Mamia ya watu waliandamana dhidi ya Rwanda siku ya Jumatatu katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa kuhusu shutuma . . .
Ufaransa Jumatatu imeomba uchunguzi ufanyike baada ya mwandishi wa habari wa Ufaransa kuuawa nchini Ukraine wakati gari alilokuwa akis . . .
Vifo vya raia na manyanyaso ya haki za binadamu yanayofanywa na wanajeshi wa Mali yaliongezeka katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 rip . . .
Hii ina wahusu madereva, Basi tangazo hili kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) linakuhusu sana. Iko hivi, Latra imetangaz . . .
Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zilizoibuliwa wiki iliyopita Jijini Arusha na kusababisha watumishi sita kusimamishwa kazi, z . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Saba . . .
ALIYEKUWA kocha mshikilizi wa Manchester United, Ralf Rangnick, amekataa majukumu mapya ya kuwa mshauri wa benchi ya kiufundi kambini mw . . .
MCHAKATO wa kuuzwa kwa Chelsea unakamilika rasmi leo Jumatatu, Mei 30, 2022 baada ya maelewano ya “mwisho na dhahiri” kuafikiwa na k . . .
MCHUANO wa fainali za kombe la mabingwa wa UEFA, uligeuka kuwa simanzi kwa familia moja Kaunti ya Kilifi. Hii ni baada ya jamaa wao kuuawa . . .
Mabaki ya ndege iliyopotea katika milima ya nchi ya Nepal yamepatikana leo yakiwa yamepatapakaa na watu 14 kati ya 22 waliokuwemo kwenye n . . .
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Colombia yanaonesha kutakuwa na duru ya pili mnamo mwezi Juni baada ya wagombea sita waliokuwa . . .
China leo imeshindwa katika mpango wake wa kutaka mataifa 10 ya Pasifiki yaunge mkono makubaliano yanayojumuisha kila kitu kuanzia usalama . . .
Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo . . .
Maelfu ya Waisraeli, wakiwa wanapeperusha bendera ya nchi yao, wameandama katika eneo la Wapalestina, Mashariki mwa . . .
Siku ya 96 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu Mei 30, Ukraine imedai kurejesha kwenye himaya yake eneo la . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametembelea familia za wanafunzi 19 na walimu wawili, waliouawa kwa kupigwa risasi . . .
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amejumuishwa kwenye kikosi kazi kinachoendelea na shughuli ya kuratibu maoni ya wadau wa demokrasi . . .
Mbunge wa Rabai William Kamoti amefariki dunia muda mfupi baada ya kuwasilisha karatasi zake za uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka.O . . .
anajeshi wawili wanaodaiwa kuwa wa Rwanda waliokamatwa katika mpaka wa DRC na nchi hiyo wametambulishwa kwa wanahabari .Koplo Élysée Nk . . .
Raia wa Colombia wanapiga kura leo katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais, huku chama cha mrengo wa kushoto kikielekea kuibuka na ushin . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na maafisa wake wa ngazi ya juu kujadili kile kinachotazawa kama hatua ya kutaka kupungu . . .
Ndege yenye watu 22 imepoteza uelekeo nchini Nepal. Kwa mujibu wa shirika la ndege la taifa hilo ndege hiyo ilipoteza mawasiliano muda m . . .
Vikosi vya Urusi vimeongeza kasi ya mashambulizi dhidi ya mji wa Sievierodonetsk mashariki mwa Ukraine baada ya kudai kuutia mkononi mji . . .
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, amewaonya viongozi waliopewa dhamana na chama hicho, kuacha kueneza fitina na majungu dhidi ya weng . . .
Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kwa watumishi wa umma kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kuli . . .
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umependekeza nauli kwa njia jumuishi kuwa shilingi 1,500 kutoka shilingi 800 inayotozwa hivi sas . . .
Mume wa Walimu waliouawa kwa kupigwa risasi Jumanne huko Uvalde, Texas, nchini Marekani ameripotiwa kufariki kutokana na mshtuko w . . .
Rais Joe Biden wa Marekani na mkewe Jill Biden watakwenda mji wa Uvalde katika jimbo la Texas siku ya Jumapili kuzifariji familia na kutoa . . .
Urusi imesema leo kuwa inatafanya mipango ya kuongeza uzalishaji wake wa nafaka kwa ajili ya kuuza nje katika msimu ujao. Hii ni wakati ku . . .
China na Urusi zimetumia kura za turufu kupinga azimio la Umoja wa Mataifa juu ya kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini. Azimio hilo lilikuwa n . . .
Maafisa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wamemkamata mwanasiasa mmoja kwa kujipatia zaidi ya KSh350,000 kwa njia ya ulaghai kutoka k . . .
Rais wa Senegal Macky Sall Alhamisi amemfuta kazi waziri wake wa afya, Abdoulaye Diouf Zarr, amri ya serikali imeonyesha, baada ya watot . . .
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeishtumu Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23, jambo ambalo Rwanda imekanusha Alhamisi wakati . . .
Maafisa katika mji wa pili kwa ukubwa wa Ukraine, Kharkiv, Alhamisi wamesema mashambulizi ya makombora ya Russia yameua raia 7 na kujeru . . .
Kila siku zinazaliwa talanta mpya katika ulimwengu wa muziki na jambo hilo limesaidia kwa asilimia kulwa kuweza kupata ladha ya aina tofauti . . .
YANGA wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na hawataki ma . . .
Kanisa moja nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo limeadhimisha Sikukuu ya Krismasi likisherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu.Tofauti na kawai . . .
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mke na mume wamejikuta wakilipukiwa na bomu mara baada ya kufungua zawadi waliyozawadiwa na mpenzi wa . . .