huku kukiwa na safu . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Musyoka arejea Azimio, amuunga mkono Odinga

Musyoka pia amekubali uteuzi wa Waziri mwenye wadhifa wa juu, iwapo Odinga atashinda uchaguzi na kuunda serikali.Aidha,amempongeza Martha Ka . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Mlipuko wa kipindupindu waripotiwa katika Gereza la Goma

Mashirika ya kiraia pamoja na Madaktari wasio na mipaka MSF mkoani Kivu Kaskazini, wameripoti kuzuka kwa ugonjwa wa . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine watimiza siku 100

Imetimia siku 100 tangu Urusi ilipoivamia Ukraine, Februari 24,  wakati huu mashambulio yakiendelea katika . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Wakenya kuanza kuvaa maski tena kuzuia Covid-19

SERIKALI sasa inawataka Wakenya kuanza tena kuvaa maski huku wasiwasi ukitanda kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa wimbi jipya la maambukizi . . .

Hali ya hewa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

TMA yatahadharisha baridi kali Nyanda za Juu kusini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwelekeo wa kipupwe unaotarajiwa kuanza Juni hadi Agosti mwaka huu katika mikoa mitano ya . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

EACC Yataja Orodha ya Majina ya Viongozi Walioza Maadili, Wasiofaa Kuongoza Popote Kenya

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inaitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwazuia wagombea 241 kushiriki katika uchagu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

WAZIRI MKUU SAUTSO | MKUU WA MKOA WA MWANZA NDIYE MGENI RASMI ULINZI NI WA KUTOSHA UNIFRIENDS 2022

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

TAZAMA PISI KALI ZA SAUT MWANZA ZAMKARIBISHA JAYMELODY | "TUPO TAYARI"

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

RAIS WA SAUT MWANZA " KILA KITU KIPO TAYARI KUIKARIBISHA UNIFRIENDS 2022 |VIBE NI KUBWA"

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Mwenyekiti wa AU Macky Sall aelekea Urusi

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, ambaye pia ni rais wa Senegal anaelekea Urusi ambako amepangiwa kesho Ijumaa kukutana na rais Vladmir Put . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Kansela Scholz atetea msimamo wa Ujerumani juu ya kupeleka silaha Ukraine

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametetea mchango wa nchi yake katika kuipelekea silaha Ukraine na ameahidi kupeleka silaha zaidi pamoja n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Marekani yamtangaza Mike Hammer kuwa mjumbe wake maalum katika eneo la Pembe ya Afrika

Marekani imetangaza kuwa balozi Mike Hammer ndiye atakayehudumu kama mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Pembe ya Afrika. Waziri wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Tume ya Umoja wa Ulaya " Croatia imetimiza vigezo vyote kujiunga na EU"

Tume ya Umoja wa Ulaya ilisema Jumatano kwamba Croatia ilitimiza vigezo vyote vya kujiunga na ukanda wa ulaya na hivyo kufungua njia kwa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Mkuu wa zamani wa kijasusi Afrika kusini awasilisha mashtaka dhidi ya Rais Ramaphosa

Mkuu wa zamani wa kijasusi nchini Afrika kusini Arthur Fraser alisema Jumatano kwamba aliwasilisha malalamiko ya kisheria dhidi ya Rais . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Mwanajeshi wa Umoja wa mataifa auawa nchini Mali.

Mwanajeshi mmoja mlinda amani wa Umoja wa mataifa ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa Jumatano katika shambulio la kigaidi dhidi ya msa . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Bunge laahirishwa sababu Makamba na naibu wake kutokuwepo bungeni.

Mwenyekiti wa Bunge, David Kihenzile leo Alhamisi Juni 2, 2022 ameahirisha shughuli za bunge kwa muda wa dakika 30 kwa sababu Waziri wa . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Wabunge wanawake wamshukia Mwenisongole.

Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole ameingia katika mgogoro na wabunge wanawake kutokana na lugha aliyoitumia kutafsiriwa kuwa ilikuwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Lissu "Serikali imenilipa mafao yangu ya ubunge"

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiinua mgongo chake aliochukuwa anadai baada ya kutumikia naf . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Ajinyonga baada ya kujifungua mtoto mlemavu

Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baaada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Ujerumani na Marekani kutuma silaha za kisasa Ukraine

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake itapeleka Ukraine makombora ya kisasa ya kuzuia mashambulizi ya kutokea angani pamoja n . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Mafuriko yasababisha vifo vya watu 106.

Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua za masika nchini Brazil imepanda na kufik . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Kundi la Islamic State limedai kuhusika na shambulizi la DRC lililouwa watu 15

Islamic State siku ya Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi lililoua takribani raia 15 katika kijiji kimoja kaskazini-mashariki mwa Jam . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda

Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) imekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda walioshikiliwa na DRC huku mivutano ikiongezeka k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Waziri Mkuu Aitaka Tamisemi Isimamie Ukusanyaji Mapato

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa na viongozi wengine wa wizara hiyo wahakikishe k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Bwalya aondoka Simba

Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo wa Simba, Rally Bwalya ameshamwaga wino wa kujiunga na klabu ya Amazulu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusi . . .

Kurasa 216 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category