logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 9, 2022

T-PAIN ; MICHEZO YA BAHATI NASIBU IMENILIPA PESA NYINGI KULIKO MUZIKI KWA MIAKA MINNE ILIYOPITA.

T pain ni moja kati ya msanii ambaye alitambulika zaidi kwa utumiaji wa uato tune kiasi mabcho kuna baadhi ya watu waliibuka na kuanza kutum . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 9, 2022

21 SAVAGE AELEZA JINSI MEEK MILL & JAY-Z WALIVYOSAIDIA AACHILIWE KUTOKA KWA ULINZI WA ICE

Wengi walifahamu rapa 21 savage ni raia wa marekani lakini ukweli ni kwamba raPA ni wa uingereza.mwaka 2019 aliwahi kukamatwa na utelezaji w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

mwanamke wa India amtusi Mtume Muhammad

India inakabiliwa na shinikizo la kidiplomasia kuhusu matamshi yenye utata yaliyotolewa na afisa w angazi ya juu wa chama tawala cha nc . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Miili yapatikana mjini Mariupol, huku hofu juu ya mzozo wa chakula ikiongezeka

Mamlaka nchini Ukraine imesema wafanyikazi wamepata miili zaidi ya watu kutoka vifusi vya majengo yaliyoharibiwa kwa vita mjini Mariupol, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Biden aunga mkono kuanzishwa upya mazungumzo kati ya Maduro na upinzani

Rais wa Marekani Joe Biden amezungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa upinzani wa Venezuela Juan Guaido na kueleza uungaji mkono wa Marek . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Wagonjwa 1000 wakutwa na homa ya nyani katika nchi 29 ikiwemo Ulaya

Shirika la afya duniani WHO limetahadharisha juu ya hatari ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani hasa katika mataifa ya Ulaya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Sudan iko kwenye mazungumzo ya kutatua mzozo wa kisiasa

Sudan Jumatano imeanzisha mazungumzo ya moja kwa moja na makundi hasimu chini ya upatinishi wa Umoja wa mataifa ikitumai kutatua mzozo w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

TikTok yashtumiwa kusambaza matamshi ya chuki na habari potofu kabla ya uchaguzi wa Kenya

Kanda zenye matamshi ya chuki, habari potofu za kisiasa na vitisho vya ghasia za kikabila zinasambaa kwenye mtandao wa TikTok kabla ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Wagambia waomba rais wa zamani Jammeh arudishwe nchini

Makundi ya waathirika nchini Gambia Jumatano yameitaka serikali kuchukua hatua madhubuti kumrudisha rais wa zamani Yahya Jammeh wiki m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Tanzania Na Marekani Zajadili Ushirikiano Katika Michezo Na Sanaa

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa wakiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi wamekutana . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

matumizi ya gesi vyatajwa kuleta unafuu

akati bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 ikitarajiwa kusomwa wiki ijayo (Juni 14, 2022), baadhi ya wadau wamesema wanatarajia kuona ruzu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Urais Yanga...Ni jeuri ya pesa

 Vita ya nafasi ya Urais wa Yanga imeanza. Kuna majina makubwa kwa mashabiki na wanachama ambayo kabla kesho Jua halijazama yatapis . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Wanandoa wafariki baada ya kurudiana

MTU na mkewe waliokuwa wametengana kwa miezi mitatu walifariki saa chache baada ya kurudiana pikipiki walimosafiria ilipogongana na lori . . .

TAMASHA
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

JAY MELODY AWALIZA WAREMBO WA MWANZA

. . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

KANDA YA ZIWA YAPATA WAWAKILISHI MICHUANO YA MAJI CUP

HATIMAYE Michuano ya Maji Cup League 2022 kwa ngazi ya Kanda ya Ziwa imehitimishwa jinini Mwanza na kupata wawakilishi wake watakao kwenda . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 8, 2022

BABA WA KIM KARDASHIAN ADAI KANYE WEST HAKUWA MWANAUME BORA KWA MWANAYE.

Caitlyn Jenner Ambaye Zamani Alifahamika Kwa Jina La Bruce Jenner Baba Mzazi Wa Kim Kardashian Ambaye Aliamua Kubadili Jinsia Na Kuwa Mwanam . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 8, 2022

ZARI THE BOSSLADY :MSIMU WA PILI WA “YOUNG RICH AND FAMOUS “ UNAKUJA

Zarinah Hassan Maarufu Kwa Jina La Zari The Bosslady Ambaye Ni Raia Wa Uganda Mwenye Makazi Yake Huko Afrika Ya Kusini. Zari Ambaye Ni . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

MWALIMU WA BIOLOJIA AKIRI KUTOA MAFUNZO YA UGAIDI

Mwanamke Mmarekani amekiri kuongoza batalioni ya wanawake pekee ya wanawake wa kile kinachoitwa kikundi cha Islamic State nchini Syria, pa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

Mataifa yenye nguvu duniani yaikosoa Iran kwa kutoshirikiana na IAEA

Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimewasilisha azimio kwa shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti matumizi ya nishati IAEA na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

Wajumbe wa APC washiriki kura ya mchujo kumchagua mgombea urais

Zaidi ya wajumbe 2,000 wa chama tawala cha Nigeria cha All Progressive Congress wamekusanyika katika mji mkuu Abuja kwa lengo la kumchagua . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

IEBC Yamwidhinisha Rasmi Johnson Sakaja Kuwania Ugavana wa Nairobi

Sasa ni rasmi kuwa Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja atapeperusha bendera ya chama cha Uniited Democratic Alliance (UDA) katika kinyang'anyir . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

nchi nne za Afrika magharibi zinasema zimewaua wanamgambo wa kiislamu 805

Kikosi cha kimataifa kinachojumuisha wanajeshi kutoka Nigeria, Niger, Cameroon na Chad Jumanne kimesema kiliua zaidi ya wanamgambo wa . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

Russia yakabidhi kwa Kyiv maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine

Russia imekabidhi kwa Kyiv maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakiulinda mji wa Mariupol usitekwe na wanajes . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 8, 2022

Wagonjwa 161 waripotiwa kuugua uviko 19

Wizara ya Afya imesema idadi ya maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Virusi vya Uviko-19 imeongezeka na kufikia 161 ikilinganishwa na maambukizi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Ashraf Ghani hakuimbia Afghanistan na mamilioni ya pesa

Ripoti ya shirika la Marekani linalofuatilia jinsi mabilioni ya dola yanavyotumiwa na Marekani kwa ujenzi mpya wa Afghanistan SIGAR imesem . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Mvutano kati ya China na Canada waongezeka juu ya doria za anga Korea Kaskazini

Mvutano wa kidiplomasia kati ya China na Canada unaongezeka tena, wakati kila mmoja akimshtumu mwenzake kwa uchochezi kwa kutumia ndege za . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Msako wa kuwatafuta waliofanya shambulizi kanisani Nigeria unaendelea

Mamlaka na mashahidi wamesema shambulio katika kanisa katoliki magharibi mwa Nigeria limeonyesha kila dalili kwamba lilikuwa ni tukio la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Boris Johnson anusurika kura ya kutokuwa na imani naye

Kura ya kutokuwa na imani dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson imeshindwa kufaulu katika bunge la Uingereza lakini idadi kubwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Wanajeshi wawili wauawa na waasi wa M23

Wanajeshi wawili wa DRC wameuawa Jumatatu katika mapigano dhidi ya waasi wa M23 huko mashariki mwa nchi, jeshi la DRC limesema. N . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Ramaphosa akabiliwa na uchunguzi wa makosa ya jinai kwa kutoripoti wizi wa dola milioni 4 kwenye shamba lake

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anakabiliwa na uchunguzi wa makosa ya jinai baada ya taarifa iliyofichuliwa kuwa hakuweza kuripoti . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Mwanamume Aaga Dunia Akifanya Mazoezi Kwenye Gym

Mwanamume mmoja alizirai na kuaga dunia akifanya mazoezi katika ukumbi wa mazoezi maarufu kama gym kwenye barabara ya Koinange jijini Nairob . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Mgombea Huru Muthiora Kariara Achoma Kadi Yake ya Kura Kisa Kukataliwa na IEBC

Mwaniaji huru wa urais Muthiora Kariara aliamua kuchoma kadi yake ya kura kwenye ukumbi wa Bomas of Kenya, muda mchache baada ya Tume Huru y . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

MASHARTI MAPYA KWA MKONGO

Yanga inaendelea na mazoezi ya kujiandaa na mechi za kumalizia msimu wa Ligi Kuu Bara pamoja na pambano lao na fainali ya michuano ya Komb . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Simba yaleta mchezaji mpya

Mabosi wao wanazidi kukuna kichwa ili kutengeneza timu itakayofukia mashimo yote yaliyojitokeza msimu huu na kushindwa kutimiza malengo y . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2022

Sabaya mgonjwa, kesi yaahirishwa

Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Mlipuko Bangladesh waua 34 na kujeruhi mamia ya watu

Moto na mlipuko mkubwa umesababisha vifo vya takriban watu 34 baada ya vifo viwili kuongezeka na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye ghal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Tume ya utawala bora yaing’ang’ania Polisi

Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi dhidi ya Jeshi la Polisi kudaiwa kuhusika katika mauaji ya watuhumiwa wanaokamatwa, Tume ya Haki . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Bahati "Anza Kuvalia Kama Mke wa Mheshimiwa" Amwambia mke wake.

Mwanamuziki Kevin Bahati anaonekana kuwa vitani kwa wiki kadhaa sasa na mkewe Diana B kuhusu chaguo lake la mavazi hususan baada ya ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Ukraine yasema vita viko katika awamu nyingine, vinaweza kudumu hadi miezi sita

Mshauri wa rais wa Ukraine Mykhailo Podoliak amesema mbinu za Urusi zimebadilika katika vita nchini humo na kuashiria kile alichokiita awa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Korea Kaskazini yafyetua kombora la masafa marefu Mashariki mwa Pwani ya Korea Kusini

Jeshi la Korea Kusini limesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyetua kombora la masafa marefu kwenye bahari Mashariki mwa Pwani yake hili l . . .

Kurasa 215 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category