Tambiko hilo litahusisha siku tatu za maombi na kufunga, kumchinja mbuzi mwenye rangi moja, kuliweka kanisa wakfu kwa Kristo kupitia maji . . .
Katika hatua isiyo ya kawaida, afisa mmoja wa ngazi ya juu kwenye serikali ya Ethiopia amesema Alhamisi kwamba wako tayari kw . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Komredi Abdulrahman Kinana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi N . . .
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kw . . .
Kambi ya Simba inaendelea kunoga, huku kocha Zoran Maki akisaliwa na wiki kama moja tu kukamilisha programu zake kabla ya kuja kuwasha m . . .
Bei za mahitaji ya kila siku nchini Ujerumani zinatarajiwa kupungua katika nusu ya pili ya mwaka baada ya mfumuko wa bei wa miezi kadhaa. . . .
Uchumi wa Marekani umenywea tena katika robo ya pili ya mwaka, ishara ambayo katika nchi nyingi duniani inazingatiwa kuwa mdororo wa uchum . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Mhasibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini, Christina Kaale kulipa faini ya Sh8 milioni au . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufika mahakamani kesho katika kesi ya Halima Mdee na wenz . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefu . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaalika wagombeaji urais kwa mkutano wa mashauriano huku kukiwa na wasiwasi kuhusu imani dhidi ya . . .
Waziri wa zamani nchini Msumbiji amefungwa jela miaka 16 kwa kuhusika na vitendo vya ufisadi. Maria Helena Taipo, mwenye umri . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden na mwenzake wa China, Xi Jingping, wamekubaliana kuandaa mkutano wao wa kwanza wa ana kw . . .
Mamia ya wafuasi wa kiongozi wa kidini wa Iraq Moqtada al-Sadr walilivamia bunge Jumatano ambapo walionekana wakiimba na kucheza baada y . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amepinga vikali madai kuwa nchi yake ndiyo inawajibika kwa kupanda kwa bei za vyakula dun . . .
Ukraine imeanza tena operesheni za uuzaji nafaka katika miji kadhaa muhimu ya pwani. Bandari za Odesa, Chernomorsk na Piv-dennyi zinatar . . .
Kocha mkuu wa Simba, Zoran Maki amewaambia wachezaji kuwa atakayefanya vizuri ndiye atakayepata nafasi ya kucheza bila kujali ukubwa wa . . .
Vita dhidi ya maambukizi ya ukimwi duniani vimeripotiwa kuathirika pakubwa kutokana na uwepo wa janaga la uviko 19 . . .
Polisi nchini India imedhibitisha vifo vya watu 42 wakati wengine zaidi ya 100 wakiwa wamelazwa hosipitalini maghari . . .
Wachimba madini wa kaskazini mashariki mwa Angola wamegundua jiwe la almasi adimu, rangi ya waridi wanaloamini kuwa ni kubwa zaidi . . .
Mwanamke Mkenya mwenye umri wa miaka 33, ambaye alipoteza maisha yake wiki tatu baada ya kuwasili Dammam nchini Saudi Arabia, anaamini . . .
Benki za Kenya zinakabiliwa na uhaba wa noti ndogo ndogo kwa sababu wanasiasa wanawapa hongo raia kujaribu kupata kura zao kwenye uchagu . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tis . . .
Shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa limetangaza kufuta zaidi ya safari za ndege 1,000 katika viwanja vya Frankfurt na Munich katika . . .
Shirika la kimataifa la fedha IMF, limesema Jumanne kwamba uchumi wa dunia uko katika kasi ya pole pole, na wala hakuna dalili za hali h . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumanne amesema nyaraka za kumbukumbu kuhusu utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini Cameroon zitawekw . . .
China imeionya Marekani kuhusu mpango wa spika wa bunge nchini humo Nancy Pelosi wa kutaka kuzuru Taiwan. Iwapo ziar . . .
Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa . . .
Nchini India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la . . .
Sakata la mshambuliaji wa Manchester United ya nchini Uingereza Cristiano Ronaldo limechukua sura mpya mara baada ya mazungumzo yaliyofa . . .
Asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe wa mara kwa mara, utafiti wa h . . .
Gharama ya maisha inapozidi kulemea Wakenya, imebainika kuwa wengi wamekosa kulipa mikopo yao huku kiasi cha madeni wanayodaiwa kikigong . . .
Waziri wa Maji Mh. Jumaa H. Aweso (Mb) akielekea Buhigwe kwenye ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maji amesimama jimbo la Kigoma Kaskazini na . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov amewasili nchini Uganda katika ziara yake ya tatu katika nchi za Afrika, msemaji wa wiz . . .
Raia wa Tunisia Jumatatu wameshiriki kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya iliyohamasishwa na Rais Kais Saied, ambayo ilikosolewa kwa . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa . . .
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumatatu iliendelea kubaki kimya kwa siku ya pili mfululizo, baada ya Idara ya Kuchunguza Uhalifu . . .
KATIKA kijiji cha Milalulu, Kaunti ya Tana River Nchini Kenya, Vijana wa kike na kiume hulazimishwa kuoana ishara ya kutongozana inapotokea. . . .
Wakati famili tano zilizopotelewa na watoto wao maeneo ya Kariakoo katika mazingira ya kutatanisha, wametoka tena hadharani safari hii . . .
Kuna sintofahamu imeibuka kuhusu sarafu ya Sh500 baada ya kuonekana baadhi zenye alama tofauti kwenye mzunguko ambao unaoneshakuwa sarafu hi . . .