logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Dini
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Sheikh Alhad "Sitokata Rufaa Kupinga Kutenguliwa"

Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, A . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Beki US Monastir amuhofia Fiston Mayele

Beki wa US Monastir ya Tunisia Ousmane Adama Ouattara amesema, wapo tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shiri . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Papa Francis awarai vijana wa Kongo kupiga vita rushwa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema anawategemea vijana kuiongoza Afrika kwenye mustakabali bora bila vita, mateso . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Viongozi wa kikanda wakubaliana kuiangamiza al-Shabab

MIGOGOROSOMALIAViongozi wa kikanda wakubaliana kuiangamiza al-Shabab2 zilizopita2 zilizopitaViongozi wa Somalia, Djibouti, Ethiopia na Kenya . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

KUFIKIA DESEMBA 2023 WAUGUZI 3000 KUPATA MAFUNZO YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NCHINI.

Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wameendelea kutoa mafunzo juu ya magonjwa yasiyoambukiza ambapo hadi kufikia Desemba, 2023 m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Papa Francis akutana na wahanga wa vita vya Kongo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameelezea masikitiko yake na kuwapa pole wahanga wa ghasia za kikatili katika Jamhuri ya K . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

FBI Haijakuta Nyaraka Mpya Za Siri Katika Makazi Ya Rais Wa Marekani, Joe Biden

Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI hawakupata nyaraka mpya za siri katika operesheni yake ya Jumatano.Oparesheni hiyo imefanyika . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA

HENOCK Inonga, beki wa Simba amerejea kwenye uimara wake taratibu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.Ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Marekani yamuwekea vikwazo mfanyabiashara wa silaha wa Russia

Marekani, Jumatano imewaweka maafisa wa biashara wenye uhusiano na  vita vya Russia dhidi ya Ukraine katika orodha ya vikwazo.Orodha hi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Robertinho aanika ramani ya Ubingwa

Kocha Mkuu Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema, ili kufanikisha ndoto za kutwaa ubingwa msimu huu 2022/23 kwa klabu hiyo, ni . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Mwanafunzi Aliyepewa Tsh bil 40 na Mpenzi Wake Aruhusiwa Kuzitumia

Shirika la Urejeshaji Mali nchini Kenya limefutilia mbali kesi ya Tsh 40 bilioni dhidi ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu, Tebby Wambuku ambaye ali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

Mwekezaji adaiwa kulazimisha wananchi wauze nyumba

Wananchi wa mtaa wa Migombani, Kata ya Mitimirefu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamedai kulazimishwa kuuza nyumba zao kwa bei isiyoen . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

MO APANDA KWENYE CHATI ZA MABILIONEA

MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

IMF yapitia makadirio ya ukuaji uchumi duniani baada ya China kufungua biashara

Wakopeshaji wa kimataifa walisema, kwa uzalishaji wa kimataifa,( pato la jumla la taifa) makadirio ya ukuaji uchumi, hata hivyo bado yako ch . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

Hatim Godbless Lema Kurudi Tanzania Yatanjwa, Wananchi Kumpokea

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama na aliyekuwa Mbunge wa . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

Rushaynah Atua Dar es salaam

Aliyekuwa mke wa hajismanara , rushaynah ametua Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kuongea na waanishi wa habari.Mrembo huyo amefika katika en . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

ALONSO ATAJWA KUMRITHI KLOPP LIVERPOOL

Inasemwa  kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kik . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA KIMATAIFA

JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

Rais wa Liberia George Weah kuwania muhula wa pili mwezi Oktoba

Rais wa Liberia na mchezaji nyota wa zamani wa soka ya kimataifa George Weah Jumatatu ametangaza kwamba atawania muhula wa pili kwenye . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

Mtoto wa Shilole Amuheshimisha Mama yake, Agonga 'Division one' Kidato cha nne

Shilole ambaye yeye binafsi hakuwahi kufika hata kidato cha nne sababu ya kukumbana na changamoto za kimaisha katika umri mdogo, amejitosa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Wachache wajitokeza kupiga kura Tunisia

Muungano wa upinzani nchini Tunisia umetoa mwito wa kuungana dhidi ya rais Kais Saied, baada ya raia wa Tunisia waliojitokeza katika duru ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Wanafaidi Matunda ya Kumvumilia Arteta

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kuwa viongozi wa Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal sasa wanafaidi matunda ya kumvumilia Mikel Ar . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Mr Kuku anatafutwa na Waziri Bashe

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema kutokana na kuwepo kwa utapeli wanaofanyiwa Watanzania kwenye masuala ya kilimo, wizara hiyo imeanza . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Fenabahce kumpiga bei Samatta, Al Ahly

Miamba ya Soka nchini Misri Al Ahly imeendelea kutajwa kuwa kwenye mpango wa kumsajili Mshambuliaji na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Serikali Yataja chanzo cha Meli ya Makontena Kuzama Iran

Serikali imesema ajali ya meli ya mizigo iliyosajiliwa na Tanzania ambayo imezama katika bandari ya Assaluyer Kusini mwa Iran Jumatatu jioni . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

Manzoki avunja ukimya Dar es salaam

anaipenda klabu hiyo ya Msimbazi na ataitumikia siku moja.Manzoki amesema anajua kuna baadhi ya watu waliwahi kumuhusisha na mpango wa kusaj . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

Asilimia 87.79 wafaulu kidato cha nne

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Sh . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito.

Mwimbaji nyota wa muziki nchini, msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito. @iamrubyafrica ame-share picha hiyo inayoonesha ukub . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

RC MALIMA" AFUNGUKA MWANZA INAKILA SABABU KUADHIMISHA KUMBUKUMBU SIKU YA KUZALIWA SAMIA"

. . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Wafugaji 27 wafariki kwa kulipukiwa na bomu machungani

Takriban Wafugaji 27 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika eneo lenye mivutano ya kikabila na ki . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Vitani Ukraine Wawasili Dar Ukitokea Urusi

Mwili  wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine wawasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi.Kwa muj . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Kocha US Monastir atuma salam Young Africans

Kocha Mkuu wa US Monastir ya Tunisia Darko Novic amesema wapo tayari kuikabili Young Africans kwenye mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza wa Kundi . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Dr Mwaka Agoma Kuachwa, Licha ya Masheikh Kuvunja Ndoa Hiyo

Dr.Mwaka hajakubali kuachwa ageuka mbogo, adai yeye hajatoa talaka kwa Queen na atamshitakimtu yeyote anakayejitosa kumuoa, awalipua masheik . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

mapigano ya kikabila Ethiopia yaua raia

Makabiliano hayo yaliibuka siku ya Jumamosi katika mji wa Jewuha lililopo jimbo la Amhara. Mmoja ya mashuhuda ambaye hakutaka kutambulishwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Wabunge wa Peru wawasilisha ombi la kumng'oa rais Boluarte

Wabunge kadhaa nchini Peru wamewasilisha hoja ya kumuondoa madarakani rais Dina Boluarte.Wabunge 28 wa mrengo wa kushoto na wafuasi wa rais . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

KILO 399.28 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

WANANCHI WATOLEWA HOFU TAARIFA YA UBALOZI WA MAREKANI

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Mbwa Ampiga Risasi na Kumuua Mmiliki Wake Wakati wa Uwindaji

Katika kisa adhimu kuwahi kushuhudiwa ulimwenguni, mwanamume mmoja nchini Marekani anaripotiwa kupigwa risasi na mbwa wake walipokuwa mawind . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Kenyatta atoa wito wa kupunguza mzozo DR Kongo

Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao matatizo . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Rwanda yasema ndege ya kivita ya Kongo imekiuka anga yake

Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, amesema ndege ya kivita aina ya Sukhoi 25 kutoka Congo iliingia katika anga yake kwa mara ya t . . .

Kurasa 181 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category