Wakati laini za simu ambazo hazijahakikiwa zikizimwa leo Jumatatu Februari 13, 2023 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), asilimia 96.8 . . .
Hans Modrow, ambaye alihudumu kama kiongozi wa mwisho wa kikomunisti wa Ujerumani Mashariki wakati wa kipindi kilichokuwa na misukosuko amba . . .
Katika kusaidia juhudi za maafa baada ya tetemeko kubwa la ardhi ambalo limesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,000, na maelfu kadhaa kujeruh . . .
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria, amelitaka kanisa lake kumrudishia pesa zote alizotoa kama fungu la kumi kwa miaka mingi akidai hana ha . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mk . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itamchukulia hatua mzazi au mtu yeyote atakayemzuia mwanafunzi kupata haki yake ya elimu, na k . . .
Chini ya miezi miwili baada ya timu ya utetezi ya Dedrick Williams – mmoja wa washukiwa watatu katika kesi ya mauaji ya XXXtentacion – k . . .
Waokoaji wamefanikiwa kuwapata manusura wengine kutoka kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi nch . . .
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), imethibitisha kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kiwango cha 4.7 lilotok . . .
Idadi ya vifo vilivyotokea baada ya tetemeko la ardhi lililotukia nchini Uturuki na Syria, imeripotiwa kufikia zaidi ya watu 16,000 huku wat . . .
Mzee Luhende Tugwa (80) mkazi wa Kijiji cha Ihapa Kata ya Old Shinyanga anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mjukuu w . . .
RAIS wa Amerika, Joe Biden, amesifu utawala wake akisema ameweza kutekeleza baadhi ya ahadi zake. Akizungumza bungeni wakati wa hotuba yake . . .
Mwanasiasa tajiri kutoka nchini Nigeria na mkewe wanakabiliwa na mashtaka nchini Uingereza kwa kupanga njama ya kuvuna figo ya mchuuzi ili k . . .
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan Jumatano alikiri kwamba kulikuwa na matatizo jinsi serikali yake ilivyoshughulikia tetemeko baya la ard . . .
Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mara nyingine tena amekwenda mbali na kuzungumzia mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya . . .
MANCHESTER City huenda ikakabiliwa na adhabu ya kushushwa daraja kutoka Ligi Kuu ya England au kukatwa pointi kwa kosa la kuvunja sheria za . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoan . . .
Nchi za Argentina, Chile, Paraguay na Uruguay kwa pamoja zimewasilisha rasmi maombi/zabuni ya ya kutaka kuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la . . .
Timu za waokoaji nchini Uturuki na Syria shughuli Bado ziliendelea kuwatafuta manusura waliofukiwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoang . . .
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linamshikilia Mwalimu Elisha Chonya kwa tuhuma za kuwakalisha chini wanafunzi wa kidato cha kwanza Shule ya Se . . .
Mtoto wa Mama mjamzito ambaye alikuwa amenasa chini ya jengo lililoporomoka huko Aleppo, Syria baada ya tetemeko la ardhi aliyejifungua chin . . .
Timu za waokoaji nchini Uturuki na Syria Jumanne ziliendelea kuwatafuta manusura waliofukiwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoangushwa na mat . . .
Dereva mmoja raia wa Rwanda Jumanne alipewa adhabu ya kulipa faini ya faranga milioni moja za Rwanda, sawa na dola 920 kwa kuua bila kukusud . . .
Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa msanii @harmonize_tz ameendeleza Tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango!Boss hu . . .
Balozi wa Israel nchini Zambia Ofra Farhi aliibiwa akitembea kwenye barabara za jiji kuu la Lusaka mbele ya walinzi wake walioshindwa kuzuia . . .
Kauli ya machifu kudai kuwa hautambui mamlaka imesababisha kuzuka kwa mapigano ya kugombania ardhi na watu 13 kuuawa na wengine 40 kujeruhiw . . .
Rapa Diddy amekanusha uvumi wa kuwa amemchana Burna Boy baada ya kushindwa kuondoka na Tuzo ya Grammy mwaka huu. Taarifa hiyo ilionekana mit . . .
Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ imeishtaki Klabu ya Manchester City kwa ukiukaji zaidi ya 100 wa sheria zake za kifedha kuf . . .
Mshika nyoka na muuzaji wa dawa za asili za kujikinga na nyoka mkoani Lindi, Bw Japokuwa Masawila amefariki dunia baada ya kugongwa na . . .
Zaidi ya watu 500 wamefariki baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Richter 7.9, lililoyakumba maeneo kadhaa ya k . . .
Kufuatia nyota wa muziki toka Nigeria, Burna Boy kukosa tuzo mbili za Grammy alizokuwa akishandania, Wanigeria wameibuka na hili mitandaoni, . . .
Ulaya Jumapili imeweka marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia na bidhaa nyingine za mafuta yaliyosafishwa, ikipunguza utegemezi wa nishati . . .
Mwimbaji, na mtunzi kutoka nchin Nigeria Burna Boy amepoteza vipengele viwili alivyoteuliwa katika toleo la 65 la tuzo za Grammy 2023, zinaz . . .
HOSPITALI ya Rufani ya Kanda ya Bugando imeanza uchunguzi kubaini ukweli wa taarifa za maji ya kuhifadhi maiti kutumika kuhifadhi samaki.Uch . . .
Kocha Mkuu wa Simba C Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amempigia Saluti Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Clatous Chotta Chama kwa . . .
Baada ya kushinda tuzo ya Albamu Bora ya Muziki ya Dansi/Elektroniki, @beyonce sasa anashikilia rekodi ya wakati wote ya ushindi mwingi wa # . . .
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro Kilahala ametoa wito kwa Taasisi za Umma na Serikali zinazodaiwa na Waka . . .
Watu wawili wameuawa huku mmoja akijeruhiwa kwa kuchomwa na kisu maeneo ya Magomeni Kagera, Mtaa wa LudewaInadaiwa kijana Erick aliyekuwa ak . . .
Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amekiri kuwa amefanya mageuzi kwenye kikosi cha ulinzi cha aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Koo . . .
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Rehema Prosper (41), anayedaiwa kumjeruhi mpenzi wake aitwaye Timoth Samweli kwa kumwagia maji y . . .